USHAURI: Simuelewi mume wangu

Nyongeza:
Asiudhulumu mwili wake, atakayejisogeza kutaka kumpa joto asisite kujiachia, ampe yoteeee na vyotee...halali na haramu.
Umeanza ufala sasa hapa sikuungi mkono...jeinga wewe😂
 
Mumeo ni shoga anajihusisha na mapenzi ya jinsia moja na yeye ndio mliwa. Kaa chini uchunguze kwa kina kisha utapata jibu.
 
Umeanza ufala sasa hapa sikuungi mkono...jeinga wewe😂
🤣🤣🤣🤣
Sasa unataka afanyeje? Akae tu asigongwe miaka na miaka.
Aombe na kulia kila siku nyie watu vipi jamani?
Wewe ukinyimwa mwaka mzima utafanyaje?
Tuache unafiki basi...
 
Hali yake ya kiuchumi ipo vizuri, pia kazini yupo sawa hakuna shda, pia sijawahi kumkosea Wala yeye hajawahi kunambia Kama Kuna tabia inamkera, pia matumizi ya simu ni kawaida na nikimuambia mme wangu unamchepuko ananiambia ww una wivu sana chukua cm yang kaa nayo hata wiki nzima na huwa nalala na simu yake chini ya mto text ikiingia Mimi ndo wa kwanza kusoma ndonimpe Ila sijawai ona text ikitumwa ya mchepuko na nyumbani huwa hachelew Mara moja moja sana ndo anarud saa 5 ananiaga anaenda kuangalia mpira pia hajawahi kulala nje na pia siyo mtu wa kusafiri kila siku analala ndan na amani ipo ndani kila kitu kipo sawa anahudumia familia vizuri shida ni hiyo moja tu sipewi haki yangu
 
🤣🤣🤣🤣
Sasa unataka afanyeje? Akae tu asigongwe miaka na miaka.
Aombe na kulia kila siku nyie watu vipi jamani?
Wewe ukinyimwa mwaka mzima utafanyaje?
Tuache unafiki basi...
Mimi naweza kaa hata miwili nikiamua
 
Kumbe anabet?? Hivi unajua ukichamiwa mkeka na team moja inauma hadi mashine inaweza isisimame?
 
Mimi naweza kaa hata miwili nikiamua
Ni wewe, halafu umeshasema ukiamua.
Watu tupo tofauti.
Naamuaje tu bila sababu? Kwaajili gani? kwa manufaa ya nani?
 
Duh hii kali
 
Cha kwanza kabisa ongea nae muulize shida nin atakuambia na atajirekebisha (kingine mafua simu yake utajua tu)
Pili wakati kakukumbatia anakuwa anasimamisha?Mwanaume akiwa kamili na anakuwa anasimamisha hovyo hovyo hata kama kalala inasimama tu (je inakuwa hivyo?) kama sio hivyo kakosa hamu na wewe au ana matatizo ya nguvu za kiume
Pole aisee wanawake wengine wanavyokuwa karibu na mwanaume Ndivyo nyege zinazidi sasa kama hupewi uwii hasira zake ni balaa,na inakera kuomba sex raha ya mwanaume akutaman muda wote atake
 
Amina, kila nikijaribu kuongea nae anaishia kunambia tatizo anachoka sana hili ndo jibu lake kila nikimuuliza hana jibu lingine

Mtengenezee tende na maziwa blend mpe anywe uone,Dudu itasimama balaa uonee anywe asiondoke mtengenezee kila mara unipe majibu
 
Na Mimi nimewaza sahivi na Mimi nijikaushe nijidai Niko pouwa tu nisimuanze Wala Nini nione mwisho itakuwaje
 
Ni wewe, halafu umeshasema ukiamua.
Watu tupo tofauti.
Naamuaje tu bila sababu? Kwaajili gani? kwa manufaa ya nani?
Sasa wewe liachie limwili liwake tamaa tu utaipata fresh😂
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…