Ushauri: Mke wangu mchafu

Ushauri: Mke wangu mchafu

Hmmm!! This is too much noww,noo si wanawake wote tuko ivo wngn tunajua wajib wetu,labda uyo uliebahatika ndio umeangukia tundu bovu,pole mkuu
 
mkuu yaonekana hauna sauti kwa mkeo
onesha uanaume wako mface na muambie kinagaubaga mambo yanayokukera
ukiona hakusikilizi mrudishe kwao huwezi kukosa amani kiasi hicho
Mkuu mambo mengine sio sauti,huyo mwanamke ni mchafu wa asili(asidi aachi asili yake) unaweza ukapiga mpaka ukaua apo jamaa inabidi abebe msalaba wake au atafute nyumba ndogo kama dini inaruhusu.
 
Pole sana...
Samaki anakunjwa angali mbichi... Huyo kashakomaa kwa hiyo huwezi kumbadiliasha kwa lolote... Tabia ni kama ngozi...


Tafuta madada wa kazi aliye msafi na mstaarabu awe anasaidia kazi hapo...



Cc: mahondaw
 
Namshangaa sana kuendelea kuruhusu uchafu uliokithiri kiasi hiki ndani ya nyumba yake. Hii nyumba hata maji ya kunywa yake ni ya kuyaogopa achilia mbali chakula.
Hahaha
Hata yeye ni wale wale tuu, hamna mtu timamu anayeweza vumilia yote hayoo!!! Uchafu ni habari ingine kabisaa
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Kama hayo uliyo yataja hapo ni yakweli......
Ingekua mimi nisinge kuja kufungua Uzi hapa.
Kwa sifa hizo, huyo mwanamke hafai kua mke.
Rudisha kwao....
 
mkuu yaonekana hauna sauti kwa mkeo
onesha uanaume wako mface na muambie kinagaubaga mambo yanayokukera
ukiona hakusikilizi mrudishe kwao huwezi kukosa amani kiasi hicho
Siungi mkono hoja....
Huyo mwanamke anapaswa arudishwe kwao
 
braza...samahani sana...mwenzetu bwana/bi. sexless juzi ameanzisha uzi humu na ambao naona ungekufaidi ila wewe sio wa kupiga kama ulivyosema..ninavyokushauri kama mwanamme mwenzako,hawa viumbe huchukia aibu sana..hivyo,mtimue arejee kwao na wakati mtafanya kikao we mseme huko ni mchafu..atabadirika
 
Mmmh. Hii kiboko Yaani. Mbona balaa huyo mwanamama???haoni Aibu?

Msemelee kwa mama ako mauite amchambe Maana ukimpeleka kwa mama ake nahisi hakuna litakalo badilika,pengine mama ake alisema afadhali aolewe apeleke uchafu nyumbani kwake mama wa watu apumzike. Kamsemelee Hadi kwa viongozi wa dini.
Qhkaaaaa!!!mwanamke uchafu inahuu??
 
Huyo ni changamoto!!!
Pole ila uchafu hauvumiliki mkuu, huyo mke wako umemdekeza bwanaa. Haiwezekani afanye hayo yote na wewe kimya a, kuwa na sauti kama baba kweeli. Mbona Atanyooka tuu
Naona kabisa vile unavyo tamani ungekua ndio huyu jamaa.....
Bilashaka huyo mke ndipo angetambua kwamba maharage ni mboga ya serikali.....
 
Mmmh. Hii kiboko Yaani. Mbona balaa huyo mwanamama???haoni Aibu?

Msemelee kwa mama ako mauite amchambe Maana ukimpeleka kwa mama ake nahisi hakuna litakalo badilika,mengine mama anke alisema afadhali aolewe apeleke uchafu nyumbani kwake mama wa watu apumzike. Kamsemelee Hadi kwa viongozi wa dini.
Qhkaaaaa!!!mwanamke uchafu inahuu??
Mambo mremboooo
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Ila huyo naye kazidi. Siku hizi wanawake tulio wengi tunajitambua walio baki kama hao ni wakuhesabu
Unajua hii mitandao pia inachangia ,hatukatazwi kukaa ktk mitandao ila tujue kujipangia mda,mda wa usafi ni usafi,mume yupo nyumban ni mda wa kuspend nae,mume katoka uko pekeako uo ndo mda wa kuchezea mitandao,lkn utamkuta mwanamke anaamka tu asbuh anadandia simu,hapo usafi bado wa nyumba,hajapika,hajafua,hajafanya lolote.

Baadae kashaona tyme imekwenda ndo atapika haraka na kuandaa alaf anaendelea na simu,unajua inakera sanamavyombo siku mbili hayaoshwi,nguo ndo mwezi ,huu ni msiba kwa wanawake hmmm!!!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom