Ushauri naelekea kupotea hivi

Ushauri naelekea kupotea hivi

sijaona ugumu wowote hapo wa kufanya maamuzi...
 
silipendi hili neno kuachana.na matokeo yake ndio hayo nilikuwa nakusalimia,upendo bado upo na hata kilichokufanya kuomba ushauri ni upendo,na anakupenda kweli.
 
Eti umesema dini imemkaa? Hebu rudia hiki kipengele tafadhali.
 
Duh, ama kweli jambo 1 linakuwa linafanyka sehem mbal mbal za uso wa dunia, mimi tulikuwa wapnz kwa muda wa miaka 2 na miez 3 sasa, nilaja kufaham ana jamaa mwingne nilipomwambia akadai wameachana kumbe jamaa anamega nikawa nimejua nilipomwambia akadai alishamzoea tu but hana mahusiano naye mbya zaid nikaja kukigundua kuwa yule jmaa anamilik had card ya benk ya dem hapo nilichoka nikamwambia tuachane akakataa et alimuazima pesa jmaa akaomba kadi wakat muda huo nimempa pesa za kutosha, dem nilimpenda kupotiliza lakin nikaona hapa ntakufa bure nikaamua nijikatae jpo nakuwa wakat mgum dem akaleta jeur nakusema hana shda na mimi nq matus juu nikawa mpole. cku hiz jmaa anaenda kwa dem mchana kweupe hapo ndo nikajua nilipotea cha ajab nimekaa wiki 2 bila kumtafute dem anaanzq kuwapigia cm jmaa zang akilalama et nimemsusa haikuishia hapo kanipigia simu anataka aje home.Nimeahaamua kuacha ctorud nyuma dem ana tamaa mbya hana mapenz ya dhati.USHAURI WANGU:ACHANA NAYE AKIPIGA SIMU USIPOKEE AU UKIPOKEA MSIKILIZE USIANGAIKE NAYE AKITUMA SMS UCJB. IZ WAT I DO NOW NINA AMAN NIMEUMIA LAKIN HATIMAE NINA AMANI .
 
Mshika dini ana bank ya matusi!!!!
Hujui cha kufanya kweli 'mwanaume'? Muombee pepo la matusi limtoke
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom