heaven john
Member
- Apr 11, 2017
- 36
- 17
Mvumilie tu asipo oga muogeshe amka tandika kitanda kwa utanu si anakupa vizuri maana hilo hujazungumzia
Siye japo na huyu wng aliwAhi loweka mpaka funZa wakajitokeZa akazchimbia shimo
asee yule jirani yangu alikuwa balaa. na mumeee alikuwa anasafiki. miezi hadi mitatu.Siye japo na huyu wng aliwAhi loweka mpaka funZa wakajitokeZa akazchimbia shimo
Ushalogwa Simple tuNimevumilia nnashindwa sasa Leo alfajiri wakati najiandaa enda job daah nkakuta kaweka kopo la chooni ndani ya ndoo ya kuhifadhia maji ya kunywa ukimuulza hayo majibu yake khaa jana kalala bila kuoga kisa baridi full harufu ya majasho na nnaamini kaenda job kwake hajaoga maana nilimuacha hajaamka hzo ndoo za kuhifadhia maji ukiziona mpaka aibu ukimuulza jibu sina muda khaa usafi chooni hafanyi mpaka niinglie Kati nafanye yaani wagen wakija wakati mwngne naombea wasiingie chooni aibu sana huwa namsaidia mpaka kufua kupka kuteka.maji nk nguo anachanganya chafu na safi,kitanda hakitandkwi ninaskitika wakati wa mwanzo hakuwa hivi kabisa sjui hii ndo rangi yake daah naombeni ushauri ningekuwa mpigaji ningekuwa nishaua soon pia nisingekuwa si mtu wa iman ningeshajitwalia kimada jaman akina Dada ndo mko hivi. Mkishaolewa?chumba nispochangamka kinaweza malza Week hakuna usafi nmechoka sana naombeni ushauri wakuu
Nimevumilia nnashindwa sasa Leo alfajiri wakati najiandaa enda job daah nkakuta kaweka kopo la chooni ndani ya ndoo ya kuhifadhia maji ya kunywa ukimuulza hayo majibu yake khaa jana kalala bila kuoga kisa baridi full harufu ya majasho na nnaamini kaenda job kwake hajaoga maana nilimuacha hajaamka hzo ndoo za kuhifadhia maji ukiziona mpaka aibu ukimuulza jibu sina muda khaa usafi chooni hafanyi mpaka niinglie Kati nafanye yaani wagen wakija wakati mwngne naombea wasiingie chooni aibu sana huwa namsaidia mpaka kufua kupka kuteka.maji nk nguo anachanganya chafu na safi,kitanda hakitandkwi ninaskitika wakati wa mwanzo hakuwa hivi kabisa sjui hii ndo rangi yake daah naombeni ushauri ningekuwa mpigaji ningekuwa nishaua soon pia nisingekuwa si mtu wa iman ningeshajitwalia kimada jaman akina Dada ndo mko hivi. Mkishaolewa?chumba nispochangamka kinaweza malza Week hakuna usafi nmechoka sana naombeni ushauri wakuu
Kupenda upofu, ila huyo amrudishe tu kwao asije kumletea maladhi bure maana kama haogi angalau Mara Mara 2, choo hasafishi hapo uwezekano wa wao kuugua U.T.I Mara kwa Mara ni mkubwa sana, na zaidi ya yote wasubiri Kipindi pinduUlisaidiwa kuoa?
Yaani hukuyaona yote hayo kabla? Ata tudalili twa uchafu?
Au ndo love is blind???
Pole sana
Mchuma janga hula na wa kwao!!!! Madhara yake ni makubwa lakini mleta mada anaona ni simple tuu!!!Naam mume naye anaruhusu hali hii. Hatari ya magonjwa ndani ya nyumba hii ni kubwa sana.
Hah hah hah mkuu huo ndio ushauri sasa?Umeliwa mkuuView attachment 507335
Dah!! Pole sana Mkuu, nakushauri kaa na mkeo zungumza nae mwambie ukweli kwamba hupendi UCHAFU na hupendi mke MCHAFU, akikaidi basi akili kichwani. OvaNimevumilia nnashindwa sasa Leo alfajiri wakati najiandaa enda job daah nkakuta kaweka kopo la chooni ndani ya ndoo ya kuhifadhia maji ya kunywa ukimuulza hayo majibu yake khaa jana kalala bila kuoga kisa baridi full harufu ya majasho na nnaamini kaenda job kwake hajaoga maana nilimuacha hajaamka hzo ndoo za kuhifadhia maji ukiziona mpaka aibu ukimuulza jibu sina muda khaa usafi chooni hafanyi mpaka niinglie Kati nafanye yaani wagen wakija wakati mwngne naombea wasiingie chooni aibu sana huwa namsaidia mpaka kufua kupka kuteka.maji nk nguo anachanganya chafu na safi,kitanda hakitandkwi ninaskitika wakati wa mwanzo hakuwa hivi kabisa sjui hii ndo rangi yake daah naombeni ushauri ningekuwa mpigaji ningekuwa nishaua soon pia nisingekuwa si mtu wa iman ningeshajitwalia kimada jaman akina Dada ndo mko hivi. Mkishaolewa?chumba nispochangamka kinaweza malza Week hakuna usafi nmechoka sana naombeni ushauri wakuu
Mchuma janga hula na wa kwao!!!! Madhara yake ni makubwa lakini mleta mada anaona ni simple tuu!!!