Ushauri...nimekwama

Ushauri...nimekwama

Status
Not open for further replies.
hahahhhhah! kisha amalizie na outing ya dinner lemon tree hotel kila week end, na shopping ya nguo malaika......lol!

Love is giving tena giving what you cherish the most na give in humility (hata mkono wa kushoto usijue. LOL)
Mambo dearest?
 
Kuna manzi nimekutana naye ofisi 1 town, nimem mind kwa mmego tu,

nimemuomba namba yake kwa kuzuga kuwa kuna huduma ningehitaji hapo ofisini kwao

akanipa ....mimi sasa ni domo zege sijui kabisa kupiga sound...

Nimepanga nimrushie kilo by tigo pesa ili nimlainishe ...

Wataalamu wa haya mambo, hii mbinu inaweza kunisaidia kufanikisha malengo??

pole kwa kupata kigugumizi...

Je huyo manzi yenyewe ikoje, ikiwa vipi unamcall na kumwabia direct kuwa umemzimia na kama ulivyesema unataka kupita, unamwambia kuwa unataka kumega kisela japo mara moko...

atakubali tuu hana ujanja...!
 
Hatua ya kwanza unatoa hela,unless huyo dada anauza hicho kitu,by the time unakuja kupata unachokitaka utakuwa umetumia hela ambayo ingetosha kabisa kuanza mradi wa maendeleo ambao ungepunguza tatizo la ajira hata kwa kuajiri mtu mmoja....jifunze kuongea na jiamini,na sio kutumia hela zako kidogo....laki ni hela kidogo sana.

Weweee, love is expressed in giving ujue!
 
Reasonable giving....you do not just give, recipient mwenye akili na anayejielewa atajiuliza....huyu kiumbe nisiyemjua kaona nini kwangu hadi anitumie hela mapema hii hata majina yangu pengine hayajui....cheap!
 
Wewe Boflo usipate tabu, nifanye mm kijumbe, unipe laki tatu tu nitakwenda kumueleza nn nia yako, halafu nitawakutanisha, hapo sasa ndipo itakapo kuwa kazi kwako. mm nitakuwa nimeshamaliza kazi.
 
Reasonable giving....you do not just give, recipient mwenye akili na anayejielewa atajiuliza....huyu kiumbe nisiyemjua kaona nini kwangu hadi anitumie hela mapema hii hata majina yangu pengine hayajui....cheap!

wicked mind dwelling in wicked world; waisrael walikula mana jangwani bila kujiuliza zimetoka wapi na conditions zikoje. Huyo recipient akiwa honest and innocent kama mtoto mchanga atachukua tu na kushukuru Mungu kuwa kumbe bado kuna viumbe wema ambao Mungu anawatumia kuleta blessings in times of need! LOL
 
Hiyo hela inamweleza kila kitu.......yani i love u, nataka kukugegeda n.k ila ongeza pesa!!!!!!!Bofloooooooooooooooooooooooooooooooooooooo
 
wicked mind dwelling in wicked world; waisrael walikula mana jangwani bila kujiuliza zimetoka wapi na conditions zikoje. Huyo recipient akiwa honest and innocent kama mtoto mchanga atachukua tu na kushukuru Mungu kuwa kumbe bado kuna viumbe wema ambao Mungu anawatumia kuleta blessings in times of need! LOL

Imani za watu zimepungua sana kaunga,hatuko kwenye dunia ambayo tuna maisha ya neema kivile...binafsi maisha na mitihani niliyokutana nayo haijanifundisha kuipenda na kuipokea bure ya namna yoyote kwa tabasamu bali kwa maswali na utafiti wa kutosha....i can only reflect my life na reality ya sasa na si ya waisrael,maisha yamebadilika....Kaunga nae amebadilika...lol
 
Kuna manzi nimekutana naye ofisi 1 town, nimem mind kwa mmego tu,

nimemuomba namba yake kwa kuzuga kuwa kuna huduma ningehitaji hapo ofisini kwao

akanipa ....mimi sasa ni domo zege sijui kabisa kupiga sound...

Nimepanga nimrushie kilo by tigo pesa ili nimlainishe ...

Wataalamu wa haya mambo, hii mbinu inaweza kunisaidia kufanikisha malengo??
Last edited by Boflo; Today at 11:47.
​

Siamini penzi la kuhonga huwa halidumu kwani utafikia wakati ambapo utachoka na unafiki wenu nyote. Swali langu kwanini umm'ege tu mtoto wa watu khalafu umwachie maumivu? Maana ukimgusa yeye anana wewe ndiye wake kabisa sasa kumbe wewe tayari umekwisha kuandaa exit plan! It is not fair, at all.
 
Imani za watu zimepungua sana kaunga,hatuko kwenye dunia ambayo tuna maisha ya neema kivile...binafsi maisha na mitihani niliyokutana nayo haijanifundisha kuipenda na kuipokea bure ya namna yoyote kwa tabasamu bali kwa maswali na utafiti wa kutosha....i can only reflect my life na reality ya sasa na si ya waisrael,maisha yamebadilika....Kaunga nae amebadilika...lol

hahahah, ni same old Kay. I know, was joking all this time kama Boflo anavyojoke. Really can you belive Boflo ni domo zege ashindwe hata kuandika text? Akibisha mwambie ni upload PM zake na jinsi gani kidogo aniingize kwenye eighteen zake! LOL
 
Last edited by a moderator:
Siamini penzi la kuhonga huwa halidumu kwani utafikia wakati ambapo utachoka na unafiki wenu nyote. Swali langu kwanini umm'ege tu mtoto wa watu khalafu umwachie maumivu? Maana ukimgusa yeye anana wewe ndiye wake kabisa sasa kumbe wewe tayari umekwisha kuandaa exit plan! It is not fair, at all.

Nilijuwa una utu Ruta ilaleo nimejua una utu wa tofauti sana na wanaume wengine. Heshima yangu imeongezeka.
Sijui ni lini wanaume walio wengi wataelewa kuwa kuna baadhi ya wanawake hawastahili kufanyiwa uhuni na kuumizwa kwa kupenda kwao bila kujua wanaowaambia wanawapenda wana nia moja tu ya kufurahisha miili yao na kuondoka?? Natamani pia kuona siku ambayo baadhi ya wanaume watakuwa na vitu vya kujisifia na ndoto za kutimiza zenye mantiki na sio kuwa na ndoto za kumega sijui kugegeda...ndo maana nchi inasogea taratibu,ambition za watu ni za kipuuzi sana.
 
hahahah, ni same old Kay. I know, was joking all this time kama Boflo anavyojoke. Really can you belive Boflo ni domo zege ashindwe hata kuandika text? Akibisha mwambie ni upload PM zake na jinsi gani kidogo aniingize kwenye eighteen zake! LOL

He he he he he, how dare you Boflo??? lol

Natamani hizo PM mwenzio,zitanipa furaha tu natumai...pls upload them....:yo:
 
Haste mama, ngoja atoe go aahead nishushe mistari yake; very tempting walahi!
 
I can imagine, sincerely naamini u were having fun. manake Boflo na vituko vyake nina assume kabisa alikuwa pia anatumia hivyo kukupata....can't wait....!!:bounce:
 
Status
Not open for further replies.

Similar Discussions

Back
Top Bottom