ukijisikia kutukana we tukana tu, haina shobo
fyufyu fovyofivyo fafufakiiiiiiiuuu fufuffifio fafeffifofffooo ............. nimetukana tu yaani maana haina shobo!
mbona ndoa changa ndugu yangu, vp tena mbona watukatisha tamaa jamani???
ukijisikia kutukana we tukana tu, haina shobo
Mh aisee kumbuka dawa ya moto sio moto rafiki. Kama wamekutukana mimi nadhani ni busara kunyamaza kimya na kuziacha/kuzipita comment zao bado hautadhurika na utaonyesha kua wewe ni mwenye hekima na busara nyingi. Najua wewe ni mtu msomi sana na pengine unajua mambo mengi , ningependa nikushauri kidogo pindi uombapo ushauri muombe mungu akusaidie uwe mvumilivu hasa unapokua offended na baadhi ya maushauri, chukua mfano wa kikwete anavyotukanwa , hivi angerudisha matusi ingekuaje. Pamoja na kwamba wewe ni wa mujini mno bado sie tunaotoka kusiko na umeme tunaweza kukushauri japo kwa nukta. I believe unayo busara.yaani mtu anapoandika comment na kuniita WE MALAYA anakua ameshauri nini?
angalia matusi yangu yote yanelekeezwa kwa comment zipi?
mimi ukinitukana nitakutukana na waungwana nawashukuru sana.
HABARI NDO HIYO
Kwa hiyo unataka kuniambia kuwa 2 jumlisha 2= 4 na 2 times 2=4,wewe unadhani tatizo langu ni lako au mimi kuja kutaka ushauri na kuongeza maarifa toka kwa wadau ndo nilikuwa sijui kila kitu? We unadhani watoto unawajua wewe tu si ndio ee?Au ulitaka usiambiwe ukweli kutokana na tatizo lako? Pole na samahani sana na nisingependa nifanye lig na wewe dada yangu!
yaani tangu mwezi huu uanze nimekuwa nawaza sana divorce. Naona ndoa yangu ipo ipo tu, yaani hakuna maudhi wala furaha. Natambua wazi ana mtu wake ampendae tatizo huyo dada ni wife ya mtu pia ila na yeye huyo dada ni wazi keshamchoka mumewe kutokana na kusex na mume wangu kitandani kwa mumewe.
Na mi pia, nimshadate wengi tu tangu nina 19 yrs hadi sasa nikitafakari ndoa yangu na mi mwenyewe natamani ningeolewa na jamaa mmoja ambae ana 42 yrs maana hadi leo sijaona mwanaume wa ukwee kama huyu. Ana kauli, mkali kiasi, mcheshi na akipiga nje anapiga kimahesabu yani wife wake kumstukia aoteshwe.
Sasa jamaa ananitaka sana hadi leo, ana watoto 3. Mi nafikiria sijui ndoa yangu ife tu maana sioni faida wala hasara ya hii ndoa wala siwezi sema nampenda na wala simchukii hubby, simfeel chochote yani hata akinigusa ni kama nimeguswa na mwanangu wa kiume tu.
jamani naombeni ushauri ndoa yangu ina 4 yrs only.
ukijisikia kutukana we tukana tu, haina shobo
this was good to hear from you.
unaendeleaje na mkeo
fyufyu fovyofivyo fafufakiiiiiiiuuu fufuffifio fafeffifofffooo ............. nimetukana tu yaani maana haina shobo!
mbona ndoa changa ndugu yangu, vp tena mbona watukatisha tamaa jamani???
Tatizo lako unarukaruka na umekariri kuwa unajibu vibaya watu hasa walokujib tofaut na maono yako,si sahihi hata kidogo kusema eti "nimeshajua cha kufanya sa hiz najib wale wote walotukana na kujib vibaya" Hata kukaa kimya ni jib tosha. Nimeona wadau weng umewajib majib yasiyo mazuri hasa huku mwishon,si vyema.
yaani majanga yoteeee ya ndoa dunia hii ndo uje ukatishwe tamaa na haya yangu?
hebu acha uongo wewe
ila tusi nililokupa limekumaliza. hakuna kipya utakachonitukana besty.
hilo tusi lako kwangu ni salamu tu ya asubuhi.
ila mama yako aliyezalishwa wewe then akaachiwa zigo la kukulea ndo imekula kwake mwambie aache maana k yenyewe ndo ishazeeshwa na baba zako wa kambo. Nasikia anatafuta viserengeti boys na anavipata sana tu pamoja na k kuzeeka.
