Ushauri: Rafiki yangu anahamia Dodoma, mke anabaki Dar

Ni opportunity cost...apime aone kama aache yete kazi au amuachishe mke!
 
Mwambie amuweke gundi, hadi atakaporudi anabandua mwenyewe anakula.
 
Habarini wadau,

Nina rafiki yangu anahamia Dodoma sasa mke wake yupo benki hapa Dar es salaam kwahiyo anataka kumuhamishia huko Dodoma.

Tatizo nafasi kwenye hiyo benki hamna na anaogopa kuwa ikiwa atamuacha Dar es Salaam watu wanaweza kuanza kumla.

Sasa afanyeje maana amejaribu kuuliza uhamisho imekua ngumu.

Mrejesho; yule jamaa anatakiwa aende dodoma tarehe 31 january ndo uhamisho wake unaanza....Mpaka sasa bado anajiuliza itakuwaje
Naomba namba ya mke wake mkuu
 
Alishamuhamisha au bado!

Wanawake wanaofanya kazi kwenye mabenki hawana hata muda mkuu.
Huwa naona wanafanya kazi siku 6 na wanatoka kazini usiku.

Sasa huyo mke wake ataliwa saa ngapi?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Habarini wadau,

Nina rafiki yangu anahamia Dodoma sasa mke wake yupo benki hapa Dar es salaam kwahiyo anataka kumuhamishia huko Dodoma.

Tatizo nafasi kwenye hiyo benki hamna na anaogopa kuwa ikiwa atamuacha Dar es Salaam watu wanaweza kuanza kumla.

Sasa afanyeje maana amejaribu kuuliza uhamisho imekua ngumu.

Mrejesho; yule jamaa anatakiwa aende dodoma tarehe 31 january ndo uhamisho wake unaanza....Mpaka sasa bado anajiuliza itakuwaje
Afanye mpango aamie Moro au tawi LA wilayani Dodoma dar mbali sana akija ata gairo kwa Moro itakuwa rahisi asiangalie mkewe kuamia Dom mjini kwa sasa maana pale wafanyakzi wengi wameamishiwa itakuwa shida kupata nafasi kama benk inatawi gairo aamishiwe apo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ulishawahi kuambiwa na wazazi wako "Think and act like a real men"??
Mwambie jamaa yako aitafakari hii kauli na kuiishi,mwanaume ni mtu mwenye uwezo wa kufanya maamuzi siku zote na busara na hekima ndo nguzo yake! Hii ni ishu ni ya kutatuliwa na yeye na mke wake otherwise kuna mapungufu kwenye utawala wa familia yake.
 
Vipi mkuu ndoa iliendelea au ndio kila mtu anashinda mechi zake kwasasa
 
Back
Top Bottom