Ushauri...nimekwama

Ushauri...nimekwama

Status
Not open for further replies.
good, great actually. i did my prison thing and l feel very happy and lighter.

i envy you ma dear,
on ma side am married to lab works since last week, i dont even have time for other tasks, i dont like it but thats what life has chose for me, for the moment.
 
Sasa hapa umekwam nini? Boflo bana, mbona wakati anakupa no alijua tu kitakachofata? we tuma tu kwani akikupiga chini utamdai???
 
hiyo mbinu ya kuchat taratibu nili apply kwako, haifanyi kazi

Hahahaha ulikata tamaa mapema, mbona nilikua nishaanza kuingia line?
On a serious note: don't use money. Kama mtasikilizana sex for money sawa. But kama ni some one night stand type of thing usitumii pesa.
 
I can imagine, sincerely naamini u were having fun. manake Boflo na vituko vyake nina assume kabisa alikuwa pia anatumia hivyo kukupata....can't wait....!!:bounce:

Potelea wapi dearest bana mi amic wewesana.....
 
Kuna manzi nimekutana naye ofisi 1 town, nimem mind kwa mmego tu,

nimemuomba namba yake kwa kuzuga kuwa kuna huduma ningehitaji hapo ofisini kwao

akanipa ....mimi sasa ni domo zege sijui kabisa kupiga sound...

Nimepanga nimrushie kilo by tigo pesa ili nimlainishe ...

Wataalamu wa haya mambo, hii mbinu inaweza kunisaidia kufanikisha malengo??

ongeza nusu yake.. nrushie pamoja na namba... nakuleta mzigo umevaa suti ya Eva...:rockon:
 
Hahahaha ulikata tamaa mapema, mbona nilikua nishaanza kuingia line?
On a serious note: don't use money. Kama mtasikilizana sex for money sawa. But kama ni some one night stand type of thing usitumii pesa.
Hahaha mara ngapi nimekubembeleza tukutane Upanga, ukawa
unanizungusha mara uko Tanga, mara uko Kigoma....
nimeambulia kusikia sauti yako nyororo via skype
walahi cjawahi sikia sauti nyororo kama yako toka nizaliwe
na ile thread yako ya kumsifu Nyani Ngabu imenichoma sana
 
Last edited by a moderator:
Hahaha mara ngapi nimekubembeleza tukutane Upanga, ukawa
unanizungusha mara uko Tanga, mara uko Kigoma....
nimeambulia kusikia sauti yako nyororo via skype
walahi cjawahi sikia sauti nyororo kama yako toka nizaliwe
Jamani, kumbe you were serious? Haya ngoja tupange tena via skype. Tunaweza kutana wewe, mimi, jasmin na Nyani Ngabu for a double date, au sio?
Btw thanks for the compliment juu ya sauti.
 
Last edited by a moderator:
Preta vp?? Ckuona ushauri wako??
au ume mind??
 
Last edited by a moderator:
zomba vp??... Au unatumikia ban???
Wanakuonea sana, haipiti mwezi wanakupiga ban
 
Kijana acha tamaa, umeona wanawake wa ngapi, umetamani wangapi, utatembea na wangapi, utahonga wangapi na kisha umuoe nani? Kila mtu hujaribiwa na tamaa yake mwenyewe, kama unahamu ya kumpa pesa ale basi mpe ila usitegemee kumpata kwa asilimia kubwa usije ukamkosa ukajimaliza, jiulize wamemuona wangapi? anafanyakazi na wanaume wangapi? unahisi alikuwa anakusubiri wewe? pesa unazo peke yako? acha tamaa mbaya. Kama unampenda kwa dhati omba kuonana naye faragha kisha mueleze juu ya hisia zako, kama unatamani upite acha tamaa UKIMWI UPO TENA UNAUWA.
 
mkeo anafanya kazi ofisini town???
 
utamnasa kirahc....
jaribu kuchat nae....
 
Status
Not open for further replies.

Similar Discussions

Back
Top Bottom