Ushauri kwa waislamu Tanzania, hasa walio mtandaoni

Hoja dhaifu kwenye ushauri mzito, hivi pale KCMC au Bugando waislam hawapewi matibabu?

Huduma zipo kwa malipo makubwa tu kuliko muhimbili.
Kwa nini serikali itoe bill 69 zote hizo kufanta promotion ya dini ?
Hizi pesa kila mwaka wangeweza kujenga hispital za taifa 3 kubwa za refer ..kila mwaka ...why kodi zetu ziende kufanya promotion ya msalaba ?
69bill ni nyingi mno kuipa taasisi ya dini peke yao huku wengine hawapati kitu.
Serikali iacha ubaguzi huu. Hizi fedha zitumike kujenga taasisi kuserikali ..kutoa fedha zote hizo ni kutumia kodi zetu sote kuimarisha ukristo
 
Waislamu huwa nawashangaa sana.Historia inatukumbusha kuwa waislamu ndiyo walikuwa wa kwanza kuingia Africa mashariki kwa ajili ya biashara ya biashara za bidhaa mbalimbali ikiwemo ya watumwa.Inasimliwa kuwa miongo kadhaa kabla ya kuja wakoloni,waarabu walikuwa tayari afrika mashariki.
Hawa waislamu walishindwa vipi kujenga miundo mbinu ya shule na afya.badala yake wazungu walipofika wakakuta waarabu wamezubaa kama sisi waafrika.sana sana waislam walikuwa wanaendesha madrasa pekee.
 
Na mimi kama Muislam nakushauri huu ushauri wako upeleke Kanisani.

Kawaambie hivi toka toka uhuru mpaka sasa wasomi wa Kikirsto wamejazana serikali kila idara wamelisaidiaje taifa letu kutoka kwenye nchi masikini duniani, unajua kuwa Tanzani ipo kwenye nchi 20 masikini wa kutupwa duniani huko serikalini kazi yenu kufanya ufisadi tu.

Halafu nyie Wakirsto ndiyo mnabebwa unajua kama kila mwaka Kanisa linapewa bilioni 61.9.

Ahsante.

Eti Wasomi wa kikiristo wamejazana Serikalini ? Kwa kuna mtu amewakata Waislamu kusoma? Mbona kuna waisilamu wasomi nao wamejazana Serikalini kule Zanzibar Serikali yoote ni waislamu huku bara Serikalini wapo waislamu wa kutosha Serikalini na hawana mambo ya Ajabu ajabu kama waisilamu wale jobless washinda vibalazani, chuma Ulete na vijiweni ambao Ndiyo wapo busy kudai mahakama ya Kadhi pasipo kujua hata inaendeshwaje na Sheria zake zipoje nk ! Waislamu wasomi walipa kodi wapo busy na kusaka maendeleo hawana mda na kuhangaika na mambo yasiyo na Tija kwani wanajua kuwa kodi ya Serikalini hutokana na pesa za Pombe na Kitimoto hivyo si vyema kuwalipa mishahara pesa Haramu kwao.
 
Na mimi kama Muislam nakushauri huu ushauri wako upeleke Kanisani.

Kawaambie hivi toka toka uhuru mpaka sasa wasomi wa Kikirsto wamejazana serikali kila idara wamelisaidiaje taifa letu kutoka kwenye nchi masikini duniani, unajua kuwa Tanzani ipo kwenye nchi 20 masikini wa kutupwa duniani huko serikalini kazi yenu kufanya ufisadi tu.

Halafu nyie Wakirsto ndiyo mnabebwa unajua kama kila mwaka Kanisa linapewa bilioni 61.9.

Ahsante.

Nyinyi mmeomba hizo billion mmekataliwa? raisi ambaye ni wa dini yenu si aliwaambia kuwa na nyinyi tengenezeni programme yenu ili kupata MOU je mmefiakia wapi? je kwenye MOU kati ya serikali na wakristo kuna kpengengele kinachozuia waislam nao wasiwe na MOU yao? Hivi mnatakaje mbona mna wivu sana mnapoona wakristu wanapata maendeleo! Hivi tokea uhuru haijawahi kutokea kiongozi wa juu ambaye ni mwislamu? Acheni unafiki kila siku kulalama
 
Waislamu huwa nawashangaa sana.Historia inatukumbusha kuwa waislamu ndiyo walikuwa wa kwanza kuingia Africa mashariki kwa ajili ya biashara ya biashara za bidhaa mbalimbali ikiwemo ya watumwa.Inasimliwa kuwa miongo kadhaa kabla ya kuja wakoloni,waarabu walikuwa tayari afrika mashariki.
Hawa waislamu walishindwa vipi kujenga miundo mbinu ya shule na afya.badala yake wazungu walipofika wakakuta waarabu wamezubaa kama sisi waafrika.sana sana waislam walikuwa wanaendesha madrasa pekee.

