Tayana-wog
JF-Expert Member
- Feb 26, 2012
- 28,849
- 37,556
Hapana bana.
Its like this mpaka unaamua kuishi na mtu unakua ushakubali madhaifu yake madogo madogo and despite the fact ana madhaifu yake u can keep up and still be happy living together (rejea the 80/20 rule)
Huyu dada anachopost au kulalamika yeye ni kwamba mi naona they’ve been living a world of pure lies since day uno (1). Unazaa vp na mtu ambaye hauko tayari kuwa nae ?? Ivi wewe swala kufunga ndoa na mtu usiekuwa na unatayari nae unalichukulia vp ?? Marriage is an institution ujue.
Its not a try and discard issue.
kuna mengi hapa!Inategemea hiyo ndoa mliingiaje tangu mwanzo, usitake kuniambia frm no whr eti mnaanza tu eti mmechokana,sijui hampendani,uongo!iko sbb iliyowapelekea kufika huko haijaanza tu!
Kwani wangapi wanaingia kwny ndoa kisa mtu ana hela au kitu fulani?
Hao wapo tu wala usishangae ,wapo kabisa!!
Jus pray ,Mungu ndo kila kitu hawezi kukupa mke ambae hasomeki
