Ushauri: Mke anataka mtoto, mimi sina uwezo huo

Ushauri: Mke anataka mtoto, mimi sina uwezo huo

Ok...shida iliyopo ni kwamba mke wangu ni yatima mama na baba zake na wadogo zake walifariki zamani sana sasa naona hili litamfanya akose furaha
Mkuu kama mkeo huwa anapita humu si atakuwa keshajua.....!!!!!
 
Mkuu kama mkeo huwa anapita humu si atakuwa keshajua.....!!!!!
Sio mpz wa jamii forum.....ktk kipindi nilicho kaa nae nimegundua haingi huku.....akiingia bas labda awe anasachi vtu google then wanamlink kuja huku.
 
Sio mpz wa jamii forum.....ktk kipindi nilicho kaa nae nimegundua haingi huku.....akiingia bas labda awe anasachi vtu google then wanamlink kuja huku.
Ok! Pole sana, fuata ushauri wa kwenda kupima kwa madaktari wengine na upate ushauri wao kwani hakuna kinachoshindikana chini ya jua na kama mambo yakiwa magumu usimwambie mkeo moja kwa moja ila mchukue muende hospitali mkapime wote ili akaambiwe hukohuko.

Kuna wenzenu walioana 1998 na wakaja kupata mtoto 2006 nyinyi miaka 2 ni michache sana usikate tamaa mkuu.
 
Go n get anointed water from tb Joshua use it,read the bible and have faith,God will give you kids.
In red: My Jesus! dotcom Christians depend on peoples' water instead of having faith in your shed holy blood!
 
Mweleze ukweli wa hali yako na ikiwezekana mtafute nia mbadala wa yeye kubeba mimba, akikubali nistue natoa huduma hiyo bure!!!
 
Matasa na wagumba wana watoto leo kwa jina la Yesu kaka kaa na imani kuwa ipo siku italewa na wewe mwanao,nakuombea baraka za uzazi ziambatane na wewe.
 
Daah pole sana ndugu, Cha kufanya muweke wazi mkeo. Then yeye ataamua nini cha kufanya...!! Ila tegemeo lako liwe kwa mungu maana ni yeye pekee ndie atakae tengua majibu ya madaktari.
 
Hii mambo ni ngumu sana. Huyo mkeo mwambie ukweli ili afanye maamuzi yeye mwenyewe kubaki au kuondoka. Alafu wewe mwenyewe jikubali tu maisha yasonge mbele, nani kaniambia furaha ya maisha lazima uwe na mtoto? Tafuta pesa wewe ufaidi maisha.

Niliishi kwenye ndoa miaka mitatu bila ya kupata mtoto, mke wangu akaingiwa na wasiwasi uenda yeye ndiyo ana matatizo maana mimi napiga mzigo mpaka ile nikiingia ndani ya nyumba mke wangu anaogopa. Sasa kwenda kupima mimi ndiyo nikakutwa na tatizo azospemia. Nikamuambia mke wangu kama anataka kuondoka na aende mimi sina shida, akachagua kuishi na mimi mpaka sasa huu ni mwaka wa sita wa ndoa bila ya mtoto. Changamoto ni nyingi sana na ngumu, tumeshaachana mara mbili na kurudiana (sisi ni waislamu).
 
Hayo ni majibu ya daktari, yako majibu ya Mungu pia..mfano tukisoma Biblia unaona Rebeca mke wa Isaka alikuwa tasa mume wake akaomba kwa ajili yake na wakazaa mapacha...kwa Mungu yote yawezekana

Mara nyingi male infertility ni ngumu zaidi kutreat. Ila kwa Mungu yote yanawezekana.
 
Hii mambo ni ngumu sana. Huyo mkeo mwambie ukweli ili afanye maamuzi yeye mwenyewe kubaki au kuondoka. Alafu wewe mwenyewe jikubali tu maisha yasonge mbele, nani kaniambia furaha ya maisha lazima uwe na mtoto? Tafuta pesa wewe ufaidi maisha.

Niliishi kwenye ndoa miaka mitatu bila ya kupata mtoto, mke wangu akaingiwa na wasiwasi uenda yeye ndiyo ana matatizo maana mimi napiga mzigo mpaka ile nikiingia ndani ya nyumba mke wangu anaogopa. Sasa kwenda kupima mimi ndiyo nikakutwa na tatizo azospemia. Nikamuambia mke wangu kama anataka kuondoka na aende mimi sina shida, akachagua kuishi na mimi mpaka sasa huu ni mwaka wa sita wa ndoa bila ya mtoto. Changamoto ni nyingi sana na ngumu, tumeshaachana mara mbili na kurudiana (sisi ni waislamu).

Poleni sana. Hongera pia kwa ukweli wakonna uhuru uliompa mkeo. Hospitali ipi uliyoenda wakapata majibu ya azospermia?
 
Poleni sana. Hongera pia kwa ukweli wakonna uhuru uliompa mkeo. Hospitali ipi uliyoenda wakapata majibu ya azospermia?

Nilifanya seminal analysis katika hospitali tatu tofauti, then scrotum ultrasound. At the end of the treatment advice is IVF by sperms aspiration. Do you have any other treatment optional?
 
Hebu jaribu kutafuta tiba za asili (mitishamba), usiende kwa waganga wa kienyeji wale wanaopiga lamli nenda kwa wale wanaouza Dawa za mitishamba au nenda kwenye maduka ya Dawa za kisunna waambie tatizo lako watakusaidia
 
Back
Top Bottom