Kuna mtu alileta live coverage ya demu wa Moro aliyemuibua fb, kwasababu hakua memba wa cc, akalalamikiwa kwa Moderator na thredi ikafutwa. Hii ni triple std.
ok, kumbe bado una safari ya kumaliza mambo yako. Haya mkuu kila la kheri maana hapo kukupa ushauri ili ukagegede mtu tu halafu tupa kule, mh! mie simo! na kama ni kugegeda tu hakikisha unatumia kinga, kuwa makini sana wenye maradhi hawajulikani kwa kuwaangalia kwa macho...au kama atakuwa permanent kugegedana tu basi usisahau kupima..be careful tunakuhitaji sana hapa JF au vipi? basi kila la kheri upate mke mwema Inshaallah!
Dah, Yaani hujaeleza hisia unataka kurusha kilo, anaweza kulainika kwa maneno tuu Boflo, jipanye namna ya kumtokea, ataanzaje kumtumia mtu hela ambaye hata hamfahamiani! kupewa namba ya simu sio kweli kwamba unaweza kuanza kumlainisha kwa kutanguliza chapaa :nono:
Mkuu mimi huyo demu namfahamu, sasa ili kukusaidia rafiki yangu anza kwanza kwa kumuhamishia salio la kiutu uzima kupitia namba zifuatazo:
*141*10000*0773965788#
*141*15000*0777430009#
*141*0715220900*10000#
*141*0716300001*150000#
Boflo hakikisha anajiunga na JF Jukwaa la MK huko ndio atakujua kuwa wewe ni kiwembe sasa mrushie mabomu na hicho kiLaki maana kama domo zito na umeumbwa na kigugumizi kweli mpaka akuzoee watakugongea na utakata tamaa
Duh pole sana, acha tu usitume hiyo pesa, mpigie simu uombe appointment naye, akikubali tu hiyo laki itatumika siku hiyo na utapata japo neno la kusema naye kama ulivyomudu kuomba namba ya simu nk.
Hatua ya kwanza unatoa hela,unless huyo dada anauza hicho kitu,by the time unakuja kupata unachokitaka utakuwa umetumia hela ambayo ingetosha kabisa kuanza mradi wa maendeleo ambao ungepunguza tatizo la ajira hata kwa kuajiri mtu mmoja....jifunze kuongea na jiamini,na sio kutumia hela zako kidogo....laki ni hela kidogo sana.
kama dada mwenyewe anajielewa ndo utakuwa umempeperusha, wewe jitahidi kila siku uwe unachat naye kwa msg na mara moja moja unamcall, pole pole hadi kitaeleweka. pesa ni chambo kwa wale wasiojielewa tu.