ushauri pliz: Nafikiria divorce

ushauri pliz: Nafikiria divorce

yaani tangu mwezi huu uanze nimekuwa nawaza sana divorce. Naona ndoa yangu ipo ipo tu, yaani hakuna maudhi wala furaha. Natambua wazi ana mtu wake ampendae tatizo huyo dada ni wife ya mtu pia ila na yeye huyo dada ni wazi keshamchoka mumewe kutokana na kusex na mume wangu kitandani kwa mumewe.

Na mi pia, nimshadate wengi tu tangu nina 19 yrs hadi sasa nikitafakari ndoa yangu na mi mwenyewe natamani ningeolewa na jamaa mmoja ambae ana 42 yrs maana hadi leo sijaona mwanaume wa ukwee kama huyu. Ana kauli, mkali kiasi, mcheshi na akipiga nje anapiga kimahesabu yani wife wake kumstukia aoteshwe.

Sasa jamaa ananitaka sana hadi leo, ana watoto 3. Mi nafikiria sijui ndoa yangu ife tu maana sioni faida wala hasara ya hii ndoa wala siwezi sema nampenda na wala simchukii hubby, simfeel chochote yani hata akinigusa ni kama nimeguswa na mwanangu wa kiume tu.

jamani naombeni ushauri ndoa yangu ina 4 yrs only.

ukijisikia kutukana we tukana tu, haina shobo

nimeshindwa kukuelewa kabisaaa,maelezo yako ni very simple kwa inshu kubwa kama hiyo,BILA SHAKA UTAKUWA MJAMZITO BILA KUJIELEWA,HAPO ULIPO UNAENDESHWA NA MAUDHI YA MIMBA CHANGA,samahani kama nimekujibu kirahisi maana hata post yako iko kirahisi sana
 
pole ayanda your story abt cheatng iko kama yako.
tena mie am 26 ila na kimada ananitukana mpaka imefikia hatua naham kwel nitafute wana wa nje ila awe mtu mzima ila siwez kabsa naogopa na spend kabsa ila nachanganykiwa,nambie wewe ulimpataje huyo coz mie sikupata chance ya kuwa na ex.
 
yaani tangu mwezi huu uanze nimekuwa nawaza sana divorce. Naona ndoa yangu ipo ipo tu, yaani hakuna maudhi wala furaha. Natambua wazi ana mtu wake ampendae tatizo huyo dada ni wife ya mtu pia ila na yeye huyo dada ni wazi keshamchoka mumewe kutokana na kusex na mume wangu kitandani kwa mumewe.

Na mi pia, nimshadate wengi tu tangu nina 19 yrs hadi sasa nikitafakari ndoa yangu na mi mwenyewe natamani ningeolewa na jamaa mmoja ambae ana 42 yrs maana hadi leo sijaona mwanaume wa ukwee kama huyu. Ana kauli, mkali kiasi, mcheshi na akipiga nje anapiga kimahesabu yani wife wake kumstukia aoteshwe.

Sasa jamaa ananitaka sana hadi leo, ana watoto 3. Mi nafikiria sijui ndoa yangu ife tu maana sioni faida wala hasara ya hii ndoa wala siwezi sema nampenda na wala simchukii hubby, simfeel chochote yani hata akinigusa ni kama nimeguswa na mwanangu wa kiume tu.

jamani naombeni ushauri ndoa yangu ina 4 yrs only.

ukijisikia kutukana we tukana tu, haina shobo

wewe kabla ya kuchukua maamuzi
mshirikishe kidumu chako kwanza ili ajue

si ajabu akakwambia usidai talaka

kumbuka maamuzi yako yata waatjiri wengi pia
lakini hata hivyo tayari umeshaamua so bora umshirikishe yule ambae ana
matter kwako for now
ambae ni huyo wa 42....

all in all hakuna ubaya wa talaka kama ndoa ni stressful zaidi

good luck
 
inaonekana una personality ya kutojiamini hivi!

why unapendaga kuita watu waje kukupa support?

anyway, wacha waje.

