you are too way nice jamani, lol halafu mkeo anakujibu nyodo lol
yaani type ya mwanaume cool kama hii ndo naipenda.
sasa sikiliza hakuna niliyemjibu vibaya kama hajatoa kejeli ama tusi, we angalia utagundua.
hawa wanaotukana nimeshawazoea kwahiyo ni jadi yangu kutukana anayenitukana.
sawa lakini, nitajifunza kukaa kimya lol.
aisee nimekupendaje na ushauri wako so cool and warm.
ila hujajibu swali langu.
Mama au mwanamke mwenzangu please waangalie watoto wako,km wewe ulilelewa na wazazi wawili naomba na kukusihi wape watoto nao haki zao,kwani hakuna ndoa iliyo perfect kila ndoa ina mikwaluzo ndani yake,pia hata wazazi wako walivumiliana wakakulea wewe pamoja,hebu anza kumwonea wivu na kumpenda sana mumeo na kumfanyia suprise kibao uone km hajamsahau huyo kimada wake,wanaume wote wanafanana inategemea unampetipeti vipi ili nawe ufanyiwe vizuri ufurahi,usiivunje ndoa yako kwa mikono yako dada yangu utajutia.Una 30s sasa bado kidogo huo mvuto utapotea ,usijidanganye.Kuna umri ukifika lazima ukae ulipo hata kama kimazoea,pia km umesahau jikumbushe siku ya kwanza ulipokutana nae ulifurahiaje,na uyarudishe yale mapenzi .Anza kutoka na mumeo out kama mwanzoni .

nadhani nimekosea kutaja age ya 42 maana imewapeleka wengi chaka mpaka kama hamielewi hivi!
ah sasa Kafman huyu katoa ushauri gani?
mimi naona ananilaumu tu.
wacha ninyamaze.
Swali gani hilo? La maendeleo na ma wife? Tunaendelea vyema ila bado nina-aply majib ya wadau baada ya muda ntaleta feedback kwa wadau,sijui nimekujib?
ndo maana sijielewi nitaishi hivi kwa muda gani? am jus 30, i need to make my life wakati bado mapema
Tofauti yenu ya umri 12 yrs inanifanya nisishangae hayo mawazo yako ya talaka. Ama uliolewa mdogo na ukiwa hujui maana ya ndoa au mumeo alikuoa akiwa ameshaponda sana mambo ya sex.
Nachoona hapo ni somo tu kwa wanandoa watarajiwa, pengo la umri baina ya wanandoa ni muhimu sana kuzingatia maana ndoa ni mahusiano na urafiki pia.
utaoaje mke wa mtu bana, mke wa mtu huwezi oa mara ya pili ila unaweza oa ex-wife ya mtu.
kuhusu mume wa mtu, mbona wanawake wa kiislamu wanaolewa na waume za watu?
hata kwenye african culture, wanawake walikua wanaolewa na waume za watu?
Thanx alot.
mi si Ayanda wa Isidingo but kiasi tunafanana but i have dreads anyway, kuhusu kusoma vitabu hilo ni IMPOSSIBLE.
yeah nilitaka kujua hilo.
nasubiria feedback.
kuna kitu kuhusu wewe, ah wacha ninyamaze.
wapi tena huko.
nyie watoto milomaliza form 4 mwaka jana mnasumbua sana
mie nimekuelewa ile mbaya, siku zote nasemaga katika life commitment akili itume zaidi kuliko moyo na mihemko, vinginevyo moyo utauponza mwili..Nachoamini katika mapenzi usifanye maamuzi kwa kuusikiliza moyo na mihemko ya mwili haswa kwenye committed relationship,Bali itumike busara,current and future plan kwa kuangalia pia familia yako na jamii inayokuzunguka kwa uhusiano unaoutaka kwa mshazari na unqchotaka kukitenda, I hope wapo walionielewa!!!
ha ha ha hata mimi siwezi mshauri kidumu atoe talaka kwa mkewe kwahiyo hata yeye atanishauri nibaki kwa ndoa.
ha ha ha The Boss umenichekeshaje
sio waafrika tu, matatizo ya ndoa yapo duniani kote.
Huku tumezidi bwana coz umasikini unaleta maugomvi hata yasioleweka.In short tumevurugwa kama unabisha kwa kheriiiii.
ni kweli umasikini unaleta maugomvi kwa sisi masikini na kwa matajiri kuna mambo mengine yanayoleta maugomvi, kwa hiyo wote tuna matatizo.
Kitu gani tena hicho?