Kulalamika kwao ni jambo la kihistoria maana ilianzia kwa ishmael na isaka.
 
Waislamu huwa nawashangaa sana.Historia inatukumbusha kuwa waislamu ndiyo walikuwa wa kwanza kuingia Africa mashariki kwa ajili ya biashara ya biashara za bidhaa mbalimbali ikiwemo ya watumwa.Inasimliwa kuwa miongo kadhaa kabla ya kuja wakoloni,waarabu walikuwa tayari afrika mashariki.
Hawa waislamu walishindwa vipi kujenga miundo mbinu ya shule na afya.badala yake wazungu walipofika wakakuta waarabu wamezubaa kama sisi waafrika.sana sana waislam walikuwa wanaendesha madrasa pekee.

Mpaka leo bado wamezubaa ndiyo maana wazungu wanawakoroga wakijichanganya wanapigwa kisha kutawaliwa kwa mda na kuibiwa Mafuta yao hadi Stoku za wazungu zimejaa hawana pa kuweka, ndiyo maana mafuta yameshuka bei, wazungu wanajua kuwa Mtu mwepesi kudanganyika na kushawishika pasipo kutafakari ni Mwisilamu.?angalia misri Libya Iraq Afaganistan na sasa wapo Yemen na Syria kote huko waislamu wanakorogwa na wazungu wanapigania Ujinga ujinga huku wazungu wakipiga pesa kupitia Ujinga wao, waislamu wajanja hawana mda na mahakama ya kadhi hawataki kutafuta pesa za kodi itokanayo na wauza nguruwe na pombe.
 
Nyinyi mmeomba hizo billion mmekataliwa? raisi ambaye ni wa dini yenu si aliwaambia kuwa na nyinyi tengenezeni programme yenu ili kupata MOU je mmefiakia wapi? je kwenye MOU kati ya serikali na wakristo kuna kpengengele kinachozuia waislam nao wasiwe na MOU yao? Hivi mnatakaje mbona mna wivu sana mnapoona wakristu wanapata maendeleo! Hivi tokea uhuru haijawahi kutokea kiongozi wa juu ambaye ni mwislamu? Acheni unafiki kila siku kulalama

Sisi hatulalami tunaonesha ubaguzi na kukosa uvumivu kwa waktisto yanapo kuja masuala ya waislam .
Hapa mnakumbushwa kuwa mujue nyinyi mnakataa kuona kadhi analipwa na serikali lakini kupewa 69bill kuimarisha ukristo sawa.
Hili halikubaliki ni ubaguzi ni kutumia pesa za watanzania kuimarisha ukristo.
 
waislamu hadi leo wamatatizo na bakwata simply inaendeshwa kwa ruziku ya serikali kwa maana anayemlipa mpiga zumari ndiye anaye chagua wimbo sasa hizi mahakama zikiendeshwa kwa kodi mambo si yatakuwa yaleyale na kama haziendeshwi kwa kodi kuna haja gani ya kuzijadili bungeni kwani kuna taasisi ngapi zilizoanzishwa na waislamu bila kupata idhini ya bunge? kama zipo kwanini na mahakama nayo isifuate utaratibu huo kwani inawahusu wao na wenyewe wanaiheshimu hivyo utekelezaji wa hukumu hauhitaji backup ya sheria za nchi.
 
Sasa kwa taarifa yako chanzo cha madai ya mahakama ya kadhi ni kuwepo kwa hicho chuo cha kiisilamu kilichopewa majengo ya Tanesco. Jamaa walipopewa wakaanzisha shahada nyingi za elimu ya kiisilamu kama vile Bachelor of Laws with Shariah na Bachelor of Islamic Studies with Education. Kinachowaumiza kichwa ni kwamba wahitimu wawapeleke wapi? Ndipo madai ya kuanzisha mahakama za kadhi zinazogharamiwa na serikali yalipoanza kushika kasi.

