you are too way nice jamani, lol halafu mkeo anakujibu nyodo lol
yaani type ya mwanaume cool kama hii ndo naipenda.
sasa sikiliza hakuna niliyemjibu vibaya kama hajatoa kejeli ama tusi, we angalia utagundua.
hawa wanaotukana nimeshawazoea kwahiyo ni jadi yangu kutukana anayenitukana.
sawa lakini, nitajifunza kukaa kimya lol.
aisee nimekupendaje na ushauri wako so cool and warm.
ila hujajibu swali langu.
Swali gani hilo? La maendeleo na ma wife? Tunaendelea vyema ila bado nina-aply majib ya wadau baada ya muda ntaleta feedback kwa wadau,sijui nimekujib?