Ushauri: Mke anataka mtoto, mimi sina uwezo huo

Bro naomba nikuulize simple tu,una errect vizuri? Kama ni ndi nsjua una uwezo wa kusex,na una ejaculate? Kama yote hayo yanafanyika basi mtoto utapata.ni PM.
 
Ok...shida iliyopo ni kwamba mke wangu ni yatima mama na baba zake na wadogo zake walifariki zamani sana sasa naona hili litamfanya akose furaha
mkuu ni bora akapata ukwel wa sa hvi kuliko kuendlea kuish na matumaini ambayo hayawez kulete majibu ya leo aukesho.
kaa nae chin ajue ukwel ajifunze kuish kwenye hilo kama ambavyo ameweza kukubali na kuish kama yatima
 
Mbona kuna njia nyingi zakupata mtoto: surrogacy, sperm donation, adoption: siyo lazima biological child. Mimi nimepata mtoto kati ya njia hizo 3: and I love my baby than anything on the earth️. She's so special to me. Mjulishe ili mjipange jinsi ya kupata mtoto kabla hamjachelewa. All the best
 
Mungu aliyekupa Mke, Ndiye atakayekupa watoto!
Mama yangu na Baba yangu walikaa miaka minne kabla ya kutuleta sisi duniani, Leo Me nabonyeza Keyboard hapa Tupo watano na Tunafurahia Maisha. Ndoa inahitaji uvumilivu sana!

Ushauri wangu: Tafuta dawa za Mitishamba, sisi tuliokulia kijijini Mitishamba ni kawaida! Yani hata ukiumwa Malaria Kuna Majani unachemsha unavukizwa kwa maji ya moto na mengine unakunywa kidogo unapona. Kwa hiyo do not quote me wrongly.
Shida ninayoiona: Wanawake wa sasa hivi daah, hawana uvumilivu kabisa. Msihi akuvumilie!
 
Hivi kuna mambo tunachukulia for granted sana, dah! Viatu vyako ni vikubwa kiongozi. Huku wengine wakichovya tu tumbo hilo, wapo ambao hizo mbegu hazina kitu..

..nakushauri uende tena hospital nyingine, fanya tests ujiridhishe kabla ya kumwambia ukweli.
 
Hayo ni majibu ya daktari bado unanafasi ya kuendelea kuamin kwamba ipo siku itawezekana kwan hakuna kinachoshindikana chini ya jua
 
Duu pole mkuu,ni bonge la changamoto aisee,usikate tamaa,fanya vipimo hospitari nyiingi Zaidi huenda tatizo likapata ufumbuzi.
 
Habari za mchana, Mimi ni Kijana wa miaka 30 nimeoa miaka miwili iliyopita na nampenda sana mke wangu.
Nimejaribu kumpa mimba mke wangu kwa miaka 2 hiyo lakini imeshindikana, ilinibidi niende kwa doctor ktk Hosp moja hapa jijini lakini baada ya vipimo ilionekana sitoweza pata Mtoto maishani mwangu, nimeumizwa sana na hili tatizo.
Ninahitaji ushauri kama nimwambie mke wangu juu ya hili au nikae tu kimya? Ikumbukwe kwamba tupo mikoa tofauti kwa ajili ya majukumu ya kikazi na yeye kapania sana kupata Mtoto December hii kwamba kajiandaa kuchukua likizo ili abebe mimba atakapo kuja.
Naombeni mnishauri nifanye nn juu ya hili maana yeye hana tatizo lolote kwenye kuzazi chake ila Mimi ndio kwenye tatizo.
Nipo tayari kushauriwa hata kukejeliwa pia.
Pole sana,usimfiche,ni bora umwambie ukweli.
 
Pole sana ndugu yangu kwa tatizo hilo......
Usijione mpweke kwa kuwa na tatizo hilo kwani sio wewe pekee yako mwenye tatizo kama hilo.....

Kukaa kimya sio dawa ya tatizo lako.....kama ambavyo wewe umevunja ukimya na kuongea na dokta....ndivyo ambavyo unatakiwa kuvunja ukimya kuzungumza na mkeo.....mtakapokuwa mmezungumza ndio mtakapo weza kujadiliana namna ya kukabiliana na tatizo hilo.......
 
Habari za mchana, Mimi ni Kijana wa miaka 30 nimeoa miaka miwili iliyopita na nampenda sana mke wangu.
Nimejaribu kumpa mimba mke wangu kwa miaka 2 hiyo lakini imeshindikana, ilinibidi niende kwa doctor ktk Hosp moja hapa jijini lakini baada ya vipimo ilionekana sitoweza pata Mtoto maishani mwangu, nimeumizwa sana na hili tatizo.
Ninahitaji ushauri kama nimwambie mke wangu juu ya hili au nikae tu kimya? Ikumbukwe kwamba tupo mikoa tofauti kwa ajili ya majukumu ya kikazi na yeye kapania sana kupata Mtoto December hii kwamba kajiandaa kuchukua likizo ili abebe mimba atakapo kuja.
Naombeni mnishauri nifanye nn juu ya hili maana yeye hana tatizo lolote kwenye kuzazi chake ila Mimi ndio kwenye tatizo.
Nipo tayari kushauriwa hata kukejeliwa pia.

Sikiliza kijana, nenda hospitali za nje, maana siku hizi hata kama una produce sperms chache sana wana uwezo wa kuzipandikiza na ukapata mtoto, huyo Dr. Asikukatishe tamaa.
 
Mshirikishe mkuu kisha muende kuombewa. Mungu anaweza kuwapa mtoto, usikate tamaa. Yote yawezekana ukiamini.
 
Bro naomba nikuulize simple tu,una errect vizuri? Kama ni ndi nsjua una uwezo wa kusex,na una ejaculate? Kama yote hayo yanafanyika basi mtoto utapata.ni PM.
Ninaerect vzr na Ninamwaga sijui tatizo ni nn.....anyway Nakuja PM
 
Habari za mchana, Mimi ni Kijana wa miaka 30 nimeoa miaka miwili iliyopita na nampenda sana mke wangu.
Nimejaribu kumpa mimba mke wangu kwa miaka 2 hiyo lakini imeshindikana, ilinibidi niende kwa doctor ktk Hosp moja hapa jijini lakini baada ya vipimo ilionekana sitoweza pata Mtoto maishani mwangu, nimeumizwa sana na hili tatizo.
Ninahitaji ushauri kama nimwambie mke wangu juu ya hili au nikae tu kimya? Ikumbukwe kwamba tupo mikoa tofauti kwa ajili ya majukumu ya kikazi na yeye kapania sana kupata Mtoto December hii kwamba kajiandaa kuchukua likizo ili abebe mimba atakapo kuja.
Naombeni mnishauri nifanye nn juu ya hili maana yeye hana tatizo lolote kwenye kuzazi chake ila Mimi ndio kwenye tatizo.
Nipo tayari kushauriwa hata kukejeliwa pia.
haya maumivu unayojiskia sasa hivi ni kama yale ya mwanamke anayenyanyaswa akiwa hajapata ujauzito ndani ya ndoa yake .. maumivu ni makali sana na ukijumlisha na masimango ya mume na mawifi uwii halafu ukute chanzo ni mwanaume ambaye anaamini kuweza kudisa ndo kuweza kumpa mimba mwanamke hataki kupima ni kumdharau mwanamke tu dah huwa inaumiza kupita maelezo
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom