ushauri pliz: Nafikiria divorce

ushauri pliz: Nafikiria divorce

naogopa.

nitataja some other time.

what about TMK?

Does TMK stand for anything.

name of place or name of someone?

TMK does not denote anything for me, an issue here is the place where we met,is this an issue?. H've I made it clear for you?
 
ok nitamueleza

it seems like unanikejeli but hujanipata bado.

Mwanzo ulisema nimekuchekesha
now nakukejeli
always unanisoma between the lines,
mnhhh i sense some tension you have towards me
Is it sexual tension? lol
hebu ni pm tuondoe hii tension lol
 
yaani tangu mwezi huu uanze nimekuwa nawaza sana divorce. Naona ndoa yangu ipo ipo tu, yaani hakuna maudhi wala furaha. Natambua wazi ana mtu wake ampendae tatizo huyo dada ni wife ya mtu pia ila na yeye huyo dada ni wazi keshamchoka mumewe kutokana na kusex na mume wangu kitandani kwa mumewe.

Na mi pia, nimshadate wengi tu tangu nina 19 yrs hadi sasa nikitafakari ndoa yangu na mi mwenyewe natamani ningeolewa na jamaa mmoja ambae ana 42 yrs maana hadi leo sijaona mwanaume wa ukwee kama huyu. Ana kauli, mkali kiasi, mcheshi na akipiga nje anapiga kimahesabu yani wife wake kumstukia aoteshwe.

Sasa jamaa ananitaka sana hadi leo, ana watoto 3. Mi nafikiria sijui ndoa yangu ife tu maana sioni faida wala hasara ya hii ndoa wala siwezi sema nampenda na wala simchukii hubby, simfeel chochote yani hata akinigusa ni kama nimeguswa na mwanangu wa kiume tu.

jamani naombeni ushauri ndoa yangu ina 4 yrs only.

ukijisikia kutukana we tukana tu, haina shobo

eeh Mungu wangu Baba wa huruma ''ndoa na iheshimiwe na watu wote, na malazi yawe safi, kwa maana waasherati na wazizi Mungu atawahukumia adhabu. WAEBRANIA 13:4 Watu wangu wanaangamia kwa kukosa maarifa...Mtu awaye yote asimtende mke wa ujana wake mambo ya hiana. Maana mimi nachukia kuachana, asema BWANA, Mungu wa Israeli. MALAKI 2:15d -16. kila mwanamke aliye na hekima hujenga nyumba yake; Bali aliye mpumbavu huibomoa kwa mikono yake mwenye. MITHALI 14:1 Mwanamke mwema ni taji ya mumewe; Bali aaibishaye ni kama kuoza mifupani mwake. MITHALI 12:4 Kila jema litakalo mpendeza Mungu Baba na ikiwa kwa mapenzi yake na si yenu nyote yatendeke kwa ajili ya utukufu wake pekee Mbingu na ardhi yawasikie maneno yenu ya kinywa chenu, kila jema kwa ajili ya familia zenu Mungu awaepushie watoto tabu,mateso,shida na magojwa katika kipindi iki cha mateso kwao, wazazi mumekua chanzo cha mateso ya familia, nyenyekeni mikononi mwa Mungu UKIMWI UNATESA DADA YANGU,
 
Mwanzo ulisema nimekuchekesha
now nakukejeli
always unanisoma between the lines,
mnhhh i sense some tension you have towards me
Is it sexual tension? lol
hebu ni pm tuondoe hii tension lol

sexual tension? Big No. jamani nimeshasema kuna anayenikuna vizuri tu sasa tension itoke wapi?

I just like your name, i hope uko kama unavyojipresent , I mean The really Boss.
 
Ndoa ndoano. Karibu katika kila ndoa watu wamebeba misalaba yao kwa namna tofauti.
Mimi nafikiri cheating zimemfikisha Ayanda hapa.
Ubunifu umekosekana katika nyumba yake. Ayanda bado ananafasi ya kuifanya ndoa yake iwe endelevu.
Maji ameshayavulia nguo, shurti ayaoge. huko kwa mwenye age ya 42 anawaze siku moja akalia na kusaga meno.
 
sexual tension? Big No. jamani nimeshasema kuna anayenikuna vizuri tu sasa tension itoke wapi?

I just like your name, i hope uko kama unavyojipresent , I mean The really Boss.

ha haa kwani kutamani chips ina maana hushibi nyumbani?

if you like my name then ndo umeanza tamani chips ..lol
 
yaani tangu mwezi huu uanze nimekuwa nawaza sana divorce. Naona ndoa yangu ipo ipo tu, yaani hakuna maudhi wala furaha. Natambua wazi ana mtu wake ampendae tatizo huyo dada ni wife ya mtu pia ila na yeye huyo dada ni wazi keshamchoka mumewe kutokana na kusex na mume wangu kitandani kwa mumewe.

