Ushauri mapenzi ya mbali yananizingua

Ushauri mapenzi ya mbali yananizingua

Gajungi naona una tatizo la kupenda vyeupe wewe. Hivi huko uliko hakuna wa kiafrika mpaka utafute machotara ambao kwa asilimia 99 hatoweza kuishi kwa zaidi ya miaka mitano atarudi kwao. Au kama kwenu muna uwezo hapo ndiyo utapata mke. Ila huyo mkwe wetu wa huku usipoteze muda wako kuweka mitego itakayokupotezea muda wako, wewe potea pole pole uangalie ustaarabu mwengine.
Kaka ni kweli umejuaje kwamba hawa watu wanazingua?Anyway n utani tu najua wake wanapatikana huko home ndio maana nilijaribu hii. Usijali napotea taratibu.
 
Angekuwa mke wako sawa,inakuwaje unamghalamikia Gf namna hiyo,acha kutoa pesa ili uone kama ana mapenzi ya kweli ama vipi.
 
Make a decision kwa haraka huyo anamtu mwingine! Anataka pesa zako tu!
 
kaka huna chako hapo, tafuta hifadhi yakudumu.
 
Akili mkichwa kaka! fungua macho mapema kabla hujaibiwa zaidi.
 
Mwambie afanye kile ambacho ni sahihi kwa ajili yenu anapokaidi mpige chini wanawake wengi wakitendewa mema hufanya kinyume on return..... mi nshajifunza sana kwa hawa watu kama haelewi unampotezea mazima mbona warembo kibao akhaaaaaaaa
 
Habari wanajf. Mimi ni kijana wa kiume. Nathubutu kusema nina mpenzi Tanzania-Dar na mimi nipo ughaibuni kwa masomo tangu october 2009 hadi 2013. Huyu mpenzi wangu anasoma Diploma BBA Alinitaarifu kufiwa na baba yake. Pia aliniambia kapoteza simu, nilipomuuliza how akanimbia kwa utani we elewa tu nimepoteza simu, nikawa nampigia kupitia simu ya mama yake. Baada ya kuchukua muda mrefu bila simu nilimwambia kaka yangu ampe pesa anunue simu lakini aliniambia kuwa alinunua vitabu na si simu,nikaendelea kumpigia kupitia simu ya mama yake. Kuna muda aliniambia kuwa alipewa ada na kwa bahati mbaya aliipoteza ,hivyo tayari alishanitumia maombi ya ada laki 2,ingawa nilifanikiwa kumwelekeza kuwa kwa kipindi hiki nisingeweza kumsaidia mpaka december. Hivi karibuni nilimpigia mama yake na kunieleza kuwa tayari alishakuwa na simu[kwa nini asingeweza walau kunitumia sms kuwa sasa ana simu?] na nikampigia na kweli niliongea naye akanieleza kuwa sasa anatafuta hostel{hivyo anahitaji pesa toka kwangu}. Sasa kaka yangu aliyemtumia pesa alinishauri niachane naye kwa sababu anapenda sana pesa{ni nusu mchaga) kiasi kwamba hata hakuweza kutoa shukrani kwake.Niliwahi kumpa kazi ndogo ya kunitafutia information pale benki za Dar lakini hakunijibu chochote. Mpaka sasa nafikiri kumpigia simu na kumhoji maswali ambayo yatamwonesha kweli nipo mguu mmoja nje mwingine ndani. Yeye ni mzuri na anafikiri kuwa nimempenda kupindikua labda pia kinachomfanya anitie mashaka juu ya upendo wake kwangu. Ndugu zangu naombeni mnieleze iwapo kwa maelezo haya ninapendwa? au inayopendwa ni pesa yangu nilyonayo? Mimi sioni any kind of care hapo.Kwa hiyo nataka baada ya hapo nitafute kimwana huku na nianze kuishi maisha.

Angalia kwenye red colour. Nna wasiwasi kama unajua hata anachosomea vilevile acha udhalilishaji wa kikabila mkuu (red ya pili). Mkuu utachunwa mpaka ukome kuringa, na usikute wenzio wanatumbua hela unayoituma. Hivi kuna watu wasomi ambao ni wazito kuelewa kiasi hicho? Kifupi unaliwa mkuu!
 
