Ushauri kwa waislamu Tanzania, hasa walio mtandaoni

Ushauri kwa waislamu Tanzania, hasa walio mtandaoni

Eti Wasomi wa kikiristo wamejazana Serikalini ? Kwa kuna mtu amewakata Waislamu kusoma? Mbona kuna waisilamu wasomi nao wamejazana Serikalini kule Zanzibar Serikali yoote ni waislamu huku bara Serikalini wapo waislamu wa kutosha Serikalini na hawana mambo ya Ajabu ajabu kama waisilamu wale jobless washinda vibalazani, chuma Ulete na vijiweni ambao Ndiyo wapo busy kudai mahakama ya Kadhi pasipo kujua hata inaendeshwaje na Sheria zake zipoje nk ! Waislamu wasomi walipa kodi wapo busy na kusaka maendeleo hawana mda na kuhangaika na mambo yasiyo na Tija kwani wanajua kuwa kodi ya Serikalini hutokana na pesa za Pombe na Kitimoto hivyo si vyema kuwalipa mishahara pesa Haramu kwao.
Mimi mtanganyika unanieleza habari za Zanzibar za nini Zanzibar ni nchi kama nchi zingine Waislam wa Zanzibar hawawakilishi Waislam wa Tanganyika.

Msome mleta bada anajapa kuwa nyie na Wakirsto wa Tanzania ni wasomi sasa tufahamishene huo usomi wenu mnaojitapa nao kila siku umelisaidiaje taifa letu kutoka kwenye dimbi la umasikini.

Nasubiri majibu.
 
waislam wengi ni wajinga sana kwanza hawana elimu dunia kama post inavyosema ukibishana nao utaumia manake wanafikiri wanajua sana kumbe pumba tu
chukueni ushauri wa bure huo hata mimi nisingewashauri kiasi hicho kwa sababu kwanza mnachukiana wenyewe kwa wenyewe na hiyo ni dalili tosha mna upungufu mkubwa wa elimu,,,,BETTER DIE TRYING!!!

utakuwa upo kwenye kipind chako cha mwez ww
 
kuwa mgalatia tayar ubongo wako kuna vitu vimewekwa na wale wapiga kelele,eti wasomi! ingekuwa nna mamlaka kweny hii nchi ningefuta shule/vyuo vyote vya kigalatia hlf tuone wez/mafisad kama watakuwepo.
 
.....sikio la kufa halisikii dawa...halafu mimi najiuliza hadhari ya mahakama hiyo,hivi si waislam na christ wameoana?sasa hii itakuwaje?wanataka mahakama yao pekee yao?...cha kushangaza madai ya waislam uwa yanazaliana....hivyo sb mlisharuhusu mpaka kubadilisha uniform.......haya twende.....mnaleta udini ktk nchi sb wewe ni wa dini hiyo.
 
Hongera sana mkuu endelea kuwashauri waelimike hawa jamaa!wakati taifa likihitaji shule nyingi na vyuo vikuu nyie mnadai kadhi???


mafunzo yanayotolewa kwenye taasisi zetu ndo yanatulete kina chenge,tibaijuka,werema na wengine wengi halafu mnajisifu
 
Mtakumbuka shuka kumekucha.
Wenzenu tunawekeza kwenye mambo ya maendeleo ya mwanadamu, nyie mnaweka kambi Dodoma kudai haki ya kumpa mke talaka na kudai mali ya marehemu.

tabia za mapadri na wachungaj kwa watoto wadogo ndo chanzo cha kuharibika kwa vijana wengi ukubwan
 
