Msanii
Platinum Member
- Jul 4, 2007
- 22,606
- 29,756
Tulia mkuu.Gani?
Harusi moja tu dunianin
Tulia mkuu.Gani?
Acha mara moja , Mara ya pili, ya tatu utazoea tuSasa hivi imekuwa kama tunalazimishana yan,usipochanga unaonekana mbaya
Wagalatia tuna harusi moja tu.
Au mwambie kwa unyenyekevu na upendo.. "Safari hii hautaweza kushiriki kwa mchango wa mali, japo maombi yako nae kipindi chote cha maandalizi"Acha mara moja , Mara ya pili, ya tatu utazoea tu
Mimi hapo nyuma July mwaka huu kuna harusi nilichangia 300K na sijaenda,nyengine huwa naenda nikiwa na nafasi ila sababu situmii kilevi nakunywa Grand Malta moja mixer Sprite na chakula kidogo then ule wakati wa zawadi naenda kumpa mkono kwa heshima yake ajue kwamba nilikuwepo kisha naondoka.Umetoa lak 2 ukute kuna kasoro kesho utachanga tena?
Nitoe mchango na kutoa zawadi?We umehudhuria harusi..
Kula kikichopo.. kunywa kilichopo
Wape maharusi zawadi. Piga picha..timua..
Wewe unakagua kasoro kwani unaandaa documentary ya kasoro za harusi??..
Mbona zipo harusi zina kila kitu lakini
Waalikwa hamji na zawadi..mnaishia kuwapa mikono Tu maharusi..??
Mimi hapo nyuma July mwaka huu kuna harusi nilichangia 300K na sijaenda,nyengine huwa naenda nikiwa na nafasi ila sababu situmii kilevi nakunywa Grand Malta moja mixer Sprite na chakula kidogo then ule wakati wa zawadi naenda kumpa mkono kwa heshima yake ajue kwamba nilikuwepo kisha naondoka.
Kuchangia siyo ndo ule saana mpe mtu kampan kiroho safi,wewe hujawahi kuchangia harusi ukaambiwa inafanyika mkoani sasa wewe kwa slogan hii si utataka kupigana kabisa?
Nitoe mchango na kutoa zawadi?
Mkuu bora utoe kwa hiyari kama wewe, nasema michango mingine kulazimishana ndio tatizo.Mimi hapo nyuma July mwaka huu kuna harusi nilichangia 300K na sijaenda,nyengine huwa naenda nikiwa na nafasi ila sababu situmii kilevi nakunywa Grand Malta moja mixer Sprite na chakula kidogo then ule wakati wa zawadi naenda kumpa mkono kwa heshima yake ajue kwamba nilikuwepo kisha naondoka.
Kuchangia siyo ndo ule saana na nyie ndo mnaojitiaga vidole kujitapisha ili uanze kunywa upya,mpe mtu kampan kiroho safi wewe hujawahi kuchangia harusi ukaambiwa inafanyika mkoani sasa wewe kwa slogan hii si utataka kupigana kabisa?
na kila m1 unamtengea elfu50, atakula na kunywa kwa kiasi, tena hamna ht haja ya kumchangisha mtu, ukiwa na 2M zako unamalza shughulHarusi yangu itahusisha watu 20 tu,10 kutoka kwa mwanamke na 10 nyingine kutoka kwangu