42yrs ni umri mzuri wa mwanaume anayejitambua
ha haaaa, wewe umesema ni chizi.....mimi mmbea....
chizi anaweza ongea peke yake, mmbea lazima atafuta watu wa kuwapa umbea, upo?
kutokujiamini kwangu hakupo kabisa, ndo maana nikitoa point za maana siiti mtu, ukiona naita watu ujue nawapa maumbea tu hakuna la maana....... umenisoma?
 
mie sitaki aache na infact nimeshamwambia asimuache maana sasa k kwangu hapati.

kuwa nyumba ndogo kwa yule jamaa wa 42 yrs ni better kuliko huyu ninaemuita eti mume lol
inamaana ww unataka kwenda kuvunja ndoa ya watu wengine kutokana na matatizo yako.

kilio cha huyo mke wa 42 kipo juu yako, wamama wengi wanaomba/kufunga (kama ni wakristo) wengine sina uzoef, hiyo laana itakuwa juu yako.

kama umeshindwa kukaa na mumeo wa ndoa tafuta mwanaume asiekuwa na mke ndo ukae nae sio kuvunja ndoa ya mwanamke mwenzio. mwache afaidi ukizingatia hakuna alie kuchagulia.

samahan kama nimekuudhi
 
simfeel tena hubby na ni wazi na yeye hanifeel. Cheatings zake zilinivuruga sana mwaka jana na juzi nilikua kama kichaa hivi ungeniona.

ila sasa nilishatadhimini, nikagundua kwamba hanipendi maana huwezi cheat live kiasi kile.
Na mie nilikua sina mapenzi sanaaaa kwake tangu enzi za uboy/ugal friend ila nilijua nitampenda sana tu kama atanitreat vema, kumbe maybe na yeye alikua anataka sex tu, maana tuliona baada ya kuzaa mtoto.

anyway, mi nafikiria divorce ili niwe kwenye real marriage bana.

we ndoa gani mwanaume nalala nae kama mwanangu au bro wangu na hata akinivuta sijisikii kabisa na sometimes namwambia wazi amtafute hawara ampe kidogo maana mi simfeel.Yana anajua simfeel, mi huwa ni muwazi sana sinaga uongo.

Kama alivyosema Ablessed tatizo kubwa la hii ndoa ni hapo kwa red!
Ila pamoja na hayo yote you have got to think about your children, hakuna watoto wanaofurahia kuona wazazi wao wametengana. Ukiondoka kitakachofuata sasa kila mmoja wenu ataanza ku-sideline na watoto ili kuonyesha kuwa mwenzake ndo alikuwa na makosa. Mwisho wake lazima watoto watapunguza mapenzi na upande mwingine.

My advice: kaa kwa ajili ya watoto wako ayanda as long as hakupigi, anatoa matumizi ya nyumbani n.k. Hayo ya maendeleo unaweza kuendelea kufanya mwenyewe kimya kimya!
 
Nzuriiip Dada yangu Ayanda wala haitaji ushauri wenu, kashafanya maamuzi yake mwenyewe alikuwa anawapa taarifa tu wadau kama alivyotoa taarifa ya nddoa.

Kwako Dada mpendwa, maisha ni mafupi weka shida hizo chini nyanyua furaha ilipo kula maisha. Watoto unao, unayemfeel unaye hatakama ni mme wa mtu mbona wako analiwa mpaka kakusahau? Na ww futa ndoa go where ur Heart tell u to go.

Ila mwanangu miaka minne michache sana turudishie chenchi ya michango yetu na zawadi zetu.
 
yaani tangu mwezi huu uanze nimekuwa nawaza sana divorce. Naona ndoa yangu ipo ipo tu, yaani hakuna maudhi wala furaha. Natambua wazi ana mtu wake ampendae tatizo huyo dada ni wife ya mtu pia ila na yeye huyo dada ni wazi keshamchoka mumewe kutokana na kusex na mume wangu kitandani kwa mumewe.

Na mi pia, nimshadate wengi tu tangu nina 19 yrs hadi sasa nikitafakari ndoa yangu na mi mwenyewe natamani ningeolewa na jamaa mmoja ambae ana 42 yrs maana hadi leo sijaona mwanaume wa ukwee kama huyu. Ana kauli, mkali kiasi, mcheshi na akipiga nje anapiga kimahesabu yani wife wake kumstukia aoteshwe.

Sasa jamaa ananitaka sana hadi leo, ana watoto 3. Mi nafikiria sijui ndoa yangu ife tu maana sioni faida wala hasara ya hii ndoa wala siwezi sema nampenda na wala simchukii hubby, simfeel chochote yani hata akinigusa ni kama nimeguswa na mwanangu wa kiume tu.

jamani naombeni ushauri ndoa yangu ina 4 yrs only.

ukijisikia kutukana we tukana tu, haina shobo

My sista jaribu kutulia usikilizie kwanza kwa kumwambia ukweli mmeo kuwa unakerwa na tabia anazozifanya,ukiona response ni ndogo mwende kwa wazaz mkayazungumze LAKINI inavyoonekana pia na wewe umemchoka mmeo sasa jiulize moyoni kwa nini? Usije taka kuvunja ndoa yako ukaenda kwa huyo mshikaji wako wa zamani na unajua urafiki(uchumba) ni tofauti kuwa na huyo huyo mtu kwenye ndoa? Kwenye urafiki drama ni nying kuliko ndoa ambapo ukweli na uhalisia hujidhihirisha,sasa usije enda huko mambo yakawa magumu kuliko ulikotoka. La MSINGI tatua matatizo ya ndoa yako kwa ushirikiano na mmeo na mmshirikishe sana Mungu ktk matatizo yenu yatakwisha!
 
