Usimwambie, ila ipo siku yeye atakwambia "BABY JIANDAE KUITWA BABA". Hapo ndo utajua kuwa hawa wenzetu co watu wa sportsports na kwanini Eden kona walianza kulifanya wao lkn adhabu kubwa tukapewa wanaume.Habari za mchana,
Mimi ni kijana wa miaka 30 nimeoa miaka miwili iliyopita na nampenda sana mke wangu.Nimejaribu kumpa mimba mke wangu kwa miaka 2 hiyo lakini imeshindikana, ilinibidi niende kwa doctor katika hospitali moja hapa jijini lakini baada ya vipimo ilionekana sitoweza pata Mtoto maishani mwangu, nimeumizwa sana na hili tatizo.
Ninahitaji ushauri kama nimwambie mke wangu juu ya hili au nikae tu kimya? Ikumbukwe kwamba tupo mikoa tofauti kwa ajili ya majukumu ya kikazi na yeye kapania sana kupata mtoto December hii kwamba kajiandaa kuchukua likizo ili abebe mimba atakapokuja.
Naombeni mnishauri nifanye nini juu ya hili maana yeye hana tatizo lolote kwenye kizazi chake ila mimi ndio kwenye tatizo.
Nipo tayari kushauriwa hata kukejeliwa pia.
Habari za mchana,