Ushauri: Mchumba wangu anataka kunipeleka kwa Mchungaji wake kabla

Ushauri: Mchumba wangu anataka kunipeleka kwa Mchungaji wake kabla

Ni Bora ya huyo Mke wako Mtarajiwa anakwambia muende Kwa Mchungaji...!

Japo vile ulivyoeleza hapa sio vile alivyokwambia....! Nenda nae na Mchungaji atawaombea.....!

Shetani Huwa anachukia kuona Watu wanafunga ndoa.
Nimekuelewa mkuu ushauri wako Mzuri.
 
Kabla sijatoa ushauri, mmeshakula tunda?
 
Mwaka huu tuna mpango wa kufungw ndoa na huyu mpenzi wangu na tulikubaliana nitume mshenga apeleke posa kwao, Sasa naona amekuja na hoja kwamba kabla ya yote anipeleke kwa Mchugaji wake wa miaka mingi na ana muhamini sana huyu mchugaji wake kwa maono ya mambo ya Nyuma ya pazia, je ni sahii mchungaji kutoa maono kwa Mwanamke kama Mwanaume anafaa kufunga nae ndoa?
Na je mliokua kwenye ndoa mlipelekana kwanza kwa wachugaji wenu ili kuwapa maono ya wenza wenu watarajiwa kama wanafaa kufunga nao ndoa kabla ya kwenda kutambulisha kwa Wazazi?
Gentleman,
akueleze vizuri kwamba anaenda kukutambulisha kwa mchepuko wake ili huyo anae dai ni mchungaji wake akuone ikiwa unaweza kumzuia asiendelee kula nae uroda ama laa kulingana na muonekano wako wa kinyongea au kijasiri.

Na nikuhakikishie tu,
kwamba ukionekana ni mkaksi na hardcore kwa sura, na kwamba unaweza kua unamfatilia sana huyo mwanamke, huyo mchungaji atamwambia huyo dada kiushuhuda kwamba wewe hufai kabisaa kua mume wa huyo mlokole.

But,
ukionekana ni mnyonge sana kwa sura lakini pia kiuchumi mathalani hata simu unayotumia ni kitochi, basi huyo mchungaji atamwambia huyo dada, mungu amemuonyesha kwamba wewe ni mume sahihi sana kwa hayo dada,
ili atumie unyonge wako kumfaidi zaidi huyo dada.

Fuata taratibu za kawaida za kijamii.
wachungaji wengi ni vitisho vya kufungisha na kuvuruga ndoa za watu 🐒
 
mwanamke wako hana akili, wewe ukikubali unakuwa huna akili zaidi na kama ukikubali kwa ujinga wako iyo ndoa atakaye kuwa anaiendesha ni mchungaji na sio wewe

achana na huyo punguani mapema sana
 
ujinga.... yaani hapo anamuamini huyo pastor kuliko mtu yeyote na akimwambia chochote kuhusu wewe umekwisha
 
Nikweli lakini ninavyojua mchakato namba moja lazima uanzie kwa Wazazi na siyo Mchungaji anachukua nafasi ya kwanza kupitisha ndoa au kuikataa ndoa kuliko Wazazi, ina maana mchungaji akimkataa Mchumba ndoa inakua haipo na Wazazi hawana nguvu tena.
Vyote ni Sawa na muhimu, mchungaji anaweza kuona kitu ambacho mzazi hawezi kuona, na mzazi anaweza kubaini kitu ambacho mchungaji asingekibaini haraka.
 
Mwaka huu tuna mpango wa kufungw ndoa na huyu mpenzi wangu na tulikubaliana nitume mshenga apeleke posa kwao, Sasa naona amekuja na hoja kwamba kabla ya yote anipeleke kwa Mchugaji wake wa miaka mingi na ana muhamini sana huyu mchugaji wake kwa maono ya mambo ya Nyuma ya pazia, je ni sahii mchungaji kutoa maono kwa Mwanamke kama Mwanaume anafaa kufunga nae ndoa?
Na je mliokua kwenye ndoa mlipelekana kwanza kwa wachugaji wenu ili kuwapa maono ya wenza wenu watarajiwa kama wanafaa kufunga nao ndoa kabla ya kwenda kutambulisha kwa Wazazi?
Kwa dunia ya leo mwnye uhitaji wa ndoa ni mwanamke,sasa hatakiwi kukupangia masharti as if unaenda kufanyiwa judgement huyo mchungaji akisema yes ndoa ipo akisema no hakuna ndoa,ww amuq kama unaoa au unaenda kupangiwa taratibu!!
 
Wasiwasi wangu Ushauri wa huyo Mchungaji kuhusu maono anaweza akasema kaonyeshwa kwenye maono yake Mimi siyo mtu sahii kwa huyo binti, na Huyu mpenzi wangu kaniambia ana muhamini %100 kuhusu mambo anayomwambia na kaniambia huyu Mchungaji wake yupo nae Miaka mingi na Maono yake yanakua ya ukweli kwa %100.
Binti kama ana ukomavu ataelewa na akiwa hana atakuwa amekusaidia mapema kabla hamjaingia kwenye ndoa rasmi. Mipango ya Mungu ni mingi, suala la mke ni nyeti sana, hupaswi kuingia kichwa kichwa, usiogope mchakato.
 
Kwa dunia ya leo mwnye uhitaji wa ndoa ni mwanamke,sasa hatakiwi kukupangia masharti as if unaenda kufanyiwa judgement huyo mchungaji akisema yes ndoa ipo akisema no hakuna ndoa,ww amuq kama unaoa au unaenda kupangiwa taratibu!!
Huyu mchumba wangu amenishtua aliponiambia tukienda kwa mchungaji akishaniona na kumuelezea ujio wetu kwake basi mchungaji atampa maono kama mimi nina mwanamke mwingine pembeni au Mimi siyo mtu sahii kwake
 
Mwaka huu tuna mpango wa kufungw ndoa na huyu mpenzi wangu na tulikubaliana nitume mshenga apeleke posa kwao, Sasa naona amekuja na hoja kwamba kabla ya yote anipeleke kwa Mchugaji wake wa miaka mingi na ana muhamini sana huyu mchugaji wake kwa maono ya mambo ya Nyuma ya pazia, je ni sahii mchungaji kutoa maono kwa Mwanamke kama Mwanaume anafaa kufunga nae ndoa?
Na je mliokua kwenye ndoa mlipelekana kwanza kwa wachugaji wenu ili kuwapa maono ya wenza wenu watarajiwa kama wanafaa kufunga nao ndoa kabla ya kwenda kutambulisha kwa Wazazi?
Nenda kamsikilize mchungaji anasemaje ulete mrejesho
 
Back
Top Bottom