CHIEF PRIEST
JF-Expert Member
- Dec 13, 2021
- 21,651
- 42,749
Mpachike mimba kwanza ndiyo muende kwa huyo Mchungaji wake.
Kama jamaa sio muumini wa kanisa la huyo mchungaji, ajue kabisa mchungaji atasema hafaiKama unajiamini huyo ni wako wasiwasi watoka wapi
Anamuhamini = AnamuaminiMwaka huu tuna mpango wa kufungw ndoa na huyu mpenzi wangu na tulikubaliana nitume mshenga apeleke posa kwao, Sasa naona amekuja na hoja kwamba kabla ya yote anipeleke kwa Mchugaji wake wa miaka mingi na ana muhamini sana huyu mchugaji wake kwa maono ya mambo ya Nyuma ya pazia, je ni sahii mchungaji kutoa maono kwa Mwanamke kama Mwanaume anafaa kufunga nae ndoa?
Na je mliokua kwenye ndoa mlipelekana kwanza kwa wachugaji wenu ili kuwapa maono ya wenza wenu watarajiwa kama wanafaa kufunga nao ndoa kabla ya kwenda kutambulisha kwa Wazazi?
Hiyo sentenci uliyosema kuwa mchungaji wake na anamuamini Kwa 100% kwhy mchungaji yupo Above usipo angalia unaweza kujikuta wew nd unatumika kuhalalisha mchungaji kuchapa vizuri manzi yakoYeye anavyomita nimesikia anamuita Mchugaji, Mimi nimeingiwa na hofu baada ya kuniambia ana muhamini Mchungaji kwa % 100 kwa Maono yake, Nawasiwasi jambo lolote akiambiwa kuhusu mimi ataliamini ata kama siyo la kweli.
Nikweli lakini ninavyojua mchakato namba moja lazima uanzie kwa Wazazi na siyo Mchungaji anachukua nafasi ya kwanza kupitisha ndoa au kuikataa ndoa kuliko Wazazi, ina maana mchungaji akimkataa Mchumba ndoa inakua haipo na Wazazi hawana nguvu tena.Nenda, kuoa kuna michakato yake.
Kama kweli umedhamiria kumuoa shida iko wapi?Mwaka huu tuna mpango wa kufungw ndoa na huyu mpenzi wangu na tulikubaliana nitume mshenga apeleke posa kwao, Sasa naona amekuja na hoja kwamba kabla ya yote anipeleke kwa Mchugaji wake wa miaka mingi na ana muhamini sana huyu mchugaji wake kwa maono ya mambo ya Nyuma ya pazia, je ni sahii mchungaji kutoa maono kwa Mwanamke kama Mwanaume anafaa kufunga nae ndoa?
Na je mliokua kwenye ndoa mlipelekana kwanza kwa wachugaji wenu ili kuwapa maono ya wenza wenu watarajiwa kama wanafaa kufunga nao ndoa kabla ya kwenda kutambulisha kwa Wazazi?
Hapana mkuu, wanawake wengi wana hao wachungaji wao wao huwaita baba.Mkuu,kwepa uo mtiani wa kingese,,inaelekea huyo boya mchungaji anamtafuna huyo kondoo kwa hiyo anaenda kukusoma kisaikolojia km wewe ni mbogo....km ni mbogo atamwambia usimuoe.
Wasiwasi wangu Ushauri wa huyo Mchungaji kuhusu maono anaweza akasema kaonyeshwa kwenye maono yake Mimi siyo mtu sahii kwa huyo binti, na Huyu mpenzi wangu kaniambia ana muhamini %100 kuhusu mambo anayomwambia na kaniambia huyu Mchungaji wake yupo nae Miaka mingi na Maono yake yanakua ya ukweli kwa %100.Kama unajiamini huyo ni wako wasiwasi watoka wapi