Ushauri mapenzi ya mbali yananizingua

Ushauri mapenzi ya mbali yananizingua

Mwambie afanye kile ambacho ni sahihi kwa ajili yenu anapokaidi mpige chini wanawake wengi wakitendewa mema hufanya kinyume on return..... mi nshajifunza sana kwa hawa watu kama haelewi unampotezea mazima mbona warembo kibao akhaaaaaaaa

sorry wewe ni yule muhalango magoo?? comment yko nzuri sana.
 
Wanawake/mabinti wengi wa kipind iki ni magumash...mkiwa mkoa mmoja anakuchezea faulu sembuse ughaibuni....to be wise u jst move on bro apo hakuna kitu
 
wacha weeeee! hongera kwa kuopoa kimwana kipya.

Asante Husniyo,,,kumbe bado upo eeh!Yaani tangu nipost hapa hata sikumbuki ni wangapi wamepita but 1 kachaguliwa kwa sasa,,,naye akicheza tu............
 
mahusiano ni taasisi ngumu sana kuiendesha, kinachofanya hawa waachane, ndicho kilichowaunganisha wapenzi wale! huwa sina uungaji mkono ktk distant relations!
 
Back
Top Bottom