The Legacy
JF-Expert Member
- Jun 1, 2022
- 8,217
- 16,089
Hata wewe unakuhusu boss ladyWamekusikia.
Nimechukuaa!!Hata wewe unakuhusu boss lady
Na kwanini uharibu mjiniNawasalimu,
Leo nimeona niwape Tip ya Kijanja kuhusu life la mjini, sio kubwa sana ila nzuri na tamu mnoo.
Ukiwa na uwezo walau jenga kibanda kijijini,Sio ulikozaliwa. Iwe sehemu mpya ambayo hata rafiki yako wala mkeo hapajui, Room moja tu inatosha kuanzia.
Huko wakujue kwa jina tofauti, na muonekano tofauti.
Itakusaidia siku vikiharibika mjini unaenda kupumzisha akili na kujipanga.
Nawatakia 7 7 njema.
The Legacy.
Sio kuharibu kwa kufanya uhalifu,kuna muda unahitaji kukaa kimya au mbali kuepuka migogoro hasa ya familia, au tufanye kazi imeisha ghafla unafanyaje ?Na kwanini uharibu mjini
Mwizi hafanyi mambo ya kesho wewe,Dalali hana akili hizi.Hiyo ni mbinu mpya ya wezi, madalali na wapigaji wake za watu 😂😂
Mrembo uko poa?Wamekusikia.
Fikiria huna kitu kazi imeisha ghafla kama watu wa USAID utalala lodge for how long?Ndio maana kuna hotel/lodges etc.
Tena mwanamke anabadilika viabaya mnoo.If you're not ready to be one with your wife usioe! ! !
Mama aliwai kunambia hili una jua Nini LIFE LESSONS:: 101Nawasalimu,
Leo nimeona niwape Tip ya Kijanja kuhusu life la mjini, sio kubwa sana ila nzuri na tamu mnoo.
Ukiwa na uwezo walau jenga kibanda kijijini,Sio ulikozaliwa. Iwe sehemu mpya ambayo hata rafiki yako wala mkeo hapajui, Room moja tu inatosha kuanzia.
Huko wakujue kwa jina tofauti, na muonekano tofauti.
Itakusaidia siku vikiharibika mjini unaenda kupumzisha akili na kujipanga.
Nawatakia 7 7 njema.
The Legacy.
You get what you deserve my friend. You don't believe in being one with your wife you get a wife who is not one with you. She's partially present, bound by your coins.Tena mwanamke anabadilika viabaya mnoo.
Chukulia mumeo hana kazi wewe unaingia kazini unamuacha home si utakonda ufe kwa stress.