mkomatembo
JF-Expert Member
- Dec 17, 2011
- 1,477
- 819
Kwa kutuliza tu jaribu dawa inaitwa AERIUS sina hakika na spelling zake ila ukienda pharmacy watakupa ila inatuliza tu kama alivokwambia mkuu hapo juu, jaribu kuepuka hivo vinavokuletea alergy, je kuna pumu katika familia? hiyo inaweza kuwa sababu pia, jiepushe sana na vumbi, vitu vya sufi sufi, manyoya na vitu vinavofanana na hivo.