mwambie aje tubadilishane, anipe contact za baba yako nimpe za mume wangu amshughulikie
LoL.....ni balaa ya kuoa mke wa mtu au kuolewa na mume wa mtu
Heeeh!............
mwenzio bado nipo benchi napiga jeramba, bado kocha hajanipa namba kwenye kikosi cha kwanza yaani ndoa!
ila na wewe ayanda mboan hivyo sasa, huoni kuwa mnatutisha sie underground, jamani miaka 4 tu ndo haina tena ladha?
au sema jamaa anapiga mzigo chini ya kiwango, pengine ningeweza hata kufikiria, sema ukweli wako ayanda!
yaani tangu mwezi huu uanze nimekuwa nawaza sana divorce. Naona ndoa yangu ipo ipo tu, yaani hakuna maudhi wala furaha. Natambua wazi ana mtu wake ampendae tatizo huyo dada ni wife ya mtu pia ila na yeye huyo dada ni wazi keshamchoka mumewe kutokana na kusex na mume wangu kitandani kwa mumewe.
Na mi pia, nimshadate wengi tu tangu nina 19 yrs hadi sasa nikitafakari ndoa yangu na mi mwenyewe natamani ningeolewa na jamaa mmoja ambae ana 42 yrs maana hadi leo sijaona mwanaume wa ukwee kama huyu. Ana kauli, mkali kiasi, mcheshi na akipiga nje anapiga kimahesabu yani wife wake kumstukia aoteshwe.
Sasa jamaa ananitaka sana hadi leo, ana watoto 3. Mi nafikiria sijui ndoa yangu ife tu maana sioni faida wala hasara ya hii ndoa wala siwezi sema nampenda na wala simchukii hubby, simfeel chochote yani hata akinigusa ni kama nimeguswa na mwanangu wa kiume tu.
jamani naombeni ushauri ndoa yangu ina 4 yrs only.
ukijisikia kutukana we tukana tu, haina shobo
HIVI UNADHANI NAONA AIBU KUFUNGUKA AMA?
, mimi kwangu sex is a non issue kabisa.
I am sorry dear, ni kweli hata mimi sikujui lkn tafadhari hata kama ushauri wetu unaonekana wa kipumbavu au sisi wapumbavu si ungejali hata muda tuliopoteza wa kujibu mada yako kwa kadri ya uelewa wetu. Kama tayari unawatu unaofahamiana nao sidhani kama ni busara kuiweka mada yako hadhari , ungewapm tu ingetosha. Kiukweli nimejisikia vibaya. Kumbuka unapoomba ushauri kwenye jamii kama hii yenye watu mchanganyiko lazima upate majibu tofauti tofauti sababu tupo tofauti.
Nakumbuka kule kijijini kwetu bibi yangu aliniambia , "kamwe usidharau ushauri wowote unaopewa na binadamu na usionyeshe dharau hata kama ushauri wao hukubaliani nao hiyo itakufanya uonekane umestaarabika, daima jifunze kushukuru".
Kwa nijuavyo mimi tabia hizo ulizoainisha kama mtu unauhusiano nae kwa muda flani lazima utajua kuwa huyu hawezi kunicontrol au hawezi kuwa boss wa familia yangu yaani lazima bwana utajua. Nakumbuka kuna dada flani alikua na mahusiano na kijana mmoja. Kiukweli kijana yule alikua mpole, msomi n.k lakn tulishangaa baada miezi kadhaa dada alikuja kutuambia kua hayuko tayari kuolewa na yule bwana kwani yeye angetamani mwanaume wa tabia kama ulizosema. Tulishangaa sababu kijana alikua na tabia njema mno na hakua kicheche lkn mdada allikomaa na kusema hapana siwezi kuolewa nae. Sasa sielewi bado wewe ilikuaje hukujua mapema mume unaeolewa nae tabia zake !!!!!!!!!Si unajua unapokwenda dukani tayari unajua nini unataka sasa wewe pengine kwa bahati mbaya au nini hukujua type ya mume unaemtaka. Angalizo tu ni kuwa hata hao wa 42 wapo mazoba wengi so watch out.
aaaaaahhhhh wapi wewe, wingi wa maneno sio ukweli wa ulisemalo!
Tafuta mchungaji au Sheikh akuombee wewe una mapepo ya ngono.
Tafuta mchungaji au Sheikh akuombee wewe una mapepo ya ngono.