Acha propaganda za kishenzi wewe! nani amekwambia kuwa Waislam hawajasoma? nani asiejua kuwa Wizara ya elimu na mfumo wa Elimu ilichezewa kwa maslahi mapana ya wakristo! MOU ya seriakali na Kanisa inayoifanya serikali kutoa Ruzuku kwa Kanisa lengo lake ni nini? Idadi ya Graduates vyuo vikuu kati ya wakristo na waislam zikoje? ... Tafuteni sababu zingine za maana!!!! Kumbe ndo maana kila anaeteuliwa mwenye jina la Kiislam mnatokwa na mapovu ... hamuoni hata aibu? ... Mkombozi bank ingekuwa Bank ya Waislam ingekuwaje? UFISADI kwenye mikataba ya madini, Umeme nk GAWIO lake kurejeshwa via kanisa ni sawa? Watanzania wa leo si wajinga tena, wanajua kila kinachoendelea katika nchi yao... BAKWATA kigango cha kanisa imekuwa ikitekeleza TOR za kanisa toka Mwalimu alipoiunda baada ya kuvunja EAMWS ... Mahakama ya kadhi inawahusu vipi? masuala ya Mirathi na Ndoa za kiislam inawahusu nini Wakristo? Waislam wa Tanzania ni seheme ya Jamii walipa kodi, wanastahili kutambuliwa na kuendesha mambo yao ... BTW ... Mahakama ya Kadhi ni Mtego wa Kuwatenganisha Watanzania kwa maslahi mapana ya CCM ... Itoshe kusema: WAISLAM TUMECHOKA KUINGILIWA MAMBO YETU NA MFUMO KRISTO!!! Mmefelisha watoto wetu sana! mmeshindwa kuendeleza mikoa yenye Waislam kwa chuki binafsi na sasa mnaigilia mambo yetu ya Kiimani ... Narudia Tena; Mkristo hana mamlaka ya kuwashauri Waislam wa Tanzania ambao wamewaletea UHURU na baadae mkawatosa... Tunajua kuwa Kuna makanisa yanamiliki hadi Migodi na hawalipi Kodi! Tunajua kuwa kanisa limekumbwa na kashfa ya Money laundering ... Waacheni Waislam waamue mambo yao wenyewe! a notion that Muslim woman watakosa haki zao ni UJUHA uliopitiliza, sana sana mnatekeleza propaganda nza kimagharibi kwa maslahi mapana ya watu wa ULAYA ... .............................................................................................................................................
.[/QUOTE]Nimefikiria muda mrefu kuhusu sakata hili la kufa na kupona la mahakama ya kadhi. Ni wazi kuwa mahakama ni muhimu katika jamii. Lakini pamoja na umuhimu wake, nadhani tukikaa chini na kutafakari, kuna mengi ya umuhimu zaidi. Jambo la kwanza kwa Nchi kama Tanzania ambayo kwaajili ya uongozi mbovu wa waliokuwa madarakani kwa nyakati tofauti lingepaswa kupewa kipaumbele ni Elimu. Ona jinsi Elimu inavyochezeshwa gwaride, hadi tumefikia hatua ya kuweka div. 5, ili kuficha waliofeli.

Nirudi kwenye mada,
Nasema ushauri kwa waislamu kuwa waongeze nguvu kwenye elimu dunia. Waongeze shule zinazoendeshwa na taasisi za kiislamu, zenye ubora. Waongeze vyuo vikuu vinavyoendeshwa na taasisi za kiislamu, wakitaka wawapokee waislamu tu haidhuru, lakini ni bora wakawapokea wote kama zifanyazo taasisi za kikristu. Elimu bora Tanzania inahitajika. Na Elimu bora Tanzania haiwezi kutolewa na Serikali tu. Ona madhehebu ya kikristo walivyoweka kipaumbele katika elimu. Hesabu tu vyuo vikuu vinavyoendeshwa na madhehebu ya kikristo. Hesabu shule za sekondari zenye ubora wa hali ya juu zinazoendeshwa na taasisi za kikristo. Sijui taasisi za kiislam zinaendesha vyuo vikuu vingapi, lakini nafahamu walau moja ile ya Morogoro, iliyokuwa chuo cha Tanesco, ambayo walipewa na serikali ili kuwatuliza.

Tazama kwenye afya, ona ni vituo vingapi vya afya, hospitali, hadi hospitali za rufaa zinazoendeshwa na taasisi za dini? Nafahamu walau hospitali ya rufaa ya KCMC na Bugando zinaendeshwa na taasisi za kikristo. Hospitali za kawaida ni nyingi. Zinazoendeshwa na taasisi za kiislamu sizifahamu, zinaweza kuwa nyingi kuliko hizo, au la. Kwenye suala la afya ndipo pa kutumia nguvu nyingi. Huko ndipo pa kuwa na hitaji la kuweka kambi Bungeni kama kutakuwa na haja.

