Ushauri mapenzi ya mbali yananizingua

Gajungi

JF-Expert Member
Sep 4, 2011
257
82
Habari wanajf. Mimi ni kijana wa kiume. Nathubutu kusema nina mpenzi Tanzania-Dar na mimi nipo ughaibuni kwa masomo tangu october 2009 hadi 2013. Huyu mpenzi wangu anasoma Diploma BA Alinitaarifu kufiwa na baba yake. Pia aliniambia kapoteza simu, nilipomuuliza how akanimbia kwa utani we elewa tu nimepoteza simu, nikawa nampigia kupitia simu ya mama yake. Baada ya kuchukua muda mrefu bila simu nilimwambia kaka yangu ampe pesa anunue simu lakini aliniambia kuwa alinunua vitabu na si simu,nikaendelea kumpigia kupitia simu ya mama yake. Kuna muda aliniambia kuwa alipewa ada na kwa bahati mbaya aliipoteza ,hivyo tayari alishanitumia maombi ya ada laki 2,ingawa nilifanikiwa kumwelekeza kuwa kwa kipindi hiki nisingeweza kumsaidia mpaka december. Hivi karibuni nilimpigia mama yake na kunieleza kuwa tayari alishakuwa na simu[kwa nini asingeweza walau kunitumia sms kuwa sasa ana simu?] na nikampigia na kweli niliongea naye akanieleza kuwa sasa anatafuta hostel{hivyo anahitaji pesa toka kwangu}. Sasa kaka yangu aliyemtumia pesa alinishauri niachane naye kwa sababu anapenda sana pesa{ni nusu mchaga) kiasi kwamba hata hakuweza kutoa shukrani kwake.Niliwahi kumpa kazi ndogo ya kunitafutia information pale benki za Dar lakini hakunijibu chochote. Mpaka sasa nafikiri kumpigia simu na kumhoji maswali ambayo yatamwonesha kweli nipo mguu mmoja nje mwingine ndani. Yeye ni mzuri na anafikiri kuwa nimempenda kupindikua labda pia kinachomfanya anitie mashaka juu ya upendo wake kwangu. Ndugu zangu naombeni mnieleze iwapo kwa maelezo haya ninapendwa? au inayopendwa ni pesa yangu nilyonayo? Mimi sioni any kind of care hapo.Kwa hiyo nataka baada ya hapo nitafute kimwana huku na nianze kuishi maisha.
 
  • Thanks
Reactions: amu

Baba Erick

JF-Expert Member
Aug 24, 2011
483
74
Tukushauri nini angalia maelezo yako huyo ni dunga embe na kama sijakosea wewe ni Micro ATM na sijakosea tena kusema ni wa Udsm.
 
Husninyo

JF-Expert Member
Oct 24, 2010
23,788
9,115
Akili yako ina akili sana Husniyo ingekuwa wewe naona mambo yangeenda murua.

mi ningekuwa wewe hata nisingejifikiria mara mbili. Ukiona mawasiliano na mpenz wako yana mashaka ujue kuna kitu hapo.
 
Mungi

JF Gold Member
Sep 23, 2010
16,980
9,547
Habari wanajf. Mimi ni kijana wa kiume. Nathubutu kusema nina mpenzi Tanzania-Dar na mimi nipo ughaibuni kwa masomo tangu october 2009 hadi 2013. Huyu mpenzi wangu anasoma Diploma BBA Alinitaarifu kufiwa na baba yake. Pia aliniambia kapoteza simu, nilipomuuliza how akanimbia kwa utani we elewa tu nimepoteza simu, nikawa nampigia kupitia simu ya mama yake. Baada ya kuchukua muda mrefu bila simu nilimwambia kaka yangu ampe pesa anunue simu lakini aliniambia kuwa alinunua vitabu na si simu,nikaendelea kumpigia kupitia simu ya mama yake. Kuna muda aliniambia kuwa alipewa ada na kwa bahati mbaya aliipoteza ,hivyo tayari alishanitumia maombi ya ada laki 2,ingawa nilifanikiwa kumwelekeza kuwa kwa kipindi hiki nisingeweza kumsaidia mpaka december. Hivi karibuni nilimpigia mama yake na kunieleza kuwa tayari alishakuwa na simu[kwa nini asingeweza walau kunitumia sms kuwa sasa ana simu?] na nikampigia na kweli niliongea naye akanieleza kuwa sasa anatafuta hostel{hivyo anahitaji pesa toka kwangu}. Sasa kaka yangu aliyemtumia pesa alinishauri niachane naye kwa sababu anapenda sana pesa{ni nusu mchaga) kiasi kwamba hata hakuweza kutoa shukrani kwake.Niliwahi kumpa kazi ndogo ya kunitafutia information pale benki za Dar lakini hakunijibu chochote. Mpaka sasa nafikiri kumpigia simu na kumhoji maswali ambayo yatamwonesha kweli nipo mguu mmoja nje mwingine ndani. Yeye ni mzuri na anafikiri kuwa nimempenda kupindikua labda pia kinachomfanya anitie mashaka juu ya upendo wake kwangu. Ndugu zangu naombeni mnieleze iwapo kwa maelezo haya ninapendwa? au inayopendwa ni pesa yangu nilyonayo? Mimi sioni any kind of care hapo.Kwa hiyo nataka baada ya hapo nitafute kimwana huku na nianze kuishi maisha.