Habari wanajf. Mimi ni kijana wa kiume. Nathubutu kusema nina mpenzi Tanzania-Dar na mimi nipo ughaibuni kwa masomo tangu october 2009 hadi 2013. Huyu mpenzi wangu anasoma Diploma BBA Alinitaarifu kufiwa na baba yake. Pia aliniambia kapoteza simu, nilipomuuliza how akanimbia kwa utani we elewa tu nimepoteza simu, nikawa nampigia kupitia simu ya mama yake. Baada ya kuchukua muda mrefu bila simu nilimwambia kaka yangu ampe pesa anunue simu lakini aliniambia kuwa alinunua vitabu na si simu,nikaendelea kumpigia kupitia simu ya mama yake. Kuna muda aliniambia kuwa alipewa ada na kwa bahati mbaya aliipoteza ,hivyo tayari alishanitumia maombi ya ada laki 2,ingawa nilifanikiwa kumwelekeza kuwa kwa kipindi hiki nisingeweza kumsaidia mpaka december. Hivi karibuni nilimpigia mama yake na kunieleza kuwa tayari alishakuwa na simu[kwa nini asingeweza walau kunitumia sms kuwa sasa ana simu?] na nikampigia na kweli niliongea naye akanieleza kuwa sasa anatafuta hostel{hivyo anahitaji pesa toka kwangu}. Sasa kaka yangu aliyemtumia pesa alinishauri niachane naye kwa sababu anapenda sana pesa{ni nusu mchaga) kiasi kwamba hata hakuweza kutoa shukrani kwake.Niliwahi kumpa kazi ndogo ya kunitafutia information pale benki za Dar lakini hakunijibu chochote. Mpaka sasa nafikiri kumpigia simu na kumhoji maswali ambayo yatamwonesha kweli nipo mguu mmoja nje mwingine ndani. Yeye ni mzuri na anafikiri kuwa nimempenda kupindikua labda pia kinachomfanya anitie mashaka juu ya upendo wake kwangu. Ndugu zangu naombeni mnieleze iwapo kwa maelezo haya ninapendwa? au inayopendwa ni pesa yangu nilyonayo? Mimi sioni any kind of care hapo.Kwa hiyo nataka baada ya hapo nitafute kimwana huku na nianze kuishi maisha.

Du wachagga mwaka huu mboni tutajibeba!!!Enewei................
Gajungi:
Kama mwenzio amefiwa na baba yake na wewe unao uwezo wa kumsaidia shida mbili/ tatu, what's the big deal? Truthfully speaking to me you sound like, kwakuwa umetoa hizo hela , you somehow feel entitled to her life and what not! Yaani you want her to bend over backwards, na kunyenyekewa fulani hivi!! You seem to expect that her everything should be you!!!. e,g nimempa hela ya simu, hajamshukuru kaka...blah blah blah. We si umesha pitia maisha ya chuo,??So you should know that there's more to life than catering to one's bf needs...ie Kusoma, lectures to attend, assignments, exam to worry about and so on!
 
Ni pm email yake au account yake ya facebook alafu nimpige saundi akiingia bila kuniambia upo wewe au akasema hajawahi kuwa na mpenzi nadhani hiyo itakuwa visibility outcome then you will need to let her go.
 
kaa usome wewe elimu ni ufunguo wa maisha..we badala ya kusoma unahangaika na midege isiyoliwa....
 
mdelete mkuu! mademu wengi wa chuo mcharuko tu!
 
jombaa huyo ni kunguru hafugiki utapoteza mda wako
 
Tukushauri nini angalia maelezo yako huyo ni dunga embe na kama sijakosea wewe ni Micro ATM na sijakosea tena kusema ni wa Udsm.

ina maana malaya wa hapa bongo wako udsm 2,wee vp?
 
Hapo hakuna kitu angalia usije ambulia magonjwa bure
 
Du wachagga mwaka huu mboni tutajibeba!!!Enewei................ Gajungi: Kama mwenzio amefiwa na baba yake na wewe unao uwezo wa kumsaidia shida mbili/ tatu, what's the big deal? Truthfully speaking to me you sound like, kwakuwa umetoa hizo hela , you somehow feel entitled to her life and what not! Yaani you want her to bend over backwards, na kunyenyekewa fulani hivi!! You seem to expect that her everything should be you!!!. e,g nimempa hela ya simu, hajamshukuru kaka...blah blah blah. We si umesha pitia maisha ya chuo,??So you should know that there's more to life than catering to one's bf needs...ie Kusoma, lectures to attend, assignments, exam to worry about and so on!
Kati ya watu wote ww unaangalia pande zote, lakini angalia na uwe fair ,katika kipindi chote hichi hajawahi hata kutuma sms ya kunijulia hali,yaani kipindi chote si likizo wala kipindi cha shule. Kingine kinachonifanya niogope ni huko kuibiwa halafu baadaye nikamkuta kaolewa na wengine au akaniletea magonjwa and such sorts. Mimi sipendi kunyenyekewa ,just normal care is enough.hata hiyo kidogo hana. Na wanasema kushukuru ni kuomba mara ya pili au shukuru kwa kila jambo. Nisingependa kujifanya mtakatifu wakati sio,nami ni binadamu sitaki stress maana siajumbwa kuteseka,kama yy ameshindwa majukumu natafuta anayecare after all nisingependa kubembeleza kupita kiasi.
 
Back
Top Bottom