Makala Jr
JF-Expert Member
- Aug 25, 2011
- 3,395
- 1,112
Kama huogopi uchungu, chukua vitungu swaumu leo asubuhi tafuna vipunje 7, mchana tafuna vipunje 7 kisha malizia jioni vivyo hivyo kesho utaamka salama kabisa.Pia unaweza kumega kipande cha tangawizi, weka mdomoni kisha mung'unya taratibu huku ukimeza mate yake kwani inasaidia.