ushauri pliz: Nafikiria divorce

ushauri pliz: Nafikiria divorce

Ayanda pole sana mdada,ila nawe umri wa kuolewa umewahi sana...sisi tuna miaka kama iyo hata sijaanza kuwaza kuoa,si kwamba maisha magumu,hapana kila kitu kitu kipo,gari,makaz bora na kazi nzuri...anyway hapo hakuna reverse na nakushauri ukomae na uyo tu. Vijana hatuelewek utajuta zaidi,mayb kama una hamu na mweusi mayb kama mim,tafta kijana akupe vya kukupa alaf urudi kwa mumeo mwepeeesi basi. Alaf eti unamtaka mme wa mtu,utauawa bure...ndoa yako ikushinde then unataka ukabomoe ya mwenzio?vibaya ivo,tutafte ambao hawajaoa kuliko kuua familia za wenzio...nadhan apa nimeeleweka.

hivi kuna mahali nimesema nataka kubomoa familia ya mtu?

je ina kwani huyu mume wa mtu hajui kwamba ana mke? na je yeye anavyotembea na mke wa mtu ina maana anataka kubomoa ndoa yangu?

hebu acha utoto wewe.

mi siwezi tembea na bachelor hata siku moja, wa kazi gani mie mtu asie na majukumu na tena wewe ushasema ni mtoto wa kishua ndo kabisa unaonekana tegemezi home.

Mume wa mtu simuachi ngo na wala sitauwa kwani huyu mke wa mtu anayetembea na mume wangu mbona bado yupo hai?
 
Naomba namba yake

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums

nikikupa namba yake utanijua mimi ni nani na nisingependa kabisaaaaaaaa na pia utamjua huyu jamaa yangu ni nani. There many people involved in this saga so i cant give you his number not becoz am jelousy but am protecting my identinty and others involved.
 
sikusema umshauri amuache mkewe
nimesema mueleze kuwa unafikiria divorce ili ajue
since yeye ndie muhimu kwako for now
na maamuzi yako yanamhusu

ok nitamueleza

it seems like unanikejeli but hujanipata bado.
 
mtoa maada inaonekana unahitaji ushauri amabao tayari ulishajishauri mwenyewe,mtu akitoa ushauri tofauti ambao uko tofauti na mawazo yako basi unakuwa mkali,kama vipi ungejaribu kuingia fb ukutanane na 20s nadhani wale ni wafariji wazuri sana kimapenzi,lakini huku 90% wako kwenye ndoa hivyo ukileta post ambazo hazina utajibiwa simple san,nimeona watu wengi sana waliokushauri unawajibu kiukali san,pole sana hii ni jf wan great thinkers

eti greater thinkers.

hivi hujui kwenye mamba na kenge hawakosekani?

angalia majibu mabaya yote yanaenda kwa watu gani.

ah its high time watu wajue kwamba kuna watu wanajua kutukana pia so waache tabia za kutukana watu ovyo.
 
unataka kumuacha mumeo kwa sababu haumfeel? manake ni wazi cheatings zake hazijakukera.
ama unataka kumuacha kwa sababu unatakwa na huyo ex wako? ambae still anampenda mkewe na kuja kukubamba ni hadi aoteshwe. tafadhali fafanua nielewe kabla sijakushauri mibhange.

King'asti, kama mibhange ndo inakupa uwezo wa kufikiri vyema kiasi hiki ni bora uendelee na hiyo mibhange!!!
 
Last edited by a moderator:
mimi huwa nasema kila siku,hakuna kosa kubwa kama kuolewa na mwanaume kwa sababu iliyo tofauti na MAPENDO YA DHATI TOKA MOYONI! maana huwezi ku pretend kwa muda mrefu,matokeo yake ndio haya ayanda.pole kwa mateso unayopata.pia unajua huo uvumilivu umeisha kabisa kwa sababu na ww una mtu wa pembeni,na nahisi amekujua udhaifu wako ameamua kujituma kisawasawa!hilo ni kosa,jipime uvumilivu wako kwa mumeo ukiwa huna mtu wa pembeni.yawezekana bado unauwezo wa kuishi nae.halafu kuhusu kutukanwa,shoga mbona watu wanatukanwa sana tu na mahawara,ss ww umeshaijua namba ya hawara na unajua sms ikiingia ni matusi,ss ww unaisoma ya nini au unapokea cm ya nini?si kujitafutia mapresha yasiyo na sababu! hawa wanaume ni zaidi ya tuwafikiriavyo kabla ya ndoa,unadhani siku ukiolewa mama yako anapolia unadhani analia kwa furaha,shoga analia anajua unaenda kukutana na milima na mabonde na makorongo kibaaaao!
 
seems like someone i know tena kwa karibu tu.

ah naogopa bwana hebu nikuache maana sitaki surprizes kama za kwenye movie za kinigeria.

Kafman sounds like kaf.....

Mbona unanishitua.......hebu nitajie eneo unalohis tuliwahi kutana.
 
yaani tangu mwezi huu uanze nimekuwa nawaza sana divorce. Naona ndoa yangu ipo ipo tu, yaani hakuna maudhi wala furaha. Natambua wazi ana mtu wake ampendae tatizo huyo dada ni wife ya mtu pia ila na yeye huyo dada ni wazi keshamchoka mumewe kutokana na kusex na mume wangu kitandani kwa mumewe.

Na mi pia, nimshadate wengi tu tangu nina 19 yrs hadi sasa nikitafakari ndoa yangu na mi mwenyewe natamani ningeolewa na jamaa mmoja ambae ana 42 yrs maana hadi leo sijaona mwanaume wa ukwee kama huyu. Ana kauli, mkali kiasi, mcheshi na akipiga nje anapiga kimahesabu yani wife wake kumstukia aoteshwe.