Not a clue.. Sijui umeandika kitoto au nimesoma kitoto..
 
simfeel tena hubby na ni wazi na yeye hanifeel. Cheatings zake zilinivuruga sana mwaka jana na juzi nilikua kama kichaa hivi ungeniona.

ila sasa nilishatadhimini, nikagundua kwamba hanipendi maana huwezi cheat live kiasi kile. Na mie nilikua sina mapenzi sanaaaa kwake tangu enzi za uboy/ugal friend ila nilijua nitampenda sana tu kama atanitreat vema, kumbe maybe na yeye alikua anataka sex tu, maana tuliona baada ya kuzaa mtoto.

anyway, mi nafikiria divorce ili niwe kwenye real marriage bana.

we ndoa gani mwanaume nalala nae kama mwanangu au bro wangu na hata akinivuta sijisikii kabisa na sometimes namwambia wazi amtafute hawara ampe kidogo maana mi simfeel.Yana anajua simfeel, mi huwa ni muwazi sana sinaga uongo.

Kama ndo hivyo basi ni bora muongee na mmeo na yeye aseme kama anawaza kama wewe,maanake isije kuwa hizo torture za mwaka jana ndo zimekufanya ukawa hivyo sababu akirud kama zaman utampenda! Muhim zaid ni nyie kama mtakubaliana muivunje baasi sawa, lakini inatakiwa muwaze future ya watoto wenu pia!
 
my dear nina akiri kuliko maelezo. Niliolewa sababu ya mtoto tu na wala si kingine maana sikutaka kuzaa watoto tofauti, nilikua mdogo ila sasa watoto tofauti sioni ishu ni maelewano tu ya wazazi.

Huyo jamaa wa 42 yrs, hajazungumzia kuvunja ndoa yake na wala sijali avunje au asivunje.

Yaani hii ndoa na kuwa nyumba ndogo ya jamaa ni bora kuwa nymba ndogo kwa real man kuliko wife wa mwanaume ---- tu anayepelekeshwa na hawara.

Hebu fafanua hapo kwenye red
 
Mpaka hapo nishajua kwamba wewe ndo unavunja ndoa na ndo last option kwako,trust me that imekuwa hivyo kwa sabab kila mmoja kaamua kwenda njia yake! Je,umeshawah waona watoto wanateseka sana na wazazi wote wapo duniani? Msijifikirie nyie tu waangalien na watoto wenu pia. Lakin kwa majibu uliyowajib wadau hapo juu wewe ndo unaonekana chanzo cha matatizo yote haya!
 
pole sana dada kwa shida hiyo but elewa kuwa wewe na mwenzio kila mtu ameityuni akili yake kwenye misimimamo hiyo,na ni nyie tu ndio mnaweza kusovu tatizo lenu,mtapata ushauri lakini maamuzi fanyeni wenyewe
 
Nini tofauti ya wanaume weusi na weupe?. Amesema mume wake ni mweupe na yeye anapenda mwanaume mweusi.
 
Mwendelezo wa upumbavu, sasa umepewa mawazo na umekiri yale ndio uliyokuwa unayataka.....sasa unaanza tena kuhoji kama ni mawazo yake au la.....muombe Mungu kwanza ausafishe ubongo wako!

mpumbavu aliyekuzaaa
 
nimeshindwa kukuelewa kabisaaa,maelezo yako ni very simple kwa inshu kubwa kama hiyo,BILA SHAKA UTAKUWA MJAMZITO BILA KUJIELEWA,HAPO ULIPO UNAENDESHWA NA MAUDHI YA MIMBA CHANGA,samahani kama nimekujibu kirahisi maana hata post yako iko kirahisi sana

yeah nina mimba changa ya baba yako
 
Nini tofauti ya wanaume weusi na weupe?. Amesema mume wake ni mweupe na yeye anapenda mwanaume mweusi.

sitalijibu.

kwani nyie mnavodiscuss wanawake wanene na wembamba huwa tunawabughudhi?

basi ndo mjue na sie tuna preference zetu, kama wewe ni mweupe kwangu huna mvuto

habari ndo hiyo
 
Back
Top Bottom