kwajinsi mleta mada alivyoeleza....ni lazima watakua na huo U.T.I tayariKupenda upofu, ila huyo amrudishe tu kwao asije kumletea maladhi bure maana kama haogi angalau Mara Mara 2, choo hasafishi hapo uwezekano wa wao kuugua U.T.I Mara kwa Mara ni mkubwa sana, na zaidi ya yote wasubiri Kipindi pindu
kweli mkuuMkuu mambo mengine sio sauti,huyo mwanamke ni mchafu wa asili(asidi aachi asili yake) unaweza ukapiga mpaka ukaua apo jamaa inabidi abebe msalaba wake au atafute nyumba ndogo kama dini inaruhusu.
sio rahisi namna hiyo mkuu hujui jamaa anapewa kwenye 6*6Siungi mkono hoja....
Huyo mwanamke anapaswa arudishwe kwao
yaani. kungekuwa na kaka angu hajaoa. nisingemshauri achumbie huko kabisaWanawake wa kusini wachafu sana.
nlikuwa Duran's anipe kitu na vyombo vyake.Aisee hii kali
sio rahisi namna hiyo mkuu hujui jamaa anapewa kwenye 6*6
kwa nilivyomuelewa nahisi kashikwa kama sio limbwata basi huyo mke mchafu ila kitandani ni moto wa tipa
sio kwa kuteseka hivi aisee lazima kuna jambo behind the scene
Duuuh hatar hyo..wanasema mwanaume msafi anapataga mke mchafuu kutokana hyo story yako naona ka ukweliPole sana, kuna wanandoa Mume amelazimika kujitenga chumba ksb ya uchafu Wa mkewe. Mkewe ni mchafu nahis kupita huyo Wa kwako, Ila ksb anampenda sana hajamwacha alichofanya ni kujitenga chumba ili aondokane na baadhi ya uchafu Wa mkewe.
Chumba chake na usafi wake Wa chumba anamtegemea house 100%.
Wakitaka tendo LA ndoa, mume anamwambia mkewe lazima akaoge apige mswaki ,nguo atazokuja na chumbani ziwe zimefuliwa ndipo wanalala wote chumba cha mume, match ikiisha Mke anarudi jalalani (chumbani) kwake.
Mke ni mchafu zaidi ya wachafu, Ila ana uzuri Wa asili Wa mwonekano na umbo. Mume anasema amemwachia Mungu anasubiri muujiza tu, Ila hawezi kumwacha ukizingatia wana watoto, pia kikubwa anampenda.
Tafuta njia nzuri ya kuweza kumsaidia, Ila kama ni asili yake yake hawezi kubadilika, labda kwa muujiza.
Mume wake ni msafi sana, imebidi aingie gharama yakuajiri house gal 3 ili kuficha aibu ya mkewe ya mazingira ya nyumbani. Ila usafi wa mwili wamkewe ameshindwa ksb anaweza kaa siku hata 4 hajaoga tena hali ya hewa ya Dsm.
Ila mzuri sana kwa mwonekano wa nje, ila uchafu alionao nahisi anaweza shida kama atashindanishwa na wachafu wenzie. Pole sana
Dah! Pole Sana .uchafu sio kitu cha kulea.Nimevumilia ninashindwa, sasa Leo alfajiri wakati najiandaa kwenda job daah! Nikakuta kaweka kopo la chooni ndani ya ndoo ya kuhifadhia maji ya kunywa, ukimuulza hayo majibu yake khaa! Jana kalala bila kuoga kisa baridi full harufu ya majasho na naamini kwenda job kwake hajaoga maana nilimuacha hajaamka.
Hizo ndoo za kuhifadhia maji ukiziona mpaka aibu ukimuuliza jibu sina muda, usafi chooni hafanyi mpaka niingilie kati ndio afanye yaani wageni wakija wakati mwingine naombea wasiingie chooni aibu sana, huwa namsaidia mpaka kufua, kupika kutekamaji nk. Nguo anachanganya chafu na safi, kitanda hakitandkwi ninasikitika wakati wa mwanzo hakuwa hivi kabisa sijui hii ndo rangi yake.
Naombeni ushauri ningekuwa mpigaji ningekuwa nishaua soon pia nisingekuwa si mtu wa imani ningeshajitwalia kimada jamani akina dada ndo mko hivi mkishaolewa? Chumba nisipochangamka kinaweza maliza Week hakuna usafi, nimechoka sana.
Naombeni ushauri wakuu!
nikweli kuna wengine hawapendi kuambiwa ukweli mchungu,inabidi tu wewe uwe barozi wake ambayeni wakwanza kumuambia kuliko akiambiwa na watu wa nje.,Mkuu kuna watu ukimuambia jitahidi usafi mpenzii kuoga, swaki fua ujue umemfukuza anaona unamdharau kumbe akuambiaye ndo akupendaye
Anaweza kujitetea "arranged marriage"....Ulisaidiwa kuoa?
Yaani hukuyaona yote hayo kabla? Ata tudalili twa uchafu?
Au ndo love is blind???
Pole sana
Mkuu... Kabila gan mkeo?Nimevumilia ninashindwa, sasa Leo alfajiri wakati najiandaa kwenda job daah! Nikakuta kaweka kopo la chooni ndani ya ndoo ya kuhifadhia maji ya kunywa, ukimuulza hayo majibu yake khaa! Jana kalala bila kuoga kisa baridi full harufu ya majasho na naamini kwenda job kwake hajaoga maana nilimuacha hajaamka.
Hizo ndoo za kuhifadhia maji ukiziona mpaka aibu ukimuuliza jibu sina muda, usafi chooni hafanyi mpaka niingilie kati ndio afanye yaani wageni wakija wakati mwingine naombea wasiingie chooni aibu sana, huwa namsaidia mpaka kufua, kupika kutekamaji nk. Nguo anachanganya chafu na safi, kitanda hakitandkwi ninasikitika wakati wa mwanzo hakuwa hivi kabisa sijui hii ndo rangi yake.
Naombeni ushauri ningekuwa mpigaji ningekuwa nishaua soon pia nisingekuwa si mtu wa imani ningeshajitwalia kimada jamani akina dada ndo mko hivi mkishaolewa? Chumba nisipochangamka kinaweza maliza Week hakuna usafi, nimechoka sana.
Naombeni ushauri wakuu!