Ninachotaka kusema ni kwamba hapa sio suala la kutoa elimu tu kwa waisilamu, bali elimu yenye ushindani katika soko la ajira ili tusilazimike kuanza kuforce ajira zitengenezwe na serikali!

Binafsi Naipinga Mahakama Ya Kadhi Sana Tu! Lakini Hapa Wewe Ni Mwongo Wa Kutupa, Kuanzishwa Kwa Shahada Za Sheria Za Kiislam Hakuhusiani Na Mahakama Ya Kadhi, Kwani Hizo Ni Kozi Kama Zilivyo Koz Zingine. Hata Makanisan Kuna Watu Wana Shahada Za Sheria Za Kanisa. So Usipotoshe Mkuu.
 
Kwa akili yangu ndogo ni kwambwa unaniaminisha mimi mwiisilamu na wengine kuwa tutaweza kujazana kwenye ofisi za Serikali na kwingineko tukiletewa Mahakama ya kadhi. Pia tutaondoa umasikini uliosababishwa na wakristo wengi waliopo serikalini tukidai na kupatiwa mahakama ya kadhi.

Mungu ni Mkubwa ,tuadai mahakama ya kadhi kwa nguvu zote mkuu Ritz
Usiwe punguani wapi nimeysema hayo angalia nimenjibu nani usipende kurukia kila jambo.
 
Last edited by a moderator:
Wewe ndio uweke ushahidi,61b zinatolewa kwa kanisa lipi?kwa shughuli gani?
Ushahidi huu hapa.

Serikali ya Tanzania itaendelea kushirikiana na Makanisa ili kuboresha hali ya maisha ya watanzania

Kama alivyoeleza vizuri Baba Askofu, Kanisa la Mennonite nalo limekuwa mstari wa mbele katika kuchangia maendeleo ya wananchi wa nchi yetu katika nyanja mbalimbali za maisha yao. Wako Watanzania wenzetu wengi na hasa katika kanda hii ya ziwa ambao wamepata elimu katika shule za Kanisa hili na kutibiwa katika zahanati na hospitali zilizojengwa na Kanisa la Mennonite.

Lakini Kanisa la Mennonite halikuishia katika huduma za elimu na afya pekee. Tunatambua kazi nzuri inayofanywa na Kanisa hili ya kuwapatia wananchi huduma ya maji. Kule Dodoma mradi wa maji unaochangiwa na Kanisa hili, unanufaisha watu wengi na mifugo yao. Tumemsikia Baba Askofu Albert Randa akituelezea kuhusu mradi mkubwa wa huduma za jamii ujulikanao kama Integrated Community Mobilization Programme (ICMP).

Mradi huu utakaotekelezwa kwa kipindi cha miaka tisa utajishughulisha na kuboresha ufugaji, kilimo na mafunzo ya wajasiriamali katika vijiji 32 katika Wilaya za Magu, Bunda, Musoma Vijijini na Rorya. Huu ni mradi wa kupambana na umaskini wa kipato na kuwapatia watu ajira. Hili ni jambo jema sana kwani mradi huu ukifanikiwa watu wengi watakuwa wamewezeshwa kuondokana au kupunguza sana umaskini na vijana watapata ajira.

Napenda kuwahakikishia Maaskofu na Waumini wa Minneonite kuwa, tunaunga mkono mipango ya Kanisa lenu na Serikali iko tayari kufanya kile tunachowajibika kufanya ili mfanikishe malengo yenu. Kwa ajili hiyo, Serikali itaendelea kutoa ruzuku kwa hospitali na zahanati za Kanisa lenu ambazo tuna Mkataba wa Huduma (Service Agreement). Mwaka huu wa 2010/11 tumetenga shilingi 61.9 bilioni kama ruzuku.

Text from page Serikali ya Tanzania itaendelea kushirikiana na Makanisa ili kuboresha hali ya maisha ya watanzania
of the Vatican Radio website
 
Na mimi kama Muislam nakushauri huu ushauri wako upeleke Kanisani.

