Ushauri naelekea kupotea hivi

Ushauri naelekea kupotea hivi

Anthony Threedeyea

JF-Expert Member
Joined
May 29, 2013
Posts
471
Reaction score
48
Nipo na girlfriend wangu mwaka na nusu sasa honestly huyu bidada dini imemkaa(msabato) nampenda sana tuu, tatizo linakuja pale nikiomba k anazingua mpaka tunaachana then anajiludu kuomba msamaha tunayamaliza life inasonga.

Nilikaa nikajiuliA nipo ktk mahusiano au friendzone mwisho wasiku nikaona isiwe big deal nikapata mwanadada jiran na nilipo nikawa nakula taratibu...

Unajua zile za mwizi arobain akawa amenidaka alitoa vitisho kinoma n matusi kibao baada ya siku mbili akanipigia simu kwa number nyingine then akampa mwanaume aongeee baada y muda jamaa akaanza nitumia message kuwa yule n demu wake......

Baada ya kama week mbili akajilud tukayamaliza maisha yakaendelea ... Week iliopita kaniomba pesa nikamjibu sina pesa ikawa ugomvi matusi kibao nikaona inabd niachane n huyu mtu nisijepelekwa jera.

Maamuzi nilioamua baada ya hapo ni kuachana nae, nikampigia simu nikamweleza akasema basi sawaa. Mwezi mzima umepita nishamsahau jana kanipigia simu ananisalimia.

Nipen ushauri nimfanye nn huyu mtu sipendi kuona anafuata maisha yangu?
 
Yani mpaka hapo ujue cha kufanya? duh....!
 
Kana ulishampigia simu kuwa umeshamwacha sasa unataka ushauri gani?
 
hujui cha kufanya kwa sababu tu kakupigia simu anakusalimia? hivi kuachana na msichana ndio chanzo cha uadui jamani?

to be fair, mwambie tu muwe na mahusiano ya kawaida kama binadamu wengine, suala la kusema eti anakufuatilia itakuwa unafiki tu, hapo tayari ushakuwa na muunganiko nae kiroho..

binafsi toka nianze kungia katika mahusiano, haijalishi nimevunja relationship ama la, namba za mabinti niliokuwa nao katika mahusiano bado ninazo katika simu, hata ikitokea kama nimepoteza, siku akinipigia na kujitambulisha kuwa ni fulani, wala hata sina shida, tunasalimiana vizuri na kuendelea na maisha kama MOLA alivyotuamuru....

Haina haja ya kumchukia mwanammke eti kisa mmeachana.
 
Tafuta mwanamke mwingine huyo utamsahau tu.
 
anthonydan Kitendo cha 'yeye' kumpa 'jamaa' aongee na wewe maana yake amekuweka kwenye 'friendzone'. Hata hivyo, wahenga walisema 'akunyimaye kunde...'. Kuna uzi humu utafute (sikumbuki ni upi); jamaa alinyimwa 'nonino' kama wewe vile. Miaka michache baadae binti alifariki; kumbe alikuwa anaishi na virusi vya ukimwi. Songa mbele na maisha ndugu.
 
Last edited by a moderator:
Tupatie mfano wa matusi aliyokupatia ili tujue km anakutaka au lah.
 
Huyo anakudharau coz umeshindwa kumgegeda fullstop ndo mana anakutingisha Kama gololi,mtafutie siku kula papuchi then utanambia Kama ataruka tena.
 
Hamjakua....

Halafu enyi kizazi cha nyoka mjue mapenzi ni zaidi ya kudunguana
 
kwani ukigegeda huwezi achwa?

Huyo anakudharau coz umeshindwa kumgegeda fullstop ndo mana anakutingisha Kama gololi,mtafutie siku kula papuchi then utanambia Kama ataruka tena.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom