Ushauri kwa waislamu Tanzania, hasa walio mtandaoni

Ushauri kwa waislamu Tanzania, hasa walio mtandaoni

Sawa ni madaraka ila tangu aingie kagame we ulisha sikia tena fujo za ajabu ajabu?, ni kwa sababu hakuw biased na dini, we angalia misri mpaka leo haikaliki na haita kuja kukalika kwa sababu waliowengi ni moderate muslim na wachache wenye msimamo mkali ndiyo hao wanaolipua mara mkuu wa polisi, mara mbele ya jengo la wizara ya ulinzi.

Na hii ni kwa sababu wanaamini kuwa wao ndiyo waislam wa ukweli, kitu ambacho si kweli kwani kama watu wana waamini wasingeandama kwa mara ya pili kumtoa madarakani mkombozi wao.

Yaani huwezi amini walikiondoa mpaka like bango halipo tena pale victoria na kiongozi wao mpya wanayemtaka ameingia mpaka kanisani wala hawajaandamana.

Inafikia kipindi kwa hulka ya mwanadamu anataka kubadilika, kutoka kwenye taratibu kandamizi ziwe za kimira au vyovyotevile,

Mfano mwingine ni wa yule dada wa kipakstani, wote tunamjua anaitwa Malala Yusuf Zai, watu wamempiga risasi eti kisa anasoma shule za kawaida, jamani jamani..

ukizingatia kwenye huu utandawazi, huwezi kuwaziba watu macho na wakati wanaweza kujitafutia dunia inavyoenda hizi ni zama nyingine jaman lazima tukubali kubadilika

Siwalaum waislam kudai mahakama ya kadhi ila pia tuangalie dunia inapoelekea.
Aingie Kagame wapi wakati naye alishiriki mauaji, mpaka sasa anawauawa wanaompinga, vipi vita vya Congo nasikia ni Waislam.
 
Kwa hiyo vita vya kikabila kati ya watusi na wahutu ndio unavyovitumia kama hoja ili kuhalalisha chuki zenu za kidini? Kweli nafuu pombe mnayoikataa kuliko unga mnaoukumbatia!

chuki ya kidini unayo wewe unaeona sawa tu maaskofu kujichotea pesa za walipa kodi kujengea makanisa,halafu waja kusanifu watu hapa jf eti umepata elimu dunia
 
Kwa hiyo vita vya kikabila kati ya watusi na wahutu ndio unavyovitumia kama hoja ili kuhalalisha chuki zenu za kidini? Kweli nafuu pombe mnayoikataa kuliko unga mnaoukumbatia!
Labda tusaidie kwenye mauaji ya Rwanda kwa nini Maaskofu wamefungwa na Kanisa Katoliki likaomba msamaha kwa nini Masheikh hawamo?
 
jamaa wanaiba pesa za umma kwenda kujengea mahospital,mashule,wanatoza huduma kwa bei ghali sana,halafu kimtu kimevimbewa kitimoto kinakuja kusanifu watu eti,hamna elimu dunia,ELIMU DUNIA YA KUiBA.

huyo kilaini arudishe hiyo bilioni,kama kajengea academy,mwambie auze arudishe pesa ya walipakodi

Hili jambo jqmqni halihitaji jazba, kujengq shule ama chuo si mchezo na ndiyo maana hata hiyo serikali haina za kutosha na ikaamua watu wenye uwezo wa kuanzishq yenyewe kama ni chuo inawapa wanafunzi hela za kusome hilo tu, mengine wanajitegemea wenye shule wenyewe.

Kama ni hospitali itahakikisha inapeleka madaktari na wataalamu, so na hawa wapo pale kwa ajili ya watu wote, na pia wanaajiri watu wa dini zote.

Hili la kilaini kuiba nalo ni la ajabu sana, na sijui ni kwa nini rugamalila watu karibia wote aliowapa pesa zake walikuwa wahaya, maana hata wale majaji nao wahaya, profesa muhaya wachache sana ambao hawakuwa wahaya.

Haijawah kutokea dhehebu lolote likajenga shule au hospitali kwa pesa za wizi, sasahivi walutherani wanajenga makanisa makubwa saana, pita pale magomeni uone watu wanavyodunduliza michango ya kila juma huku jengo likisogea taratibu.