Kawaambie hivi toka toka uhuru mpaka sasa wasomi wa Kikirsto wamejazana serikali kila idara wamelisaidiaje taifa letu kutoka kwenye nchi masikini duniani, unajua kuwa Tanzani ipo kwenye nchi 20 masikini wa kutupwa duniani huko serikalini kazi yenu kufanya ufisadi tu.

Halafu nyie Wakirsto ndiyo mnabebwa unajua kama kila mwaka Kanisa linapewa bilioni 61.9.

Ahsante.

(a) Mbona ile akaunti ya Stanbic imeficha makubwa ambao hata wewe hutaki isikike? Kighoma malima alikuwa mkristo kwa sababu alisoma shule za seminari!! Ufisadi hauna dini!
(b) Hizo Billion 61 zinatumika kutibu watu wa dini zooote ni kama vile zingekwenda hospitali za serikali. Hata ajira nazo za hizo hospital sio za kibaguzi kama kile chuo cha kiislamu Morogoro! Na hii mahakama ya Kadhi itahudumia watanzania wote bila kujali dini zao kama ilivyo hizo hospital ambazo hupewa ruzuku??

Ni hata msome shule ngapi uelewa duni maana hii comment uliyoiweka hapa haipaswi toka kwako!
 
Usiwe punguani wapi nimeysema hayo angalia nimenjibu nani usipende kurukia kila jambo.
Mimi si Punguani ndio maana nakuunga mkono mwerevu wewe kudai mahakama ya kadhi ili tuweze kusonga mbele kama wakristo .Mbona unatukana mpaka wanaokuunga mkono mkuu !
 
Na mimi kama Muislam nakushauri huu ushauri wako upeleke Kanisani.

Kawaambie hivi toka toka uhuru mpaka sasa wasomi wa Kikirsto wamejazana serikali kila idara wamelisaidiaje taifa letu kutoka kwenye nchi masikini duniani, unajua kuwa Tanzani ipo kwenye nchi 20 masikini wa kutupwa duniani huko serikalini kazi yenu kufanya ufisadi tu.

Halafu nyie Wakirsto ndiyo mnabebwa unajua kama kila mwaka Kanisa linapewa bilioni 61.9.

Ahsante.

JK na FF wanatamani wajerumani wangeendelea kututawala, wanasema leo tungekuwa mbali sana. Nawaunga mkono maana kweli wametujengea ikulu, mahospitali, mashule nk,nk,nk. Hebu fikiri waarabu wangeendelea kututawala, hakika tungekuwa kama Sudani au Somalia. Maana wangetuachia elimu ahera ambayo kazi yake kubwa ni kulalamika na kutafuta mchawi kwa kila wanachokikosa.
 
Ushahidi huu hapa.

Serikali ya Tanzania itaendelea kushirikiana na Makanisa ili kuboresha hali ya maisha ya watanzania

Kama alivyoeleza vizuri Baba Askofu, Kanisa la Mennonite nalo limekuwa mstari wa mbele katika kuchangia maendeleo ya wananchi wa nchi yetu katika nyanja mbalimbali za maisha yao. Wako Watanzania wenzetu wengi na hasa katika kanda hii ya ziwa ambao wamepata elimu katika shule za Kanisa hili na kutibiwa katika zahanati na hospitali zilizojengwa na Kanisa la Mennonite.

Lakini Kanisa la Mennonite halikuishia katika huduma za elimu na afya pekee. Tunatambua kazi nzuri inayofanywa na Kanisa hili ya kuwapatia wananchi huduma ya maji. Kule Dodoma mradi wa maji unaochangiwa na Kanisa hili, unanufaisha watu wengi na mifugo yao. Tumemsikia Baba Askofu Albert Randa akituelezea kuhusu mradi mkubwa wa huduma za jamii ujulikanao kama Integrated Community Mobilization Programme (ICMP).

Mradi huu utakaotekelezwa kwa kipindi cha miaka tisa utajishughulisha na kuboresha ufugaji, kilimo na mafunzo ya wajasiriamali katika vijiji 32 katika Wilaya za Magu, Bunda, Musoma Vijijini na Rorya. Huu ni mradi wa kupambana na umaskini wa kipato na kuwapatia watu ajira. Hili ni jambo jema sana kwani mradi huu ukifanikiwa watu wengi watakuwa wamewezeshwa kuondokana au kupunguza sana umaskini na vijana watapata ajira.

