...so materialistic kind of love, nadhani unachangia kwa kiwango kikubwa kumyumbisha mwenzio.
unadhani mapenzi ni simu, pesa, kutumana bank nk? unadhani ukimpigia simu kumtishia upo mguu ndani mguu nje ndio uta solve au ndio kwanza utampa go ahead kwa anavyojiskia kutokukuamini na wewe?
...ninavyoitafsiri kesi yako...yeye anakuona unamtumia, na wewe unamuona unamtumia.--hamuaminiani!--
hizo doubts ulizonazo juu ya tabia zake bongo, ndio naye anavyo doubts tabia zako ughaibuni.
kisu hiki, inategemeana umeshikilia mpini au makali...
...peaneni 'healthy' distance, siku bado zipo za nyie wawili kusomana. matukio haya ya misunderstandings na
lack of communication, sababu ya long distance ni mambo ya kawaida kabisa....inategemeana na wenyewe akili
zenu zinavyoweza ku handle challenges kwa kipimo cha mapenzi na uaminifu wenu.
kumbuka, katika kipindi hiki ndipo wanawake wengi wanapofanya maamuzi ya mume anayefaa kumuoa,...
hizo chenga unazompiga kuhusu kumsaidia kipesa, zinamjengea hisia kwamba hata huko mbele ya safarai utakuwa mume wa aina hiyo hiyo ...
nawe hebu soma kwanza, mapenzi baadae...