Ushauri: Tiba ya kikohozi na mafua

Dawa hizo zinasaidia sana na asante sana mkuu .

Mie ndio nimetoka kuumwa mafua na nimetumia chai,limau na asali kwa pamoja na imesaidia sana kuliko hata dawa hizi za kisasa.
 
Dawa hizo zinasaidia sana na asante sana mkuu .

Mie ndio nimetoka kuumwa mafua na nimetumia chai,limau na asali kwa pamoja na imesaidia sana kuliko hata dawa hizi za kisasa.
Pole sana mkuu wangu.

Nami nashukuru kuona kuwa imesaidia.
 
Asante aisee, Manake umenipa kitu muhimu ambacho nitakitumia manake binti yangu mafua huwa yanamsumbua sana.
 
Wana JF, niliwahi kusoma jamvini tiba ya kikohozi cha muda mrefu ya asali na tangawizi. Ninaomba mtu anayeweza kunielekeza namna ya kupata thread ile anisaidie. Au anielekeze kwa tiba nyingine mbadala.

Shukurani
 
Ugonjwa wa mafua maakali umenipata. Ipi ni dawa sahihi ya mafua?

Naombeni msaada.
 
Chukua kitunguu swaumu twanga,chukua maji yake upake kwenye unyayo,kwisha kazi!!
 
Chukua kitunguu swaumu twanga weka kwenye maji ya uvuguvugu nusu glasi ongeza asali vijiko viwili vya chakula koroga, kunywa kutwa mara mbili/tatu kwa muda wa siku tatu.
 
Back
Top Bottom