Gajungi
JF-Expert Member
- Sep 4, 2011
- 257
- 83
- Thread starter
- #61
Lizzy unasemaje kuhusu hii "We are not perfect,so,before you love someone,make sure your imperfections coincide!!!!"Kuna uwezekano kwamba anakutumia bila kuwa na malengo yoyote na wewe... Kuna uwezekano kwamba anakutumia akijua wewe ni wake na yeye ni wako. Swala la simu na kusaidiana pesa sio kama vimeanza leo. Muhimu ni ujue kama mwenzako yupo kwenye ukurasa sawa na uliopo wewe au la. Ongea nae umweleze kwamba wewe unataka kweli mahusiano yenu yafike mbali je yeye anatakaje? Kma nae atasema anataka muendelee unaweza ukapunguza hiyo misaada au ukaacha kwa muda mkabaki na mawasiliano tu kujua kama yuko na wewe kwaajili ya vijisenti tu au la. Ila swala la kutishana achana nalo....kua mwanaume na sio mtoto wa kiume.