ushauri pliz: Nafikiria divorce

ushauri pliz: Nafikiria divorce

Ayanda(wa isdingo?) pole sana dada yangu.
Sijui umri wako labda nigekuwa more specific katika ushauri wangu lakini nawezahata hivyo kukusahuri machache nikianza na hili kuwa "divorce is very rarely the solution".
Sina uhakika kama unapenda kusoma vitabu- sasa hivi nasoma kitabu kimoja kinaitwa " Tough Times Never Last But Tough People Do!
By Dr Schuller. Ni kitabu kizuri kinazungumzia mambo mengi ambayo yangekufaa ukiwa hapa ulipofikia. Anasema "When you think you have tried all alternatives remember one thing you have not"
Katika kitabu hiki anazungumzia anachokiita 'Possibility thinking' try it huenda kikakusaidi katika wakati huu mgumu

Thanx alot.

mi si Ayanda wa Isidingo but kiasi tunafanana but i have dreads anyway, kuhusu kusoma vitabu hilo ni IMPOSSIBLE.
 
acha kujifariji sababu hujapata mchumba hadi wa leo.

Ndoa ni nzuri sana best, acha kujifariji unaposikia majanga kama haya yangu.

pIA hao kina X na Z ndo nani? mi sina mpango na mwanaume yeyote.

hujanielewa

ulisema mwenyewe kuwa kunauliyekuwa nae b4 abae yuko 42 now na bado anakuhitaji ingawa anawatoto watatu au sivyo?
au hata ukisemacho hukikumbuki, then si kuwa ndoa huiitaji but you have marriage-frustration. pole
 
Poor gal. Maybe you need a break from each other. Kama holiday. Unajua sisi Waafrika hatuna desturi ya kupeana breaks. Unapokuwa mbali na mwenzio unakuwa una miss kitu ndio maana hata walisema 'ABSENCE MAKES THE HEART FONDER'. I believe you do not have enough grounds to file for divorce. Mlani shetani mpenzi wangu.

Yes even Lovers need a holiday ........http://www.youtube.com/watch?v=lpKoBCOjA3Q(even lovers need a holiday chicago)
 
ulisema mwenyewe kuwa kunauliyekuwa nae b4 abae yuko 42 now na bado anakuhitaji ingawa anawatoto watatu au sivyo?
au hata ukisemacho hukikumbuki, then si kuwa ndoa huiitaji but you have marriage-frustration. pole

aah

yani aah

anyway thanx kwa kuandika chochote
 
He he he! Imekula kwako.....K imeshachokeshwa sasa tafuta tu kibabu kitakachovumilia ubaridi!

ila tusi nililokupa limekumaliza. hakuna kipya utakachonitukana besty.

hilo tusi lako kwangu ni salamu tu ya asubuhi.

ila mama yako aliyezalishwa wewe then akaachiwa zigo la kukulea ndo imekula kwake mwambie aache maana k yenyewe ndo ishazeeshwa na baba zako wa kambo. Nasikia anatafuta viserengeti boys na anavipata sana tu pamoja na k kuzeeka.

mwambie aje tubadilishane, anipe contact za baba yako nimpe za mume wangu amshughulikie
 
dah! hivi ziko wapi enzi zile ndoa ikiwa na heshima??
ziko wapi siku zile ambazo ndoa iliitwa siri??
yumkini tumesahau ya wahenga kwamba ndoa ni kumbato la wawili na usiri wa wawili leo hii haya tumeyasahahu.
ayanda usifikiri wanawake wote humu jamvini labda hawacheat kama wewe ama wanaume wote humu jamvini hawacheat kama mumeo. watu wanafanya haya ila wanaheshimu ndoa zao pia, wanaheshimu nafsi zao pia.

sijui unapata wapi guts za kusema eti ninamcheat mume wangu na mtu wa umri fulani, ama sijui unaona sifa gani kusema naivunja ndoa yangu kisa nataka nicheat na mtu. Hebu heshimu wanao, muheshimu mumeo na wazazi wako. ona kwamba unawajibika juu ya kutengeneza familia bora hivyo hata kama uko katikati ya makosa unapaswa kuwa na heshima.

hivi wafikiri ukiachika kisa mume wa mtu ndio utakuwa umepona katka kwenye kucheat?? kama ndoa imekushinda basi ondoka kaanza maisha mapya ila usihubiri mafundisho ya kupotosha watu bado wapo wengi wanaotaka kuoa ama kuolewa usiwahubirie kushindwa.

inaonekana wewe ni mwanamke uliyekamilika shukurani sana kwa mawazo yako kikubwa ni kuheshimiana tu nje ya hapo hamuwezi ishi kwenye familia ndugu yetu avumilie asitegemee anakoenda atapata faraja bali faraja iko kwa Yesu.
 