Na mi pia, nimshadate wengi tu tangu nina 19 yrs hadi sasa nikitafakari ndoa yangu na mi mwenyewe natamani ningeolewa na jamaa mmoja ambae ana 42 yrs maana hadi leo sijaona mwanaume wa ukwee kama huyu. Ana kauli, mkali kiasi, mcheshi na akipiga nje anapiga kimahesabu yani wife wake kumstukia aoteshwe.

Sasa jamaa ananitaka sana hadi leo, ana watoto 3. Mi nafikiria sijui ndoa yangu ife tu maana sioni faida wala hasara ya hii ndoa wala siwezi sema nampenda na wala simchukii hubby, simfeel chochote yani hata akinigusa ni kama nimeguswa na mwanangu wa kiume tu.

jamani naombeni ushauri ndoa yangu ina 4 yrs only.

ukijisikia kutukana we tukana tu, haina shobo
washahili wanasema umuhimu wakitu chochote utakiona baada ya kukipoteza nakushauri usijidanganye kwamba utapata raha baada ya kuachana nae lahasha hao wanaokudanganya sasa ukishaachana nae nao watasepa hii ni kweli kabisa na utakumbuka ulikotoka.
 
ha haa kwani kutamani chips ina maana hushibi nyumbani?

if you like my name then ndo umeanza tamani chips ..lol

nimekuelewa but tayari nimshatamani chips za banda la jirani na ninashiba kiukweli kwahiyo siwezi tamani za mwingine.

ur very funny, i must admitt
 
Kwelii?
Hivi unajua ukiongea na watu wengi humu you sound so confident and so sure
but with me naona sauti yako ina hiss hivi lol
 
washahili wanasema umuhimu wakitu chochote utakiona baada ya kukipoteza nakushauri usijidanganye kwamba utapata raha baada ya kuachana nae lahasha hao wanaokudanganya sasa ukishaachana nae nao watasepa hii ni kweli kabisa na utakumbuka ulikotoka.

mbona hakuna anyenidanganya jamani.
 
Kwelii?
Hivi unajua ukiongea na watu wengi humu you sound so confident and so sure
but with me naona sauti yako ina hiss hivi lol

Ayanda have enough problems on her hands right now, tafuta jinsi ya kumshauri sio kusikiliza hizo 'hissing' sounds...lol...
 
Labda anahitaji a distraction right now
na a thing by the side it can be a very good distraction, trust me..
na wewe mzima?au wahitaji a distraction pia?lol
 
sauti inahisi?

anyway, kiukweli nimeyatafakari mawazo na michango ya wadau tangu siku ya kwanza ya huu mjadala na nimeanza kuangalia upande wa pili wa shillingi, besides hubby mwenyewe namuonea huruma maana kashaanza kuona kwamba niko mguu mmoja nje kwahiyo amekua mnyenyekevu hadi namuonea huruma sana.

but either way, siwezi kuacha affair na jamaa wa nje hata iweje na still i dont trust him.

Kwa ujumla, nipo tu naendelea kufanya mambo mengine ya msingi for children and nakula bata za ujana kwa nafasi yangu. Sitaki kukaa kuwaza na kuwaza ndoa all the time, I have alot to do and time is moving very fast, ofkoz my kids are also growing up.

kwahiyo ni kweli kwa sasa nimepoa, sio moto wala baridi.
 
Hissing sounds bana...

kama umeamua kula bata then good
time for a good distraction lol
 
Labda anahitaji a distraction right now
na a thing by the side it can be a very good distraction, trust me..
na wewe mzima?au wahitaji a distraction pia?lol

tayari nilishapata distraction na ndio imeniweka sawa.

hey, nimepitia shit and i came out stronger.

as I mentioned before, I have alot on my table, kwa sasa nafanya ya msingi huku naicheki tu ndoa. I have deadlines to meet so I will keep this marital issue pending as I handle other important things.
 
Ayanda have enough problems on her hands right now, tafuta jinsi ya kumshauri sio kusikiliza hizo 'hissing' sounds...lol...

Actually I dont have problems at all.

I have duties to handle in my life and I have got deadlines, kwahiyo kwa sasa nakimbizana na ishu nyingine za maisha as i said time is moving very fast.

kwahiyo ishu ninayohandle sasa ni plans for children and kula bata( si unajua ujana maji ya moto!, nachelea yasije poa).

marital issues nimeweka pending.
 
Back
Top Bottom