Boflo
JF-Expert Member
- Jan 20, 2010
- 4,383
- 4,413
- Thread starter
- #101
True unayosema...siwezi ku consider kama hivyo...It aint fair kwa wanawake bwana. Mdada amekusaidia katika issue yako, halafu amekupa namba in good faith kwamba una shida ya kikazi, wewe umemtamani, fine, kawaida. Ila umeshaanza mahesabu ya kummega. have you stopped to think atajisikiaje? do you think any woman you meet gets laid just like that? by sending your pennies to her?? isitoshe have you considered her marital status? Come on Boflo.
ila ww pia hujui nilichokiona kwake mpaka nikataka ushauri hapa..
ana mshepu wa mvuto sana, na amevaa kimtego mtego mpaka nimenasa