Nimecheka sina mbavu na majibu haya hasa hapo penye red!
Kwa ufupi tu Ayanda na wewe unaonekana bado una mambo ya kitoto sana kulingana na niliyosoma issues zako kwa ujumla.
Pole na yote maana wanasema siri ya mtungi anayeijua ni kata.....................

Tatizo mnadharauliana sana, wewe unamuona mwanaume suruali sijui yeye anakuonaje? Kama Housegirl?

Kaeni chini mmalize matatizo yenu,mmechaguana wenyewe huku mikjua kuwa kuwa KUNA mambo ya kushughulika nayo!!
Na kwa kuwa mmeshakuwa na watoto, malezi mazuri ni kuwalea katika ndoa, hata kama imeungwa na supagluu, Na Msisahau kwa Yesu yote yanawezekana.
 
inaonekana wewe ni mwanamke uliyekamilika shukurani sana kwa mawazo yako kikubwa ni kuheshimiana tu nje ya hapo hamuwezi ishi kwenye familia ndugu yetu avumilie asitegemee anakoenda atapata faraja bali faraja iko kwa Yesu.

hivi kuna mahali nimesema nataka kwenda sehemu?
 
Eee ndugu yangu Mimi yalishanikutaga kama yako ila sikutaka ushauri nilichoamua nikujisogeza na kuanza maisha mapya ya amani na sas maisha yangu si mabaya sana financial nk but tatizo nilirojifunza kupitia maisha haya hata ukiwa na mali nyingi km uko peke yako ni bure na hawa waubavu wetu wa leo walio wengi wao ni pasua kichwa unaweza ukahisi miaka 42 ni mtu kumbe nae ni vichomi tu ni vile mnakutana kwa muda mfupi nk hivyo ushauri wangu ebu kwa sasa kuwa wewe kwa muda na mengine yafuate najua ni ngumu kwan umri wako unaitaji mtu wa kukupenda na kukubembeleza ila mh sometime bora kuishi na shetani uliyemzoea kuliko malaika usiyemjua . mahusiano ni tatizo kweli pole my dear
 
thanx kwa ushauri ila kama umesome vema uzi wangu basi nilisema huyu wa 42yrs sina mahusiano nae. pia ninayetoka nae ni mwingine ili kujipa tu raha.

Pia sifikiri divoerce eti ili niende kwa mtu mwingine, NO nimewaza divorce sababu huyu hubby wangu amekua zezeta na si mwanaume mtawala anayenivutia mie.

Pia at my age, wala sitafuti mtu wa kunipenda wala kunibembeleza kwanza hata kudeka sijuagi maskini maana sikudekezwa na wazazi wala nani( i think being 1st born).

yani nipo tu kama nipo tu, nina marafiki wa ku-hang out nao na kucheka na kufurahia ujana but mapenzi is not in my mind. Na hata ingekua napata mtu, nahitaji mtu wa kua nae kirafiki na kupanga plans pamoja, ishu ya yeye kunipenda au kutonipenda sijui kunibembeleza haina mantiki kwangu.

ila nimependa kusikia toka kwako mwenye experience
 
acha kujifariji sababu hujapata mchumba hadi wa leo.

Ndoa ni nzuri sana best, acha kujifariji unaposikia majanga kama haya yangu
.

pIA hao kina X na Z ndo nani? mi sina mpango na mwanaume yeyote.

hujanielewa

nilikuwa sijui kwanini nakuadmire pamoja na kuwa tunatofautiana misimamo!
kumbe kulikuwa na kitu tunashare!
have courage soul sis!kuna siku utapata furaha ya moyo wako!
 
thanx kwa ushauri ila kama umesome vema uzi wangu basi nilisema huyu wa 42yrs sina mahusiano nae. pia ninayetoka nae ni mwingine ili kujipa tu raha.

Pia sifikiri divoerce eti ili niende kwa mtu mwingine, NO nimewaza divorce sababu huyu hubby wangu amekua zezeta na si mwanaume mtawala anayenivutia mie.