Napenda kuwahakikishia Maaskofu na Waumini wa Minneonite kuwa, tunaunga mkono mipango ya Kanisa lenu na Serikali iko tayari kufanya kile tunachowajibika kufanya ili mfanikishe malengo yenu. Kwa ajili hiyo, Serikali itaendelea kutoa ruzuku kwa hospitali na zahanati za Kanisa lenu ambazo tuna Mkataba wa Huduma (Service Agreement). Mwaka huu wa 2010/11 tumetenga shilingi 61.9 bilioni kama ruzuku.

Text from page Serikali ya Tanzania itaendelea kushirikiana na Makanisa ili kuboresha hali ya maisha ya watanzania
of the Vatican Radio website

Nilidhani ni kwa ajili ya kuboresha maisha ya wakristo!
 
Nasema tu usiridhike na elimu ya madrasa, ambayo haitakusaidia sana kama mwanadamu anayeishi dunia hii. Elimu ahera ina umuhimu wake, kwani sisi sote ni waja wa mwenyezi Mungu. Lakini kama inakufanya ugeuke kuwa alkaida, boko haram, al shabab, nk, wakati hata hujui unachodai, haina maana. Ni kuulize swali. Nini madai ya makundi haya ya kiislam yenye siasa kali? yanayochinja wakristo kila kukicha? Labda huwezi kujibu swali hilo. Lakini nasema tena haitoshi kuanzisha na kuridhika na shule au hata chuo kikuu kwa ajili ya kufundisha elimu ahera tu. Elimu dunia ni yote kwa mwanadamu.
Tazama mfano wa wakristo kuna shule ngapi Tanzania zinazofundisha elimu yote: Elimu dunia na elimu ahera.

nilijua lengo lako n nini ndo mama nilitulia kuangalia comment zako,una chuki sana na uislam,kwa taarifa yako hakuna elimu iliyoachwa ndan ya uislam hyo elimu unayoisema IPO ndan ya uislam.kama hujui bora upige plasta domo lako
 
Na mimi kama Muislam nakushauri huu ushauri wako upeleke Kanisani.

Kawaambie hivi toka toka uhuru mpaka sasa wasomi wa Kikirsto wamejazana serikali kila idara wamelisaidiaje taifa letu kutoka kwenye nchi masikini duniani, unajua kuwa Tanzani ipo kwenye nchi 20 masikini wa kutupwa duniani huko serikalini kazi yenu kufanya ufisadi tu.

Halafu nyie Wakirsto ndiyo mnabebwa unajua kama kila mwaka Kanisa linapewa bilioni 61.9.

Ahsante.

Duh mkristo Jakaya Kkwete ametugharimu sana
Duh Ghalib Bilal
Duh Mkatoliki Mohamed Shein
Duh CCM chama cha kikristo kilicho madarakani

Hawa CCM (Wakristo) walioko madarakani miaka 50 wameliangamiza taifa
 
(a) Mbona ile akaunti ya Stanbic imeficha makubwa ambao hata wewe hutaki isikike? Kighoma malima alikuwa mkristo kwa sababu alisoma shule za seminari!! Ufisadi hauna dini!
(b) Hizo Billion 61 zinatumika kutibu watu wa dini zooote ni kama vile zingekwenda hospitali za serikali. Hata ajira nazo za hizo hospital sio za kibaguzi kama kile chuo cha kiislamu Morogoro! Na hii mahakama ya Kadhi itahudumia watanzania wote bila kujali dini zao kama ilivyo hizo hospital ambazo hupewa ruzuku??

Ni hata msome shule ngapi uelewa duni maana hii comment uliyoiweka hapa haipaswi toka kwako!

NSSF kama ni mkristo huwezi kuajiriwa
 
Elimu dunia mnayo sawa, lakini dhumuni lake kubwa ni kutudidimiza katika dimbwi la umasikini, wagalatia kama mnavyodai mmesoma na mpo wengi serikalini lakini miaka zaidi ya 50 mmefanya nini la maana? MoU inawaingizia zaidi ya 60bil kila mwaka mbona hamji hapa kukataa zisipelekwe kwenye majumba yenu ya masanamu? acha ujinga wewe shwaini

pumbavu huyu na mahakama wakishindwa kukubal na sisi tutajua cha kufanya
 
Back
Top Bottom