USHAURI: Simuelewi mume wangu

huna maajabu ndioo maana haoni umuhimu wakukuambia anahitaji bora abaki na kiu yake .
ungekuwa unamaajabu ungebwanwa na wivu ungeonewa kweli hana shida yeyote unaboa tu.
anaona bora abaki na nguvu zake
Yaani unatetea kabisa huu ujinga? Angebaki kwao basi kama hivyo.
 
Daah hili tatizo liko upande wangu yaani mimi ni kama mmeo alivyo sasa ...

Sijui ninachokiona ndicho na yeye anachokipitia

Wacha nikup majibu inbox
Ebu nipe nikasome pengne utakuwa umesaidia kutatua tatzo
 
huna maajabu ndioo maana haoni umuhimu wakukuambia anahitaji bora abaki na kiu yake .
ungekuwa unamaajabu ungebwanwa na wivu ungeonewa kweli hana shida yeyote unaboa tu.
anaona bora abaki na nguvu zake
Alafu Kama ww ni mwanamke hukupaswa kutoa huu ushauri uliotoa kwakweli dunia ni duara Leo kwangu kesho kwako na hivi wanaume wote mama yao ni mmoja Ila basi tu asante lakini kwa ushauri, NB: mwanaume ata umfanyie Nini hawaridhikagi na mwanaume mmoja hata umbebe mgongoni bado tu atakutoroka akaonje na vya nje ajue vina ladha gani na Kama mumeo hachepuki jua Hana ela au ana matatizo Ila Kama ni mzima ata umbinukie ukanyage mpaka gypsum bdo tu atatoka kikubwa ni kuombeana tu watujali na sisi wake zao wasizamie moja kwa moja kwa michepuko
 
Koma na uache kumdanganya mwenzako. Ni mume wako, siyo wote.
 
Zungumza naye kama tabia ndo imekuja hivi karibuni kuna chanzo. Wanaume tunapitia mengi huenda ana ishu kazini,kijiweni etc
 
Mkuu hili tatizo wanawake wengi hawalijui. Yani hakuna kitu kinamaliza hisia kwa mwanaume kama kuzoea kuona uchi wa mwanamke. Wawe wanavaa nguo za kutega na siyo kuanika li K muda wote yani mm hata chakula chako utakachopika nikuone umeanika li K lako nitakula kama nina njaa! Kingine amesema anajipamba. Sasa isije kuwa ni wale wanawake wa uswahilini linajipodoa linakuwa kana kajini halafu na limejipulizia mimarashi inatoa harufu kaliii! Wajifunze wengine kuna kitu tinahita natural love! Just practice it! Kutuwekea li k naked muda wote siyo ishu wala nini!
 
usinilaumu mie hunijui na mie hujui nimepitia nini huenda unaongea tu kwa maana umepata shida wewe mie nimeshapitia vya kutosha .

ndio maana sioni shida ya kukuambia ukweli kwamaana mwanamke kama wewe alihakikisha kunichukula mchumba wangu umenielewa wanawake kama nyie mnafanya lolote muolewe mkishaolewa basi yanawashinda.

sikia maisha ukitaka uwin tu kuwa mkweli sasa wewe umewahi kufiwa na baba yako mzazi ukafukuzwa na mwenye nyumba ,nyumba ya halali ikaibiwa kila kitu eti leo kwangu kesho kwako wewe ndio leo kwangu kesho kwako .

umewahi kuachwa na mtarajiwa wako kisa umefiwa akaoa mwingine .
ili asiwe na mikosi na gundu hadi na leo wapo pamoja sasa unadai nini.

hujawahi pewa wewe pigo kama nililopewa na wanawake kama nyie ili muonekane mnawanaume halali ndio uone raha .
mwenzako analia kwa uchungu kisa wewe sasa leo unashangaa nini ukirudiwa wewe.

mama yetu nimmoja kivipi ??
kila mtu na mama yake .

usinichukie mie sio nilikuoa saivi haieleweki ndoa uliompiku mwenzako huyo mchepuko ndio uliyempiku haki yake ya kuwa mrs .

usione watu wapo kimya tumepitia mengi labda wewe hili ndio pigo kwako.

siye tumedhihakiwa ,tumenyang'ang'anywa haki zetu.

umenielewa ......
 
Lakin Chura unayo madam
 
Mnapokuwa kwenye tendo inamchukua muda gani kupata bao? isijekuwa inamchukua muda mrefu sana.Kama anachukua muda mrefu jua tatizo liko kwako.
Fafanua hapa mkuu, mwanaume akichelewa kumwanga anakuwa hana hisia na ww? Niliwahi kukutana na hio kesi.
 
Nilifikir wanaume pekee wanaoanzaga kuomba ......siku hizi wanawake wa chuga wameanza kuwa romantic
natania tu
 
Kazi ipo...subiri huko kwa mchepuko kuzoeleke ataanza kukumis na ww sasa utafanyaje
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…