Ushauri...nimekwama

Ushauri...nimekwama

Status
Not open for further replies.
Hahahahahaha
daa Boflo pole sana unaliwa pesa yako bila kukabwa!

Kuna manzi nimekutana naye ofisi 1 town, nimem mind kwa mmego tu,

nimemuomba namba yake kwa kuzuga kuwa kuna huduma ningehitaji hapo ofisini kwao

akanipa ....mimi sasa ni domo zege sijui kabisa kupiga sound...

Nimepanga nimrushie kilo by tigo pesa ili nimlainishe ...

Wataalamu wa haya mambo, hii mbinu inaweza kunisaidia kufanikisha malengo??
 
Last edited by a moderator:
ahahahahahahaa
laki!laki si pesa Boflo panda kidau bana!yani laki hata mlango wa pili mlimani city huingii bana!
laaaaki ah!
kama vipi ikunje uiambie ikupe mmego!
lol!huv nani alinitengenezea chai leo asbh!ahhahahahhahahahh sio bure!
 
Ni ya kumlainisha asiwe mkali..na anikubalie ombi langu
baada ya hapo nitakata tena
 
sasa ndo unafkr atalainika?
JIPAAAAANGE baanaaa!if at all unaka kumlainisha!
yani laaaaaaaaki!,weeeeeeeeewe!ah bana acha maskhara
 
ahahahahahahaa
laki!laki si pesa Boflo panda kidau bana!yani laki hata mlango wa pili mlimani city huingii bana!
laaaaki ah!
kama vipi ikunje uiambie ikupe mmego!
lol!huv nani alinitengenezea chai leo asbh!ahhahahahhahahahh sio bure!
Sikuwezi aisee! Hahaha, me love the idea ya kuikunja. Kwi kwi kwi....
 
Last edited by a moderator:
Sikuwezi aisee! Hahaha, me love the idea ya kuikunja. Kwi kwi kwi....

ahhahhahahhahahhahahhahahhaah nahis kuna mtu ananifanyia hujuma kwenye chai yangu kusema ukweli!
itabidi niwe naibakiza bakiza niipeleke kwa mkemia mkuu!
sijui hata nimewaza nini!eti ikunje!now tht u said it ndo nimepata picha ujue!mweh!
 
We ongea tu na mkemia wa JF, gfsonwin maana kajifungia lab week hii; atakutestia hiyo tea masala yako. Lol
 
Last edited by a moderator:
Mapenzi ya siku hizi jamani utapeli mtupu. Yaani wewe umemuona mdada siku moja tu basi ushamtamani let say huyo mrembo ana wake ampendae na kama ujuavyo tena siku hizi vijana pesa mbele , unadhani hiyo pesa yako ataikataaa. Huu ugonjwa sijui kama hata utaja isha. Remember money can never buy love. Hiyo nahisi tamaa inasumbua hapo na pengine pesa kwako sio shida wawe tupa tu kila mahala unapojisikia. Hivi hayo mapenzi ya ghafla wewe umeyatoa wapi hata kutaka toa pesa ndio maana huwa nasema tujaribu kutenganisha love na emotions, love ni kitu kilicho hai . Are you looking for a lover or you want just a temporaly relationship?
Jiulize nini hasa unahitaji toka kwa huyo mdada. Kama huyo mdada ni decent basi ukimtumia pesa kama chambo atakudisqualify and you will end up loosing her, la kama huyo mdada ndio hawa wa kileo basi atakula pesa yako na mambo mengine yataendelea. Chunguza nafsi yako kwa kujiuliza maswali kama unataka nini hasa, kipi kinakufaa kwa kipindi hiki.
Kuwa mwangalifu dunia ina mengi..........
 
Ama kweli nyani haoni kundule...
sasa ww kila siku uko maharusini unaandaa...
Unaandaa nini???

haya ngoja nikupe ushauri sasa,hayo mambo ya kutumia pesa kama fimbo ni mambo ya kishamba ya zamani au ya watu waliokuwa wajanja baada ya kufika mjini.kuwa mjanja,jipende wewe utaona mashori wanavyokufuata

halafu zamani ndio watu walikuwa wanahangaikia msichana flani,siku hizi vijana wenzio wanatega anayeingia ndie anayeliwa!mfano naamini ktk pm kutakuwa na watu wanaoivizia laki yako sasa hivi,kamata mmoja hapo tumia kwa kiwango cha thamani ya pesa yako

ila kumbuka mwisho wa siku kuoa ili nasi tunaoishi kwa kusherehesha tuweze kuishi mjini!all the best
 
Ushauri mwanana... Nimeupenda sana ubarikiwe
umempita Kaunga kwa maono...nakadhalika
 
Last edited by a moderator:
haya ngoja nikupe ushauri sasa,hayo mambo ya kutumia pesa kama fimbo ni mambo ya kishamba ya zamani au ya watu waliokuwa wajanja baada ya kufika mjini.kuwa mjanja,jipende wewe utaona mashori wanavyokufuata

halafu zamani ndio watu walikuwa wanahangaikia msichana flani,siku hizi vijana wenzio wanatega anayeingia ndie anayeliwa!mfano naamini ktk pm kutakuwa na watu wanaoivizia laki yako sasa hivi,kamata mmoja hapo tumia kwa kiwango cha thamani ya pesa yako

ila kumbuka mwisho wa siku kuoa ili nasi tunaoishi kwa kusherehesha tuweze kuishi mjini!all the best
Naaaaaam hapo umenena mc
kumbe ushauri unao lakini umeukalia!!!
 
hakuna mjanja katika haya mambo jamani... bora umekua wazi...
 
It aint fair kwa wanawake bwana. Mdada amekusaidia katika issue yako, halafu amekupa namba in good faith kwamba una shida ya kikazi, wewe umemtamani, fine, kawaida. Ila umeshaanza mahesabu ya kummega. have you stopped to think atajisikiaje? do you think any woman you meet gets laid just like that? by sending your pennies to her?? isitoshe have you considered her marital status? Come on Boflo.
 
Status
Not open for further replies.

Similar Discussions

Back
Top Bottom