Tuseme ukweli wakristu zamani walikuwa wanapewa misaada toka ulaya dini zilikoanzia ila jwa sasa hakuna hiyo misaada kwani hatahuko ulaya kwenyewe watu wameshaacha mambo ya Mungu, so tunajichangisha wenyewena kukopa kwenye taasisi za kifedha na tunafanikiwa kujenga.

Nakataa kusema kwamba tunaiba fedha za serikali kaka kwani wengi wetu tunafanya biashara binafsi tu, hata huko serikalini hatupo.
 
chuki ya kidini unayo wewe unaeona sawa tu maaskofu kujichotea pesa za walipa kodi kujengea makanisa,halafu waja kusanifu watu hapa jf eti umepata elimu dunia
Huyu jamaa kwake sawa tu walichofanya kina Kilaini sababu ni Mkirsto mwenzake.
 
bank ya vatican ndo imewafundisha mkombozi bank jinsi ya ku laundry pesa,juu wao wana uzoefu tangu kipindi cha adolf hitler
 
Hili jambo jqmqni halihitaji jazba, kujengq shule ama chuo si mchezo na ndiyo maana hata hiyo serikali haina za kutosha na ikaamua watu wenye uwezo wa kuanzishq yenyewe kama ni chuo inawapa wanafunzi hela za kusome hilo tu, mengine wanajitegemea wenye shule wenyewe.

Kama ni hospitali itahakikisha inapeleka madaktari na wataalamu, so na hawa wapo pale kwa ajili ya watu wote, na pia wanaajiri watu wa dini zote.

Hili la kilaini kuiba nalo ni la ajabu sana, na sijui ni kwa nini rugamalila watu karibia wote aliowapa pesa zake walikuwa wahaya, maana hata wale majaji nao wahaya, profesa muhaya wachache sana ambao hawakuwa wahaya.

Haijawah kutokea dhehebu lolote likajenga shule au hospitali kwa pesa za wizi, sasahivi walutherani wanajenga makanisa makubwa saana, pita pale magomeni uone watu wanavyodunduliza michango ya kila juma huku jengo likisogea taratibu.

Tuseme ukweli wakristu zamani walikuwa wanapewa misaada toka ulaya dini zilikoanzia ila jwa sasa hakuna hiyo misaada kwani hatahuko ulaya kwenyewe watu wameshaacha mambo ya Mungu, so tunajichangisha wenyewena kukopa kwenye taasisi za kifedha na tunafanikiwa kujenga.

Nakataa kusema kwamba tunaiba fedha za serikali kaka kwani wengi wetu tunafanya biashara binafsi tu, hata huko serikalini hatupo.
Mkuu umesahau hawakuwa wahaya watu wapo kina Chenge, sema walikuwa Wakisto watupu.
 
Hili jambo jqmqni halihitaji jazba, kujengq shule ama chuo si mchezo na ndiyo maana hata hiyo serikali haina za kutosha na ikaamua watu wenye uwezo wa kuanzishq yenyewe kama ni chuo inawapa wanafunzi hela za kusome hilo tu, mengine wanajitegemea wenye shule wenyewe.

Kama ni hospitali itahakikisha inapeleka madaktari na wataalamu, so na hawa wapo pale kwa ajili ya watu wote, na pia wanaajiri watu wa dini zote.

Hili la kilaini kuiba nalo ni la ajabu sana, na sijui ni kwa nini ru

we hushangai kwanini kanisa katoliki linamiliki mapande makubwa ya ardhi,kwani yesu kaacha wosia gani zaidi ya wa kuhubiri injili?.
nani kawapa hawa maelfu ya hekali,yesu aliwambia waje kutafuta pesa ama kuhubiri injili?
 
ili kupora ardhi,kanisa lilijitahidi kuwa na memorundum of understanding na serikali mbalimbali ili liweza ku access fund toka serikalini kwa lengo la kuendesha biashara zake za mashule na mahospital,na kupitia biashara hizo kanisa lilitoza malipo makubwa na hivo kujipatia faida kubwa kwani gharama za uendeshaji zikilipwa na serikali husika,kwahiyo pesa iliyopatikana ilijenga miradi zaidi ambayo nayo iliendelea kupata funding toka serikalini
 
Aingie Kagame wapi wakati naye alishiriki mauaji, mpaka sasa anawauawa wanaompinga, vipi vita vya Congo nasikia ni Waislam.

