Bei rahisi Electronicks
Senior Member
- Nov 24, 2025
- 167
- 392
Pesa ndogo sana mnapenda kutoa kebeh Kwa vitu vidogo kama Ivohuo uwekezaji 2.5M unaoenda kuufanya utapata loss
Sorry kwa kukukwazaPesa ndogo sana mnapenda kutoa kebeh Kwa vitu vidogo kama Ivo
Watu wanachanga milion 50 harusi tu wewe iyo million 2 unamwambia mwenzako maneno ya kebeh
Duuhuo uwekezaji 2.5M unaoenda kuufanya utapata loss
ShukranPesa ndogo sana mnapenda kutoa kebeh Kwa vitu vidogo kama Ivo
Watu wanachanga milion 50 harusi tu wewe iyo million 2 unamwambia mwenzako maneno ya kebeh
unajazwa upepo unasema shukran sheheShukran
Amejazwa upepo kivipi?unajazwa upepo unasema shukran shehe
Apan shekh kabla ya kharusi
Upo wap shekhnishafika, tena tutamfanyia 150k pamoja na dua
Hahaha Aya bwanaOa kwa Mila yako
Na sio kwa Mila za Waarabu:
Hao Waarabu wanakuona kama taka taka:
Mtihani huuAmejazwa upepo kivipi?
Hebu fafanua,
Halafu wewe usiyemjaza upepo,ushauri wako uko wapi?
Nipo mwanza shekhUpo wap shekh
Mi nipo Dar es salaamNipo mwanza shekh
Huo uwekezaji anaenda kupata lossAmejazwa upepo kivipi?
Hebu fafanua,
Halafu wewe usiyemjaza upepo,ushauri wako uko wapi?
utapeli wa wazi wazi😂nishafika, tena tutamfanyia 150k pamoja na dua