Usijali atakuelewa tuKinachoniumiza kichwa ni kuwa huyu mwenzangu kabaki peke yake hana ndugu hata mmoja wa tumbo mmoja....sasa hii kisaikolojia Utakuwa mtihani Mkubwa sana

Habari za mchana,
Mimi ni kijana wa miaka 30 nimeoa miaka miwili iliyopita na nampenda sana mke wangu.Nimejaribu kumpa mimba mke wangu kwa miaka 2 hiyo lakini imeshindikana, ilinibidi niende kwa doctor katika hospitali moja hapa jijini lakini baada ya vipimo ilionekana sitoweza pata Mtoto maishani mwangu, nimeumizwa sana na hili tatizo.
Ninahitaji ushauri kama nimwambie mke wangu juu ya hili au nikae tu kimya? Ikumbukwe kwamba tupo mikoa tofauti kwa ajili ya majukumu ya kikazi na yeye kapania sana kupata mtoto December hii kwamba kajiandaa kuchukua likizo ili abebe mimba atakapokuja.
Naombeni mnishauri nifanye nini juu ya hili maana yeye hana tatizo lolote kwenye kuzazi chake ila mimi ndio kwenye tatizo.
Nipo tayari kushauriwa hata kukejeliwa pia.
Asante sanaSo touching pole sana kijana dahhh. hii dunia hii dahhhh
Asante sanaMi sikupi Ushauri but little story hapa. kuna mdada alishawai kuolewa akaa kwenye Ndoa zaidi ya maiaka 5 bila mtoto. baada ya kupima ikaonekana yeye ndo mwenye matatizo na si Mwanaume. akaachwa. baada ya muda muda akapata Mwanaume mwingine akamueleza huyo mwanaumwe ukweli jamaa akakubaliana naye. ehhh baada ya mwaka hivi sasa anamimba. sasa usikate tamaa Ma dr nao ni Binadamu jaribu na kubadilisha mazingira nenda mikoa yenye baridi jaribu na huko pia
Mi nadhani kwa mda huu usimwambie kwanza. Tafuta suluhisho la tatizo. Hakuna lisilowezekana chini ya jua, technology imeendelea sana. Muamini Mungu atakuponya. Kama mwanamke alietolewa kizazi anaweza beba mimba, Ishu yako ni ndogo sana kwa Mungu. Jipe kama miezi 6 kutafuta solution alafu ndo ukae na mwenzio muongee.Habari za mchana,
Mimi ni kijana wa miaka 30 nimeoa miaka miwili iliyopita na nampenda sana mke wangu.Nimejaribu kumpa mimba mke wangu kwa miaka 2 hiyo lakini imeshindikana, ilinibidi niende kwa doctor katika hospitali moja hapa jijini lakini baada ya vipimo ilionekana sitoweza pata Mtoto maishani mwangu, nimeumizwa sana na hili tatizo.
Ninahitaji ushauri kama nimwambie mke wangu juu ya hili au nikae tu kimya? Ikumbukwe kwamba tupo mikoa tofauti kwa ajili ya majukumu ya kikazi na yeye kapania sana kupata mtoto December hii kwamba kajiandaa kuchukua likizo ili abebe mimba atakapokuja.
Naombeni mnishauri nifanye nini juu ya hili maana yeye hana tatizo lolote kwenye kizazi chake ila mimi ndio kwenye tatizo.

Ulienda hospital peke yako so umejuaje kama yeye hana tatizo au ndo story za kutungaHabari za mchana,
Mimi ni kijana wa miaka 30 nimeoa miaka miwili iliyopita na nampenda sana mke wangu.Nimejaribu kumpa mimba mke wangu kwa miaka 2 hiyo lakini imeshindikana, ilinibidi niende kwa doctor katika hospitali moja hapa jijini lakini baada ya vipimo ilionekana sitoweza pata Mtoto maishani mwangu, nimeumizwa sana na hili tatizo.
Ninahitaji ushauri kama nimwambie mke wangu juu ya hili au nikae tu kimya? Ikumbukwe kwamba tupo mikoa tofauti kwa ajili ya majukumu ya kikazi na yeye kapania sana kupata mtoto December hii kwamba kajiandaa kuchukua likizo ili abebe mimba atakapokuja.
Naombeni mnishauri nifanye nini juu ya hili maana yeye hana tatizo lolote kwenye kizazi chake ila mimi ndio kwenye tatizo.
Nipo tayari kushauriwa hata kukejeliwa pia.
Asante MkuuPole mkuu,
Ntajaribu kwenda nae Hosp ili aambiwe huko huko....Pole sana Mkuu. Mwambie ukweli tu huna sababu ya kumficha pamoja na kuwa wote mtaumia sana.
Mwanzoni nilikuwa najua nipo vzr na hivyo nkawa sina waswas kuhusu mimba na nilikuwa na matumaini kwamba atashika mimba....sasa ofisin kwetu uliletwa utaratibu wa kycheki afya....specialist walikuja na laptop ambapo kulikuwa na kama kidude flani hivi unashika kinaanza kuscan mwili mzima...sasa majibu yalipotoka wakasema ninatatizo bas mi sijuamini ikabd niende Hosp ambako nako pia wakaniambia hivyo....kumbuka tupo mikoa tofauti.Ulienda hospital peke yako so umejuaje kama yeye hana tatizo au ndo story za kutunga
God is above all.Only faith.Habari za mchana,