Scenario zako haziendani lakini tujadli tu, ishu ya kongo ni ya kimfumo, hatuwezi kataa udikteta wa kagame pia, kwa hili la Kagame nilichotaka kuonyesha hapa ni ile hali ya wengi kukubali kitu halafu wachache wakatii, kwani siku zote mkuu hata kwenye familia yako si wote wanaokukubali ila watakuheshim kama wengi wanakukubali na hiyo ni asili(Nature), "wengi wape wachache wasikilizwe" kwa misri sivyo, wachache wanamwaga mboga kisa wamekosa ugali.

Kongo pia ni madaraka kama tu ya misri, na mimi kwa mawazo yangu tatizo la nchi zetu za Afrika ni kukosa viongozi.

Si kila mtu anayepata nafasi ya kutawala ni kiongozi, na kwa sababu uongozi ni mzuri so unapiganiwa na watu wote wema na waovu, kongo muda mwingi ilishikwa na mabutu seseseko, hakufanya lolote la maana zaidi ya kujitajirisha, hata baranara hakujenga kwa kuogopa kupinduliwa akawa anaruka kwa ndege tuu.

Nachelea kusema kabiala aendelee kuwepo madarakani angalau kwq kipindi flani ajaribu kuweka angalau hata taswira ya ki nchi lakini brother ulimwengu huu wa demokrasia ya vyamq vingi nashindwa kuliunga mkono wazo hilo ingawa sina uhakika hata hao wapinzqni kama watakuwa kweli na moyo wa kuwatumikia wakongo mani.

Kuna waasi mashariki mwa kongo ambao walimkimbia kagame kipindi kile anaingia madarakani(Interahamwe), ni vigumu kongo kuwaondoa kulingana na changamoto za kimfumo walizonazo kama, hawakuwa na jeshi isipokuwa wanamgambo tu, pia hamna njia yaani nchi haijqunganishwa ki miundombinu ya usafiri, hakuna muundo wa jueleweka wa ki usalama kama wa ki mtaa, kata, tarafa, wilaya, mkoa mpaka taifa kulingana na hali yenyewe ya ki uongozi ilivyo.

Pia kongo madini kama yale ya katanga yalipelekea machafuko ya muda mrefu sana mpaka sasa m23 nao walienda kusini kujaribu bahati yao.

Yaani ishu ya kongo no terrible huwezi amini na kinachosumbua kongo si dini wala kabila ila nguvu kutoka nje ya kongo,

nadhani nitakuwa nimejibu swalilako kwani unaamini kuwa hata machafuko ya misri ni nguvu ya kutoka mataifa makubwa, sawa ni kweli ina haya bilq kupewa nafasi huwa hayawezi kuingilia na ndiyo maana huwa yana weka timing ya muda na muitikio wa umma.

Pia kongo wanao ua watu si wakongomani kwa wakongomani, ni makundi ya waasi ambayo yalimsaidia kabila senior kuingia ikulu, haya ni yale ya kitusi na kiganda.

So bado naona scenario ya kongo na misri pia hazishabiiani.
 
Kuna watu wana vichwa vigumu sana,wewe ni mmoja wao!
That is me,ELUNGATA.
huwezi tu ukaja na point za kimagumashu ukategemea nikubali rahisi,eti point yake waislamu hawana elimu dunia sababu hawakujenga shule,alitaka mpaka tujenge shule ngapi ndo aridhike?.
yeye kama nani apangie wanadamu namna ya kuishi wakati hata yeye hatujui aweza kuwa ni uhasigelo huko montana anasafisha wazee wa kizungu wakimaliza haja zao,then anakuja kusanifu watu eti hawana elimu dunia.
mwambie ascan vyeti vyake kwanza tuone.
 
Mkuu umesahau hawakuwa wahaya watu wapo kina Chenge, sema walikuwa Wakisto watupu.