Pia at my age, wala sitafuti mtu wa kunipenda wala kunibembeleza kwanza hata kudeka sijuagi maskini maana sikudekezwa na wazazi wala nani( i think being 1st born).

yani nipo tu kama nipo tu, nina marafiki wa ku-hang out nao na kucheka na kufurahia ujana but mapenzi is not in my mind. Na hata ingekua napata mtu, nahitaji mtu wa kua nae kirafiki na kupanga plans pamoja, ishu ya yeye kunipenda au kutonipenda sijui kunibembeleza haina mantiki kwangu.

ila nimependa kusikia toka kwako mwenye experience
ayanda u're good!
kupo tu mahali kuna mtu alimess ur life imekubadili na kukufanya uwe ulivyo!
kimsingi hata raha tunayoamini wengne unayo kwa yuleeee shem wetu mwingine,deep inside ur heart wala haiko hivo!
dah!natamani nijue la kukushauri shosti wangu but naamini a good counscelor hatakiwi kuumia pamoja na mteja!
unaumia kiasi umejitengenezea ulinzi wa kuamini huumiii!
hebu jiruhusu kuumia juu ya hili!ili hata ukiwa divorced uwe na furaha ya moyo wako!
na furaha hii haipo ndani ya mtu mwingine!I NDANI YAKO!
 
Last edited by a moderator:
wewe hebu acha uongo hapa. Kwa taarifa yako nimepata ushauri mzuri sana na nashukuru sana kwa watu walionipa mwanga ambao nilikua sijauona mwanzoni.

Hawa watoto wanaokazana kutukana ndo wanapata majibu ya matusi kama kawa.

nahitaji ushauri, for real na nimeupata ila pamoja na kuwa hizi changamoto za ndoa haina kwamba eti ndo i can take shit from any one.

tatizo ninalo but am not ready kuwa undermined na wapumbavu wnisiowajua hap JF.

I am sorry dear, ni kweli hata mimi sikujui lkn tafadhari hata kama ushauri wetu unaonekana wa kipumbavu au sisi wapumbavu si ungejali hata muda tuliopoteza wa kujibu mada yako kwa kadri ya uelewa wetu. Kama tayari unawatu unaofahamiana nao sidhani kama ni busara kuiweka mada yako hadhari , ungewapm tu ingetosha. Kiukweli nimejisikia vibaya. Kumbuka unapoomba ushauri kwenye jamii kama hii yenye watu mchanganyiko lazima upate majibu tofauti tofauti sababu tupo tofauti.

Nakumbuka kule kijijini kwetu bibi yangu aliniambia , "kamwe usidharau ushauri wowote unaopewa na binadamu na usionyeshe dharau hata kama ushauri wao hukubaliani nao hiyo itakufanya uonekane umestaarabika, daima jifunze kushukuru".
 
ayanda u're good!
kupo tu mahali kuna mtu alimess ur life imekubadili na kukufanya uwe ulivyo!
kimsingi hata raha tunayoamini wengne unayo kwa yuleeee shem wetu mwingine,deep inside ur heart wala haiko hivo!
dah!natamani nijue la kukushauri shosti wangu but naamini a good counscelor hatakiwi kuumia pamoja na mteja!
unaumia kiasi umejitengenezea ulinzi wa kuamini huumiii!
hebu jiruhusu kuumia juu ya hili!ili hata ukiwa divorced uwe na furaha ya moyo wako!
na furaha hii haipo ndani ya mtu mwingine!I NDANI YAKO!

ha ha ha hapo kwenye RED umepatia kidogo na umekosea kidogo.

raha na huyu jamaa ipo na nikiwa nae nakua very happy around him, and for sure i love this guy but ofkoz haniamini hata kidogo ofkoz na yeye ni type kama yangu haamini mambo ya love na hana emotions kama mimi.

naenjoy sana kua nae but i cant let these stupid feeling ziniendeshe na ndo maana hata mi huwa sijiulizi kama eti ananipenda ama nini cha msingi tupo sote na tunaenjoy each others company.

sasa sijui nyie mnadhani raha ni nini hasa? au mnadhani dushelele tu, ah
 
I am sorry dear, ni kweli hata mimi sikujui lkn tafadhari hata kama ushauri wetu unaonekana wa kipumbavu au sisi wapumbavu si ungejali hata muda tuliopoteza wa kujibu mada yako kwa kadri ya uelewa wetu. Kama tayari unawatu unaofahamiana nao sidhani kama ni busara kuiweka mada yako hadhari , ungewapm tu ingetosha. Kiukweli nimejisikia vibaya. Kumbuka unapoomba ushauri kwenye jamii kama hii yenye watu mchanganyiko lazima upate majibu tofauti tofauti sababu tupo tofauti.

Nakumbuka kule kijijini kwetu bibi yangu aliniambia , "kamwe usidharau ushauri wowote unaopewa na binadamu na usionyeshe dharau hata kama ushauri wao hukubaliani nao hiyo itakufanya uonekane umestaarabika, daima jifunze kushukuru".

yaani mtu anapoandika comment na kuniita WE MALAYA anakua ameshauri nini?

angalia matusi yangu yote yanelekeezwa kwa comment zipi?

mimi ukinitukana nitakutukana na waungwana nawashukuru sana.

