Yah maana matatizo mengine yanatibika kwa mitishamba angesema tatizoHospitaln wamekwambia una tatzo gan mkuu?
Ni kweli..huku pia kuna watu walishawahi kupata matatizo mbalimbal ila walipoyaweka wazi wakapata msaada na hatimaye kufanikiwa.Yah maana matatizo mengine yanatibika kwa mitishamba angesema tatizo
Kuna kaka mmoja naye aliambiwa kuwa ana case kama ya kwako baada ya kuishi na mkewe kwa miaka 5 bila kupata mtoto,walipimwa mwanaume akaambiwa sperms zake hazina uwezo wa kumimbisha,alianza kutumia dawa za miti shamba pamoja na vyakula vya protin alivyoshauriwa na wataalamu wa tiba mbadala..Ndio hicho nachoogopa..asante kwa ushauri
N kweli mitishamba inasaidia sometymKuna kaka mmoja naye aliambiwa kuwa ana case kama ya kwako baada ya kuishi na mkewe kwa miaka 5 bila kupata mtoto,walipimwa mwanaume akaambiwa sperms zake hazina uwezo wa kumimbisha,alianza kutumia dawa za miti shamba pamoja na vyakula vya protin alivyoshauriwa na wataalamu wa tiba mbadala..
Mwaka wa saba wa ndoa yake mke akabeba mimba,kuna baadhi ya watu wakawa wanasubiri kwa makini mtoto atakayezaliwa kwani walihisi kuwa labada wametafuta sperm donor..
Mungu si Athumani, mtoto na baba yake ni copy and paste... Na kwa sasa wana watoto wawili...
Kwa nasaba hawa wanandoa wananiita mama. So ni watu nawafahamu vizuri.
Mtoa mada rudia vipimo, tafuta na tiba mbadala, zingatia lishe bora... Kuwa na subira, ipo siku Mungu atakubariki.
Wanasema mbegu zangu ni weak hazina uwezo wa kumimbisha.Hospitaln wamekwambia una tatzo gan mkuu?
Asante kwa ushauriPole sana kaka...kwanza badili hospital nenda kwa madaktari bingwa hata regency maana huwezi kuhitimisha kwa daktar mmoja...kitu cha pili mwambie ukweli mkeo atakuelewa tu kama ana utu sisi wanawake ni wavumilivu na ukimwambia ukweli mtaangaika wote kutafuta tiba pamoja na mungu atakusaidia jaribu na dawa za kihaya nasikia ni nzuri pole sana
why not just have faith and GOD will do the rest if you pray! why add anointed water from TB JOSHUAGo n get anointed water from tb Joshua use it,read the bible and have faith,God will give you kids.
Kinachoniumiza kichwa ni kuwa huyu mwenzangu kabaki peke yake hana ndugu hata mmoja wa tumbo mmoja....sasa hii kisaikolojia Utakuwa mtihani Mkubwa sanaPole sana kaka...kwanza badili hospital nenda kwa madaktari bingwa hata regency maana huwezi kuhitimisha kwa daktar mmoja...kitu cha pili mwambie ukweli mkeo atakuelewa tu kama ana utu sisi wanawake ni wavumilivu na ukimwambia ukweli mtaangaika wote kutafuta tiba pamoja na mungu atakusaidia jaribu na dawa za kihaya nasikia ni nzuri pole sana
Asante kwa ushauri.....Hosp za nje changamoto ni kipato....lakini ntapambana hadi mwisho.Sikiliza kijana, nenda hospitali za nje, maana siku hizi hata kama una produce sperms chache sana wana uwezo wa kuzipandikiza na ukapata mtoto, huyo Dr. Asikukatishe tamaa.
AminMkeo Ana amini atapata ujauzito, nawe Amini Inawezekana and God atakusaidia. Mtangulize God Sana.
Pole sana,kuwa na iman utapona tatzo lako mkuu. Chamuhm maombi kwa Mungu na kuzingatia lishe ya vyakula vya asili na matunda. Usisahau pia kufanya mazoez ila yasiwe magum sana.Wanasema mbegu zangu ni weak hazina uwezo wa kumimbisha.
Ngoja npambane kwanza kutafuta tiba ikushindikana ntawashirikisha.Pole bt utakavyomwambia mkeo hakikisha had mamako anajua kama uez na mawif ili wasianze kumcmamnga... Maana hao ndo uwa wanawacmanga mno sasa ili wanyamaze kimya wajue nn wew....
niwajuavyo wanawake ni heri ufiche tu,lasivyo ukiamua kumwambia basi uwe na uwezo wa kifedha angalau atatulia la sivyo hutaishi kwa amani hata punjeHabari za mchana, Mimi ni Kijana wa miaka 30 nimeoa miaka miwili iliyopita na nampenda sana mke wangu.
Nimejaribu kumpa mimba mke wangu kwa miaka 2 hiyo lakini imeshindikana, ilinibidi niende kwa doctor ktk Hosp moja hapa jijini lakini baada ya vipimo ilionekana sitoweza pata Mtoto maishani mwangu, nimeumizwa sana na hili tatizo.
Ninahitaji ushauri kama nimwambie mke wangu juu ya hili au nikae tu kimya? Ikumbukwe kwamba tupo mikoa tofauti kwa ajili ya majukumu ya kikazi na yeye kapania sana kupata Mtoto December hii kwamba kajiandaa kuchukua likizo ili abebe mimba atakapo kuja.
Naombeni mnishauri nifanye nn juu ya hili maana yeye hana tatizo lolote kwenye kuzazi chake ila Mimi ndio kwenye tatizo.
Nipo tayari kushauriwa hata kukejeliwa pia.
Dr aliniambia kuwa sperm ziko weak....hapo sasa nilichanganyikiwa kiasi nilishindwa kuhoji vzr.Kaka pole sana, ila binafsi nilitamani ungeweka wazi tatizo lako pengine hospital hawawezi kulitibu lakini kuna matibabu mbadala yanaweza badiri mstakabali wako. Mke wako ni wako mueleze ukweli na mtafute namna ya kulimaliza tatizo kwa pamoja