Saint Ivuga
JF-Expert Member
- Aug 21, 2008
- 55,024
- 59,684
Muone sifa tu zimemjaa.chupi mkononi huyo hafai
Na ntakusemea nyumbani
Muone sifa tu zimemjaa.chupi mkononi huyo hafai
Enheee Jack wangu unamuona huyu ee.nakujualia wapi?
(hungrycat)mmmh.miss ya kwel haya...
Wewe angry birds basi(hungrycat)
hahahahahaha
hahaha,umenifurahisha sana(hungrycat)
nitazaa mkuuVpi hutaki kuzaa wa kwako mwenyewe
Naona ushachukua fursa mkuu,,Ngoja niku pm the utaona meseji yangu ina namba yangu ya simu na wewe unatuma yako.
Ndio maana ya pm. Refresh tu page yako kwenye notification.
Au sio..?
Nimefikia hatua za awali za kuasili mtoto, naombeni ushauri nichukue kachanga kabisa au wa kuanza shule at least 3yrs?
Pili nichukue ka kike au ka kiume? Napenda ka kiume ila nikikumbuka maswaibu na mateso ya wanaume waliyonitendea humu duniani?
Any way nimemuachia MUNGU
Naombeni ushauri wa dhati jamani, kama ni ada niandae inshalah nitapata hatutakufa njaa.
A woman who knows the power of forgiveness has the special heartmiaka miwili .. wa kiume chukua ili ujifunze kusamehe
Huyu mtoto nilimngoja sana hatimaye leo nimebahatika.Naona ushachukua fursa mkuu,,
Daah umeniwah,
A special kind of woman.bado najaribu mkuu ila nimeshapiga hatua fulani .. ila nataka na wewe ujue japo kidogo ukiwa na mtoto wa kike utampandikiza chuki kuhusu wanaume si vizuri,
Hahaa,sawa mkuu.Huyu mtoto nilimngoja sana hatimaye leo nimebahatika.
Naahidi kumtunza na JF lazima muwepo siku ya siku yenyewe ngoja tuwekane sawa kwanza.
Sasa maije mkamsumbua huko Pm nitaua mtu
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Niwajue wa nn?!
Barbra wa Power breakfast?[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
HapanaBarbra wa Power breakfast?
Pm yangu wiki 6 siku 3 masaa 15 dakika 28 na sekunde 34.Hapana
Ukichukua kakiume kakikua utakatamani aisei usije shangaa kanakubanjua labda kawe ka ndungu yako.Nimefikia hatua za awali za kuasili mtoto, naombeni ushauri nichukue kachanga kabisa au wa kuanza shule at least 3yrs?
Pili nichukue ka kike au ka kiume? Napenda ka kiume ila nikikumbuka maswaibu na mateso ya wanaume waliyonitendea humu duniani?
Any way nimemuachia MUNGU
Naombeni ushauri wa dhati jamani, kama ni ada niandae inshalah nitapata hatutakufa njaa.
Acha laana ndugu yangu. Mawazo yako ni laana tuouUkichukua kakiume kakikua utakatamani aisei usije shangaa kanakubanjua labda kawe ka ndungu yako.
[emoji15] [emoji15] [emoji15] kweli?nina miaka 33