Wadada wakikenya hawafai kabisa

Wadada wakikenya hawafai kabisa

Chadema 2030

JF-Expert Member
Joined
May 5, 2025
Posts
1,916
Reaction score
3,747
Kuna msela wangu ameoa kenya ila alikuwa aninihadithia simuliz yake ya ndoa kuwa alifanikiwa kuoa mkikuyu. Alinieleza anajutia kuoa huko. Mke wake anamtukana mbele ya watoto na ni mjeuri sana haambiliki.
Huwa anampenda akiwa na pesa asipokuwa nayo ni ugomv mtup.na amemtishia toka siku nyingi atamuacha na aondoke na wanawe.

Baada ya kukaa bongo kwa miaka 2. Siku moja baada ya kutoka kazini alikuta mkewe kasha ondoka na wanawe, alijarib kumpigia simu ila haikupokelewa.

Jamaa anajutia sana kuoa mkenya saivI mda wake ushaenda na kuoa saiv noma, alikarirI kuwa wakenya hawafai
 
Kama ni legelege hawezi kuishi na mkikuyu. Ki historia hao ni rebellion, ukienda Mlima Kenya asilimia kubwa ya watoto hawana baba na majina yao huwa wanapewa ya mama zao endapo dingi amezingua, mfano unakuta mtu anaitwa Kamau Waicera.
Ni vyema kuelewa utamaduni wa jamii kabla ya kukimbilia kuoa.
 
Back
Top Bottom