matokeo yote ni muhimu sana mno. Matokeo ya Urais yatatoa picha kwamba CCM haikubaliki kiasi gani hata kama watashinda, pia itatoa frusa kujua ni mikoa gani au ni maeneo yapi ambayo upinzani wananguvu au ni maeneo gani ambayo wananchi wameamka zaidi kuhusu msisimko wa MABADILIKO na hivyo itawasaidia wapinzani kujipanga na kuweka appropriate strategies on those areas.
Cha muhimu pia, hizo kura zitasaidia sasa kwa baadhi ya vyama kupima validity of their presence in Tanzanian politics UPDP, Jahazi, NCCR, NRA, UMD, UDP to mention a few...!