- Thread starter
- #201
Mpaka hapo nishajua kwamba wewe ndo unavunja ndoa na ndo last option kwako,trust me that imekuwa hivyo kwa sabab kila mmoja kaamua kwenda njia yake! Je,umeshawah waona watoto wanateseka sana na wazazi wote wapo duniani? Msijifikirie nyie tu waangalien na watoto wenu pia. Lakin kwa majibu uliyowajib wadau hapo juu wewe ndo unaonekana chanzo cha matatizo yote haya!
majibu yepi?
mdau yeyote akija hapa na comment ya kunitukana na yeye atapata matusi tu.
ushauri na ideas nishapata, sasa naendelea kuwajibu wajinga wanaodhani wanajua matusi
i have nothing to loose hapa