Mkuu endelea na masomo yako hii ngoma utuachie tuipuyange wenyewe! hana nia na wewe kabisa! hayo ni mapenzi bila pesa haiwezekani Mkuu sepa!
 
Gajungi

JF-Expert Member
Sep 4, 2011
257
82
mi ningekuwa wewe hata nisingejifikiria mara mbili. Ukiona mawasiliano na mpenz wako yana mashaka ujue kuna kitu hapo.
Basi naona ameangukia pua sasa. Kunamtegemo nilishamwekea atajimaliza mwenyewe. Zaidi ya hayo nitampasulia jipu ili asijenilaumu siku moja.
 
Cantalisia

JF-Expert Member
Sep 26, 2011
5,223
2,902
Pole kaka,hapo hamna kitu,cheki line ya pili huko km inapatikana jiachie songesha maisha,ukijidai mvumilivu na kuendelea kutuma pesa itakula kwako,na cku ukija utaishia kulia tu!
 
Gajungi

JF-Expert Member
Sep 4, 2011
257
82
Tukushauri nini angalia maelezo yako huyo ni dunga embe na kama sijakosea wewe ni Micro ATM na sijakosea tena kusema ni wa Udsm.
Umekosea vyote ,anasoma maeneo ya posta. Pesa ya simu niliyomtumia ni ile ambayo alinipa wakati najiandaa kusafiri. Kwa hiyo hapo ngoma ni droo mzee ndio maana nilimpiga tarehe hadi december ili niwe na muda wa kumlipua.
 
Mbaha

JF-Expert Member
Nov 26, 2010
697
73
Habari wanajf. Mimi ni kijana wa kiume. Nathubutu kusema nina mpenzi Tanzania-Dar na mimi nipo ughaibuni kwa masomo tangu october 2009 hadi 2013. Huyu mpenzi wangu anasoma Diploma BBA Alinitaarifu kufiwa na baba yake. Pia aliniambia kapoteza simu, nilipomuuliza how akanimbia kwa utani we elewa tu nimepoteza simu, nikawa nampigia kupitia simu ya mama yake. Baada ya kuchukua muda mrefu bila simu nilimwambia kaka yangu ampe pesa anunue simu lakini aliniambia kuwa alinunua vitabu na si simu,nikaendelea kumpigia kupitia simu ya mama yake. Kuna muda aliniambia kuwa alipewa ada na kwa bahati mbaya aliipoteza ,hivyo tayari alishanitumia maombi ya ada laki 2,ingawa nilifanikiwa kumwelekeza kuwa kwa kipindi hiki nisingeweza kumsaidia mpaka december. Hivi karibuni nilimpigia mama yake na kunieleza kuwa tayari alishakuwa na simu[kwa nini asingeweza walau kunitumia sms kuwa sasa ana simu?] na nikampigia na kweli niliongea naye akanieleza kuwa sasa anatafuta hostel{hivyo anahitaji pesa toka kwangu}. Sasa kaka yangu aliyemtumia pesa alinishauri niachane naye kwa sababu anapenda sana pesa{ni nusu mchaga) kiasi kwamba hata hakuweza kutoa shukrani kwake.Niliwahi kumpa kazi ndogo ya kunitafutia information pale benki za Dar lakini hakunijibu chochote. Mpaka sasa nafikiri kumpigia simu na kumhoji maswali ambayo yatamwonesha kweli nipo mguu mmoja nje mwingine ndani. Yeye ni mzuri na anafikiri kuwa nimempenda kupindikua labda pia kinachomfanya anitie mashaka juu ya upendo wake kwangu. Ndugu zangu naombeni mnieleze iwapo kwa maelezo haya ninapendwa? au inayopendwa ni pesa yangu nilyonayo? Mimi sioni any kind of care hapo.Kwa hiyo nataka baada ya hapo nitafute kimwana huku na nianze kuishi maisha.