Sasa jamaa ananitaka sana hadi leo, ana watoto 3. Mi nafikiria sijui ndoa yangu ife tu maana sioni faida wala hasara ya hii ndoa wala siwezi sema nampenda na wala simchukii hubby, simfeel chochote yani hata akinigusa ni kama nimeguswa na mwanangu wa kiume tu.

jamani naombeni ushauri ndoa yangu ina 4 yrs only.

ukijisikia kutukana we tukana tu, haina shobo
===================================
hilo ni jini mahaba dada.
 
hivi kuna mahali nimesema nataka kubomoa familia ya mtu?

je ina kwani huyu mume wa mtu hajui kwamba ana mke? na je yeye anavyotembea na mke wa mtu ina maana anataka kubomoa ndoa yangu?

hebu acha utoto wewe.

mi siwezi tembea na bachelor hata siku moja, wa kazi gani mie mtu asie na majukumu na tena wewe ushasema ni mtoto wa kishua ndo kabisa unaonekana tegemezi home.

Mume wa mtu simuachi ngo na wala sitauwa kwani huyu mke wa mtu anayetembea na mume wangu mbona bado yupo hai?

sasa ayanda, mbona unakuwa na hasira ivo? ni wapi nimekwambia mi wa kishua?kumili gari ndo ukishua?gari zipo mpaka miliono4/5 na ni kwa ubishi haiitaji kuwa tajiri, nyumba na mengine ni pamoja na kujipanga vema kimaisha wala si ukishua...Eti mi tegemezi home!una maana hata kazi zangu anatumwa mtu ofsini kwangu kutokea home ili afanye kazi zangu au??usiwe unatafsiri vibaya ivo..eti mtu asiye na majukumu,una maana unataka kuchukua majukumu au kupata unachokitaka?kaa ukijua kuwa hata upinge vipi ila kuchukua mme/mmke wa mtu tayari ki kubomoa nyumba ya mwenzio na ni laana, haijalishi ni mazingira gani...Nazidi kukueleza kuwa KOMAA na mmeo usitake kuua familia za wengine...ni dhairi shairi kama hakuna hamu kati yenu basi japo chepuka kidogo ila urudi ulee watoto si kukimbia nyumba uliyoitengeneza wewe...Chukua kilicho bora achana ushauri usiopenda na hiyo haiitaji hasira wala frustration,ni ayo tu....
 
Mbona unanishitua.......hebu nitajie eneo unalohis tuliwahi kutana.

naogopa.

nitataja some other time.

what about TMK?

Does TMK stand for anything.

name of place or name of someone?
 
sasa ayanda, mbona unakuwa na hasira ivo? ni wapi nimekwambia mi wa kishua?kumili gari ndo ukishua?gari zipo mpaka miliono4/5 na ni kwa ubishi haiitaji kuwa tajiri, nyumba na mengine ni pamoja na kujipanga vema kimaisha wala si ukishua...Eti mi tegemezi home!una maana hata kazi zangu anatumwa mtu ofsini kwangu kutokea home ili afanye kazi zangu au??usiwe unatafsiri vibaya ivo..eti mtu asiye na majukumu,una maana unataka kuchukua majukumu au kupata unachokitaka?kaa ukijua kuwa hata upinge vipi ila kuchukua mme/mmke wa mtu tayari ki kubomoa nyumba ya mwenzio na ni laana, haijalishi ni mazingira gani...Nazidi kukueleza kuwa KOMAA na mmeo usitake kuua familia za wengine...ni dhairi shairi kama hakuna hamu kati yenu basi japo chepuka kidogo ila urudi ulee watoto si kukimbia nyumba uliyoitengeneza wewe...Chukua kilicho bora achana ushauri usiopenda na hiyo haiitaji hasira wala frustration,ni ayo tu....

ah ndo maana mabachelor mnanichoshaga.

habari ndo hiyo, mume wa mtu simwachi.Na sina mpango wa kubomoa nyumba ya mtu maana hata yangu sijabomoa bado na huyo mme wa mtu ni mtu mzima mwenye akiri zake.
 
mimi huwa nasema kila siku,hakuna kosa kubwa kama kuolewa na mwanaume kwa sababu iliyo tofauti na MAPENDO YA DHATI TOKA MOYONI! maana huwezi ku pretend kwa muda mrefu,matokeo yake ndio haya ayanda.pole kwa mateso unayopata.pia unajua huo uvumilivu umeisha kabisa kwa sababu na ww una mtu wa pembeni,na nahisi amekujua udhaifu wako ameamua kujituma kisawasawa!hilo ni kosa,jipime uvumilivu wako kwa mumeo ukiwa huna mtu wa pembeni.yawezekana bado unauwezo wa kuishi nae.halafu kuhusu kutukanwa,shoga mbona watu wanatukanwa sana tu na mahawara,ss ww umeshaijua namba ya hawara na unajua sms ikiingia ni matusi,ss ww unaisoma ya nini au unapokea cm ya nini?si kujitafutia mapresha yasiyo na sababu! hawa wanaume ni zaidi ya tuwafikiriavyo kabla ya ndoa,unadhani siku ukiolewa mama yako anapolia unadhani analia kwa furaha,shoga analia anajua unaenda kukutana na milima na mabonde na makorongo kibaaaao!

asante nimekusikia.

basi ndo hivyo kutukanwa sipendagi, hata mie mwenyewe siwezi mtukukana huyu wife wa jamaa hata kama atagundua na kunitukana. Sababu kubwa ni kwamba namheshimu sana huyu kaka na pia i dont see a point ya kutukanana na kuchambana kisa dushelele tu.

ushauri wako ni mzuri, na nimejaribu kuufanyia kazi but sijui ya mbeleni
 
Back
Top Bottom