Ulimakafu
JF-Expert Member
- Mar 18, 2011
- 31,899
- 13,887
Mpaka Rwanda huko.Kila nikiwaza kuhusu hili la east Africa kula Eid Kitaifa Leo kasoro Tz nazimia, nikizinduka nazimia Tena.
Mpaka Rwanda huko.Kila nikiwaza kuhusu hili la east Africa kula Eid Kitaifa Leo kasoro Tz nazimia, nikizinduka nazimia Tena.
NakaziaSio kuangusha tu wametia aibu
Unaonaje unaandika jinsi zilivyo anzishwa na zilianzishwaje na Nani kabla ya kutoa natharia zako zenye kuonekana Ni bla bla tu' Maana unaongea kitu' kujiandikia tu acha kuwa mtu wa ovyo.Ukiijua kweli kabisa kabisa.
IDI
KRISMAS.
MWAKA MPYA.
MAULIDI.
PASAKA.
HIZI ZOTE NI SHEREHE ZKIvKIvula ul
Kwa uewelewa wako mdogo Hapo unaona umepingana na hizo dini au umeziunga mkonoUkiijua kweli kabisa kabisa.
IDI
KRISMAS.
MWAKA MPYA.
MAULIDI.
PASAKA.
HIZI ZOTE NI SHEREHE ZA KISHETANI.
Ungeweza kutoa hoja bila kutumia maneno ya kuudhi.Hii serikali siyo ya kidini we ngedere. Msichomekechomeke maujinga yenu serikalini. Serikali na mwandamo wa mwezi wapi na wapi. Una elimu kiasi gani. Jiendeleze kielimu hasa elimu ya uraia
Sisi tumejiongeza leo tumepumzika tumechagua kuwa WASUNI, sikukuu inaangukiaje weekend 😅😅😅Nadhani umefika wakati sasa serikali muondoe hii sintofahamu ya sikukuu za kitaifa( public holidays) haswa zinazotegemea muandamo wa mwezi.
Ni vizuri serikali (msemaji wa serikali) akawa yeye ndio anatangaza kama ni mapumziko ya kitaifa au la. Inakuwa sio vizuri/ haijakaa vizuri kwa wakristo/dini nyingine kusubiria tamko la sheikh mkuu wakati yeye sio kiongozi wao. Kwakuwa ni public holiday basi itangazwe na serikali full stop.
Lakini pia kwakuwa kuna mgawanyiko kwa waislamu, basi ingefaa kati ya zile siku mbili zenye sintofahamu zote zikawa public holidays ili kutowanyima wengine uhuru wao wa kuabudu.
Natumai mawazo yangu haya yatafanyiwa kazi.
Nawasilisha.
Haya tufafanulie mkuuUkiijua kweli kabisa kabisa.
IDI
KRISMAS.
MWAKA MPYA.
MAULIDI.
PASAKA.
HIZI ZOTE NI SHEREHE ZA KISHETANI.
Braza, hoja hapa ni tamko la sikukuu ambayo pia ni kisheria. Siyo kujadili uhalisia au maana za sikukuu hizo.Ukiijua kweli kabisa kabisa.
IDI
KRISMAS.
MWAKA MPYA.
MAULIDI.
PASAKA.
HIZI ZOTE NI SHEREHE ZA KISHETANI.
Kumbe hii taarifa ya kuwa mwezi umeonekana kenya ilikuwa ni uzushiCheck wenye imani wanavyolinda imani yao.View attachment 2594884
Karibu SUNNI hakuna MBAMBAMBASisi tumejiongeza leo tumepumzika tumechagua kuwa WASUNI, aikukuu inaangukiaje weekend 😅😅😅
Tayari nshaingia, mambo ya kusubiria mwandamo nimeyachoka aiseeKaribu SUNNI hakuna MBAMBAMBA
Kwani Quran inasemaje?Nadhani umefika wakati sasa serikali muondoe hii sintofahamu ya sikukuu za kitaifa( public holidays) haswa zinazotegemea muandamo wa mwezi.
Ni vizuri serikali (msemaji wa serikali) akawa yeye ndio anatangaza kama ni mapumziko ya kitaifa au la. Inakuwa sio vizuri/ haijakaa vizuri kwa wakristo/dini nyingine kusubiria tamko la sheikh mkuu wakati yeye sio kiongozi wao. Kwakuwa ni public holiday basi itangazwe na serikali full stop.
Lakini pia kwakuwa kuna mgawanyiko kwa waislamu, basi ingefaa kati ya zile siku mbili zenye sintofahamu zote zikawa public holidays ili kutowanyima wengine uhuru wao wa kuabudu.
Natumai mawazo yangu haya yatafanyiwa kazi.
Nawasilisha.
UPO NJE YA MADAUkiijua kweli kabisa kabisa.
IDI
KRISMAS.
MWAKA MPYA.
MAULIDI.
PASAKA.
HIZI ZOTE NI SHEREHE ZA KISHETANI.
Karibu sana mkuuTayari nshaingia, mambo ya kusubiria mwandamo nimeyachoka aisee
Naunga mkono hojaSerkali iombe ushirikiano na Saudi Arabia kuhusu Hilo swala. Saudi Arabia ndo iwe inatupa taarifa kama mwezi umeandama au vipi?
umenena vyema mno mkuu. Kesho biriani kuku njoo kwangu.Nadhani umefika wakati sasa serikali muondoe hii sintofahamu ya sikukuu za kitaifa( public holidays) haswa zinazotegemea muandamo wa mwezi.