Mkubwa... unanishangaza kweli... sasa unasubiri nini??? Kumbuka muda nao ni rasilimali muhimu sana! Acha mara moja kuupoteza muda wako kwa mtu ambae umeshaona hakujali!!!
 
Husninyo

JF-Expert Member
Oct 24, 2010
23,788
9,115
Basi naona ameangukia pua sasa. Kunamtegemo nilishamwekea atajimaliza mwenyewe. Zaidi ya hayo nitampasulia jipu ili asijenilaumu siku moja.

mpasulie bwanaa maisha yenyewe mafupi tusipeane stress. Lol( usije ukasema mi mchonganish).
Kiukweli wasichana huwa ni wazito sana kuwasiliana na wasiowapenda. Ni jambo ambalo hawezi kuficha. Kama anakupenda ni mwepesi kukujulia hali mara kwa mara.
Binafsi kuna watu hadi nasahau kama wapo kwenye phone book yangu maana hawapo machoni wala moyoni.
Stuka!
 
Gajungi

JF-Expert Member
Sep 4, 2011
257
82
Mkubwa... unanishangaza kweli... sasa unasubiri nini??? Kumbuka muda nao ni rasilimali muhimu sana! Acha mara moja kuupoteza muda wako kwa mtu ambae umeshaona hakujali!!!
Ni kweli mwana maana nahitaji mtu wa malengo sasa. Lakini shida inakuja kmbeba mzungu bongo maana ndugu zetu wa Afrika ndio hawana kitu. Anyway time will tell.
 
Gajungi

JF-Expert Member
Sep 4, 2011
257
82
Pole kaka,hapo hamna kitu,cheki line ya pili huko km inapatikana jiachie songesha maisha,ukijidai mvumilivu na kuendelea kutuma pesa itakula kwako,na cku ukija utaishia kulia tu!
Ukweli mtupu. Natafuta kachotara kazuriiiiiii kakiwa kazuri kanaingia bongo.
 
Gajungi

JF-Expert Member
Sep 4, 2011
257
82
mpasulie bwanaa maisha yenyewe mafupi tusipeane stress. Lol( usije ukasema mi mchonganish). Kiukweli wasichana huwa ni wazito sana kuwasiliana na wasiowapenda. Ni jambo ambalo hawezi kuficha. Kama anakupenda ni mwepesi kukujulia hali mara kwa mara. Binafsi kuna watu hadi nasahau kama wapo kwenye phone book yangu maana hawapo machoni wala moyoni. Stuka!
Naufanyia kazi ushauri wako Husniyo ,atanijua mimi nani,maana ananiona mi mpole sana ila hajui kuwa mimi ni moto wa kuotea mbali.
 
bitimkongwe

JF-Expert Member
Oct 21, 2009
4,504
2,500
Gajungi naona una tatizo la kupenda vyeupe wewe. Hivi huko uliko hakuna wa kiafrika mpaka utafute machotara ambao kwa asilimia 99 hatoweza kuishi kwa zaidi ya miaka mitano atarudi kwao.

Au kama kwenu muna uwezo hapo ndiyo utapata mke.

Ila huyo mkwe wetu wa huku usipoteze muda wako kuweka mitego itakayokupotezea muda wako, wewe potea pole pole uangalie ustaarabu mwengine.
 
Mzee

JF-Expert Member
Feb 2, 2011
13,536
5,642
Sidhani kama kuna haja hata ya kujiuliza mara mbili. Hapo hakuna mapenz.
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

1 Reactions
Reply
Top Bottom