Ushauri: Tiba ya kikohozi na mafua

Ushauri: Tiba ya kikohozi na mafua

Wanajamvi nahitaji msaada kama kuna ukweli wowote juu ya hiyo ishu.
Hivi ni kweli kwamba Ukichanganya chumvi na majivu alafu ukalamba, itakuwezesha kupona kifua kikavu?

Manake huu ni uvumi nimeusikia tu mtaani, hivo nikaona sio vizuri kujaribu jaribu kila dawa...
NAOMBENI MSAADA JAMANI
KWASABABU KIFUA KINANISUMBUA SANA, NAKOHOA hadi kifua kinauma!

Ndugu yangu Wizvee kweli kabisa umekosa buku 2 ya Mucolin au buku ya 'mkojo wa punda?'
Mbona unataka kuziumiza figo zako bila huruma!?
 
Last edited by a moderator:
Kwakuwa unaumwa kifua na hiyo ndo dawa uliyosikia mtaani nakushauri ujaribu tuanze utafiti kwako. Ikikusaidia utupe majibu.
 
yani na mimi nilikuwa nataka kuuliza swali linalolingana na lako cause naona dawa hazinisaidii...kulala na blocked nose shida..ila kwa haraka haraka mzee wngu aliwahi kuniambia wakati wa kulala nikate kitunguu niweke kwny kikombe kilichojaa maji alafu nilale, so angalau sipigi chafya sana na pua haiwi blocked, ila inakera, siwezi lala hvyo kila siku..mtu tusaidie
 
icho kikombe unalala nacho au nimeelewa vibaya
 
Tafuta pilipili zile ndogo ndogo unazisaga na kuzikausha,unakuwa unavuta kama sigara kila unapotaka kulala,dozi 1/7 kwa muda wa wiki mbili
 
Tafuta pilipili zile ndogo ndogo unazisaga na kuzikausha,unakuwa unavuta kama sigara kila unapotaka kulala,dozi 1/7 kwa muda wa wiki mbili

Duuh, pilipili! We hutakii watu mema, maana ndo kupiga chafya zisizoisha. Nataka majibu ya uhakika, sio ya kubahatisha.
 
ahsante mzizi.
habati ndiyo nini? hata nilikuwa sijui kama o live oil inatumika kama chakula mimi huwa napakaa miguuzi tu.
na je nitumie tiba zote 2 ziende pa1 au nianze na limao na maji then ikishindikana nije hiyo ya habat?
Chaguwa mojawapo kati ya dawa zangu mbili Mkuu HAZOLE Kuhusu Habbat Sawda Hebu tembelea bonyez hapa.
Topic: Habbat Sauda: Tiba mbadala ya V.V.U

nigellaseedcontents3.jpg
 
Back
Top Bottom