HABARI NDO HIYO
 
Angecheat Kiuanaume ingekua powa, maana isingenichanganya sana ingeniumiza then ningepotezea fasta.

Na pia mimi nampenda mwanaume amabaye namuogopa na kumheshimu. Mwanaume zobe zobe mi haniwezi, i need a man mtawala na ambaye ni Big Boss.

haya maneno yenu ya siku hizi eti mwanaume ni kama mtoto kwangu hayaappply, TO ME A HUSBAND IS A BOSS. Kwahiyo ni lazima adhibitishe u-boss wake. Akiwa mtoto nitamburuza kama watoto wangu wengine.

ndivyo hivyo best, maybe mi mshamba ama nina mambo ya kizamani sana but habari ndo hiyo

Kwa nijuavyo mimi tabia hizo ulizoainisha kama mtu unauhusiano nae kwa muda flani lazima utajua kuwa huyu hawezi kunicontrol au hawezi kuwa boss wa familia yangu yaani lazima bwana utajua. Nakumbuka kuna dada flani alikua na mahusiano na kijana mmoja. Kiukweli kijana yule alikua mpole, msomi n.k lakn tulishangaa baada miezi kadhaa dada alikuja kutuambia kua hayuko tayari kuolewa na yule bwana kwani yeye angetamani mwanaume wa tabia kama ulizosema. Tulishangaa sababu kijana alikua na tabia njema mno na hakua kicheche lkn mdada allikomaa na kusema hapana siwezi kuolewa nae. Sasa sielewi bado wewe ilikuaje hukujua mapema mume unaeolewa nae tabia zake !!!!!!!!!Si unajua unapokwenda dukani tayari unajua nini unataka sasa wewe pengine kwa bahati mbaya au nini hukujua type ya mume unaemtaka. Angalizo tu ni kuwa hata hao wa 42 wapo mazoba wengi so watch out.
 
tena nimekumbuka kitu

wewe si ndo ulikuja hapa juzi kati eti unataka kumuacha wife sijui ni mkorofi sijui anajibu short ama si wewe Kafman?

leo tena unajifanya eti ndoa ndo unaijua sanaaaaaa

aisee sisi binadamu wa ajabu sana

Kwa hiyo unataka kuniambia kuwa 2 jumlisha 2= 4 na 2 times 2=4,kwa kuwa jib ni 4 ni sawa? Wewe unadhani tatizo langu ni lako au mimi kuja kutaka ushauri na kuongeza maarifa toka kwa wadau ndo nilikuwa sijui kila kitu? We unadhani watoto unawajua wewe tu si ndio ee?Au ulitaka usiambiwe ukweli kutokana na tatizo lako? Pole na samahani sana na nisingependa nifanye ligi na wewe dada yangu!
 
yaani tangu mwezi huu uanze nimekuwa nawaza sana divorce. Naona ndoa yangu ipo ipo tu, yaani hakuna maudhi wala furaha. Natambua wazi ana mtu wake ampendae tatizo huyo dada ni wife ya mtu pia ila na yeye huyo dada ni wazi keshamchoka mumewe kutokana na kusex na mume wangu kitandani kwa mumewe.

Na mi pia, nimshadate wengi tu tangu nina 19 yrs hadi sasa nikitafakari ndoa yangu na mi mwenyewe natamani ningeolewa na jamaa mmoja ambae ana 42 yrs maana hadi leo sijaona mwanaume wa ukwee kama huyu. Ana kauli, mkali kiasi, mcheshi na akipiga nje anapiga kimahesabu yani wife wake kumstukia aoteshwe.

Sasa jamaa ananitaka sana hadi leo, ana watoto 3. Mi nafikiria sijui ndoa yangu ife tu maana sioni faida wala hasara ya hii ndoa wala siwezi sema nampenda na wala simchukii hubby, simfeel chochote yani hata akinigusa ni kama nimeguswa na mwanangu wa kiume tu.

jamani naombeni ushauri ndoa yangu ina 4 yrs only.

ukijisikia kutukana we tukana tu, haina shobo

Daaaah... Aisee we hushauriki hakiyamungu..

Anyway, ni wazo zuri, ial as long as huteseki kwa sasa, give it time, and within that time, dont think anything about it. Nikwambie kitu?... Bonyeza "pause" kwenye hayo mawazo yanayohusu ndoa yako na suala la kuachika... Ishi tu freely, bila kuliwazia chochote, then mwezi wa 11 (miezi sita kutokea sasa), Bofya "play" kwenye hayo mawazo...

Give time time.... you will know that time is the best healer...
 
Back
Top Bottom