- Thread starter
- #261
Okay ntamwambiaaKikubwa ni uaminifu
Hata wakiwa wote dom akiamua kuliwa ataliwa tu
Sent using Jamii Forums mobile app
Okay ntamwambiaaKikubwa ni uaminifu
Hata wakiwa wote dom akiamua kuliwa ataliwa tu
Sent using Jamii Forums mobile app
hatimaye amepata mimbaHabarini wadau,
Nina rafiki yangu anahamia Dodoma sasa mke wake yupo benki hapa Dar es salaam kwahiyo anataka kumuhamishia huko Dodoma.
Tatizo nafasi kwenye hiyo benki hamna na anaogopa kuwa ikiwa atamuacha Dar es Salaam watu wanaweza kuanza kumla.
Sasa afanyeje maana amejaribu kuuliza uhamisho imekua ngumu.
Mrejesho; yule jamaa anatakiwa aende dodoma tarehe 31 january ndo uhamisho wake unaanza....Mpaka sasa bado anajiuliza itakuwaje
Aliyepata mimba ni mke au mme?hatimaye amepata mimba
mke....Aliyepata mimba ni mke au mme?
Sasa kuna ubaya gani mke akipata mimba?mke....
mimba sio ya mume wake....kuna jamaa yupo naye benki ndo kampa mimbaSasa kuna ubaya gani mke akipata mimba?
Wewe umejuaje?mimba sio ya mume wake....kuna jamaa yupo naye benki ndo kampa mimba
jamaa amenihadithiaWewe umejuaje?
Yeye alijuaje?jamaa amenihadithia
Ivi hawa wanawake wanapandwa kama kuu.. hadi uwepo ndio hawata liwa.Habarini wadau,
Nina rafiki yangu anahamia Dodoma sasa mke wake yupo benki hapa Dar es salaam kwahiyo anataka kumuhamishia huko Dodoma.
Tatizo nafasi kwenye hiyo benki hamna na anaogopa kuwa ikiwa atamuacha Dar es Salaam watu wanaweza kuanza kumla.
Sasa afanyeje maana amejaribu kuuliza uhamisho imekua ngumu.
Mrejesho; yule jamaa anatakiwa aende dodoma tarehe 31 january ndo uhamisho wake unaanza....Mpaka sasa bado anajiuliza itakuwaje
mke wake alimuambiaYeye alijuaje?
Ulitaka apate nini?hatimaye amepata mimba
Sasa kama alimuambia sisi inatuhusu nini?mke wake alimuambia
anaomba ushauriSasa kama alimuambia sisi inatuhusu nini?
Mambo ya rafiki yako yanakuhusu nini wewe mbona una kimbelembele sana mkuu, au unaitaka hiyo nafasi ya mke?mimba sio ya mume wake....kuna jamaa yupo naye benki ndo kampa mimba
ndo amesema nilete jf ili apate ushauriMambo ya rafiki yako yanakuhusu nini wewe mbona una kimbelembele sana mkuu, au unaitaka hiyo nafasi ya mke?
Ushauri wa kutoa mimba au?anaomba ushauri