Sawa nakubali kwa maana ya majina ni kweli, na hawa wakristy wa namna hii ndiyo wanaoutukanisha ukristu kwani mimi nimesoma Bible mwanzo mpaka ufunuo sijaona wakristu wakiambiwa waibe.

Na kuna specifi amri kumi kwa wakristu amri ya saba inasema kabia usiibe, sasa hawa ndugu zetu kimajina huwezi jua teba mambo ya hulka na tabia kwani hata nyumba si wote ni watii kwa wazazi.

Nakubali msemo wa zamabi kuwa samaki akioza wote wameoza ila nafikiri ilikuwa ni zamani kwa sasa unaweza ukawemuweka pembeni na waliobaki ukawakaanga, ukitaka kujua hili pita pale ferry.

Mtu yeyote akitaka kuhukumu hili kwa jinsi ya kidini huwezi mzuia ila wakati tunahukumiwa wakristu wote TUSISAHAU KUWA WAKRISTU WENZAO KAMA AKINA KAFULILA na MBATIA kwa kushirikiana na jamaa zao wa kiislam mle bungeni ndiyo walikuwa vinara wa kulipigia kelele mpaka kufikia kuitana nyani na ngedele na kama hilo halitishi ilikuwa siku moja kafulika anapigwa na werema live.

Thanx
 
Nakuunga mkono kwa asilimia zote mtoa mada. Hosp za wakristo ni nyingi Ndanda na Nyangao huko mtwara. Karibu kila mkoa ipo 1 hata kama ni ya hadhi ndogo.
 
Nakuunga mkono kwa asilimia zote mtoa mada. Hosp za wakristo ni nyingi Ndanda na Nyangao huko mtwara. Karibu kila mkoa ipo 1 hata kama ni ya hadhi ndogo.
Sawa mahospitali mnayo mengi,waweza niambia masharti ya kutibiwa hospitali ya wakristo?.
kuhusu shule za wakiristo huna haja kuniambia kwani nimesomea huko,na ni pesa yangu ndo ilisomesha hapo,sikumbuki askofu kuja kunichukua home nikasome katika shule yao free of charge.
 
Wewe ndio uweke ushahidi,61b zinatolewa kwa kanisa lipi?kwa shughuli gani?
Makanisa yote ya jumapila,sijui mnayaita TEC ,sikumbuki sawasawa,yani ni wasabato pekee yake walijiepusha na ufisadi wa memorandum of understanding scandal.
 
Sawa mahospitali mnayo mengi,waweza niambia masharti ya kutibiwa hospitali ya wakristo?.
kuhusu shule za wakiristo huna haja kuniambia kwani nimesomea huko,na ni pesa yangu ndo ilisomesha hapo,sikumbuki askofu kuja kunichukua home nikasome katika shule yao free of charge.

Kwani chuo kikuu cha kiislamu morogoro wanafunzi wanasoma bure??? Pamoja na kwamba wote ni waislamu.
 
Mkuu Uko Sahihi! Lakini Kuna Kitu Ambacho Wanadai Kimeua Taasisi Nyingi Za Kiislam Toka Kianzishwe! Nacho Ni BAKWATA Ambayo Wengi Wao Hudai Ni Chombo Kinachosimamiwa Na Sirikali. Dhehebu La AnsarSuna Ambalo Mara Nyingi Hupingana Na BAKWATA Ndilo Sehemu Pekee Ya Uislam Ambayao Ndio Yenye Kuangaza Maendeleo Ya Uislam Tz, Ndio Walioanzisha Chuo Kiku Cha Kislam Morogoro, Ndio Wenye Vyombo Vya Habari Mfano Tv Iman, Radio Iman, Saut Ya Quran,magazeti Ya Alhuda, Anuur Nk. Lakini Bakwata Sijajua Wanamiliki Nini. Hawa Hawa Ansarsuna Ndio Hawaitaki Kabisa Mahakama Ya Kadhi Ila BAKWATA Ndio Wanaoipigania Mahakama Ya Kadhi. Hata Mimi Nashawishika Kuamini Kua BAKWATA Ndio Wanatakiwa Kubebeshwa Lawama Zote.
 
Back
Top Bottom