Nadhani sio vizuri kusubiri siku zote kubebwa na serikali. Kila madhehebu wana sheria zao, sheria zao ambazo hazipaswi kwenda kinyume na sheria za Nchi. Sioni sababu ya kutumia nguvu kubwa kudai mahakama badala ya kuwekeza kwenye mambo ya maandeleo kama elimu, afya, nk. Kwanini tunadhani maisha yetu lazima kupelekana mahakamani?

Ndiyo maana nasema natoa ushauri kwa waislamu hasa waJF maana ndo watakaosoma ushauri huu, Waislamu wawekeze nguvu nyingi kwenye mambo ya maendeleo zaidi kuliko mahakama. Wawekeze kwenye elimu na afya. Achaneni mambo ya mahakama. Mahakama ya nchi inaweza kumaliza yote, ikiwa kutakuwa na haja. Lakini kwa mtu optimistic hawezi kutumia nguvu nyingi kwenye hilo.

Sio haki kwa wabunge: wawakilishi wa wananchi kupoteza muda kujadili kuwa waislamu wawe na mahakama ya kadhi au la. Ni wazi watajadili, hasa wakati huu tunapokaribia uchaguzi. Ili kila mchangiaji aonekane anawajali waislamu, ataunga mkono mahakama ya kadhi, watafanya funika kombe mwanaharamu apite. Ili tu waislamu wa jimbo lake wasimtose, ili tu waislamu wasikikatae chama chake. Lakini nasema tena sio haki wabunge wapoteze muda katika jambo hili ambalo sio kipaumbele cha taifa. Sio haki lakini litajadiliwa kwaajili wa woga wa kupoteza kura.

Mniwie radhi, kama kuna moja hatapendezwa na ushauri wangu. Ukweli utabaki kuwa kuwekeza kwenye elimu, hasa elimu dunia na afya ni bora kuliko kuwekeza kwenye mahakama.[/QUOTE]
 
kimtu kinajifanya eti chenyewe kina elimu dunia kubwa sanaa kiasi cha kudhani eti nacho ki consultant,
haya hebu tuone hiyo elimu dunia yako,usikute una diploma ya housekeeping

Hahhahaha umenichekesha hapo mwisho..
 
Hawa watu wanatakiwa kusoma hata kama ni kwa lazima kwa sabbu kwa kweli, kukosa kwao elimu ndiko kunakopelekea wawe wanaongea wanayoyasema. Jamaa hawanaga uwezo wa kujenga hoja, jamaa hawana uwezo wa kuelewa hata simple phrases, halafu hawajui kama hawaelewi, jamaa hawana uwezo wa kujadili kwa point wala kujibu swali kama linavyoulizwa; jamaa hawa kwa kujua hawana hoja wamejikita zaidi kwenye ubishi wa kila kitu kwa makelele, matusi, fujo na vitisho.

Terror approaches!. Utasikia wanasema "msipotupa hiki mtaona", msipofanya hivi, tutaonyeshana adabu", mara utasikika, "...mkikataa hiki, tutafanya kama boko haramu",.."mahakama ya kadhi ni lazima hata kwa jihadi". Hivi kinachowafanya wawe na approach za kigaidi ni mafundisho ya dini yao au ni ujinga na kukosa uwezo wa kujenga wala kuelewa hoja?

Ninakwenda kazini lakini usishangae watakapokuja hapa,yote niliyoyasema pale utayaona. matusi, vitisho, nguvu, fujo, vurugu za kijinga tu.

Ni afadhali serikali ilazimish waislam wote waende shule hata kama ikibidi ziwepo za watu wazima ili angalau halmashauri zikae kwenye order badala ya mahakama ya kadhi. Mahakama ya kadhi hawana uwezo wa kuiendesha na itazidisha migogoro miongoni mwao. Hainatija kwa taifa na hata kwa waislam walio wengi. Sana sana itanufaisha wale wanaotafuta kuajiriwa kule, na wanaoume wanaoamini katika ubabe dhidi ya wanawake na watoto wa kike. Hakuna la ziada.

Mahakama za kadhi ziko na zinafanya kazi, kwa nini leo zijadiliwe na bunge? Hizi ni za kidini, kwa nini ziingizwe kwenye katiba hata kama serikali haizihudumii? Wawaachie masuala yao ya kidini wayafanye wenyewe misikitini. Si jukumu la serikali kuweka kwenye katiba masuala ya dini.

we kwel punguan kwa hoja gan mlizonazo?kwa taarfa yako sisi tunajibu kutokana na mleta mada anavyotaka kwa mfano wagalatia wengi hoja zenu no kuukashifu uislam sasa dawa ya moto......
 
Tunaomba walio na weledi wa jinsi hii mahakama inatakiwa ifanye kazi watujuze.
Tusiwe tuna lumbana kwa mambo madogomadogo.
Kama mahakama hizi zitafanyia kazi kwenye taasisi zao bila kugharimu pesa za walipa kodi zisituumize vichwa.
2.Aliye na ufahamu wa MOU inayowapa waislamu ukakasi naye atujulishe maana kinachodaiwa kama siyo ruzuku ambayo idha taasisi za kikristo na mashirika ya siyo ya serikali zikiwemo ruzuku za kilimo n.k tujue.
Tusije tukawa tunatuhumu mambo tusiyo jua.
 
USHAURI mzuri sana na kwenye MISIKITI wajitaidi kuweka ata VISHULE vya chekechea SIO kuweka bao na draft.
 
Kulikuwepo na east africa muslim welfare society kama sikosei,na ilikuwa imewekeza katika elimu na mashule etc.
sijui mashehe walimkosea nini julius kambarage,aliifuta hiyo jumuia na kuanzisha bakwata
, ambayo ilipewa kazi ya kutangaza mwandamo wa mwezi tu.
mambo ya shule wakaambiwa zipo za serikali,hospitali hivyohivyo.
bakwata wakamsikia baba wa taifa na kukaa.
ni mpaka wakati wa mzee ruxa ndo pakaanza kuwepo taasisi za kiislamu tofauti na bakwata na ndo walioanza tena harakati za kujenga mashule

Tutajie hayo mashule na miradi ya elimu waliyowekeza, otherwise ni mwendo ule ule wa kulishana ujinga kwenye masjiud
 
wasomi tunauliza in 50yrz for independance lipi mlilofanya?
 
Mkuu Uko Sahihi! Lakini Kuna Kitu Ambacho Wanadai Kimeua Taasisi Nyingi Za Kiislam Toka Kianzishwe! Nacho Ni BAKWATA Ambayo Wengi Wao Hudai Ni Chombo Kinachosimamiwa Na Sirikali. Dhehebu La AnsarSuna Ambalo Mara Nyingi Hupingana Na BAKWATA Ndilo Sehemu Pekee Ya Uislam Ambayao Ndio Yenye Kuangaza Maendeleo Ya Uislam Tz, Ndio Walioanzisha Chuo Kiku Cha Kislam Morogoro, Ndio Wenye Vyombo Vya Habari Mfano Tv Iman, Radio Iman, Saut Ya Quran,magazeti Ya Alhuda, Anuur Nk. Lakini Bakwata Sijajua Wanamiliki Nini. Hawa Hawa Ansarsuna Ndio Hawaitaki Kabisa Mahakama Ya Kadhi Ila BAKWATA Ndio Wanaoipigania Mahakama Ya Kadhi. Hata Mimi Nashawishika Kuamini Kua BAKWATA Ndio Wanatakiwa Kubebeshwa Lawama Zote.

Kumbe ni vizuri tukatambua kuwa si kila kitu kinacholetwa kwa kofia ya dini kinakuwa kimekubaliwa na waumini wake. Mfano mzuri ni kikundi cha ISIS na Boko haramu! Hivi vikundi vinadai kuwawakilisha waislam lakini ajabu ni kwamba waislam wengi wenye ufahamu sahihi wanaviona vikundi hivyo kama genge la waporaji tu. Mimi ninaamini ikiwa waislam wote wa TZ wangeruhusiwa kupigia kura hii mahakama ya kadhi (including wanawake), wengi wao wangeikataa.

Vilevile, kama ni suala la upungufu wa kisheria katika ndoa za wake wengi, ningeshauri hao "waislam" wangeomba mswada wa marekebisho ya sheria za ndoa za kiislam upelekwe na kujadiliwa bungeni ili zithibitishwe kama sio sheria kandamizi. Tusipokuwa makini hata wachawi, masangoma, wapiga ramri watataka nao wawe na mahakama zao.

Ukibishana na mwendawazimu utaonekana kuwa wewe ni mwendawazimu zaidi. Better to ignore some comments.
 
Back
Top Bottom