Ushauri kwa Rais: Epuka Doa Jipya

Ushauri kwa Rais: Epuka Doa Jipya

Rais sio mahakama...ninachojua anaweza na anaruhusiwa kutoa msamaha kwa mujibu wa katiba na sio kuingilia hukumu.by the way haki ya wale 500+waliofariki kutokana na uchochezi na mpango wa uhaini inafikiwa vipi?....kwa maoni yako
Nani alichochewa?

Ndugu yenu sheikh majini naye alichochewa na nani mpaka akauliwa nyumbani kwake??

Hivi huwa mnawaza kwa kutumia nini?
 
Kuna watu 518 walipoteza maisha kutokana na kauli za kihaini...tunataka haki na si maridhiano na wahaini.

Kwani nn kimempata mtoto pendwa wa idu?, usa? Eu? Nini kimempata huyu nguli wa sheria anayetoa somo mahakamani?
-kwa nini tusiupatie uhuru wa kutosha mhimili wa mahakama mamlaka yake? Kwa nini tunataka mahakama iwe kama mama yako au tecdema?

Tundu asihukumiwa maisha au kunyongwa sitakuja niziamini mahakama za tz na litakuwa pgo kubwa kwangu kwa mhaini kuachiwa!

Kama siyo yeye mbona hakuna ambaye amejitokeza kuandamana hv karbuni?

Kwanza mlisema hamumtambui mh rais samia, hz kelele zimetoka wapi?

nachojua ni kuwa tundu atatoka baada ya uchaguzi mkuu wa 2030. Awamu ya saba ndo itampa msamaha..jaribuni kuheshimu dola hata kama bosi wake ni mama...
Mpuuzi wewe.

Uhaini aliufanya akiwa gerezani? Hivi huko CCM ili uwe kada, kigezo ni ujinga na upumbavu au?
 
Nani wa kumshauri Rais la kutojiongezea doa jingine.

Kwa yale yaliyotokea 29 octoba inatosha kuwa fundisho kwake.
Kumfunga Lisu kwa uhaini litakuwa ni doa jingine ambalo litamtesa na kumtengenezea kumbukumbu mbaya kwa kizazi kijacho.

Atafananishwa na Ma Rais wengine hata pata wa kufanana nae.

Historia itamuhukumu kama Rais aliyeua na kufunga wapinzani wake ili kuweza kutawala.
Bado hajachelewa
Matatizo haya kwa jicho jingine yaweza kufanana na mtu mwenye watoto wajinga/hovyo, au mwenye mbwa wanaoshambulia watu wa nyumbani kwake.
Yaweza kuwa matokeo ya watendaji na watumishi wa uma kujipendekeza na kujikomba kupitiliza.
Suluhu ni kuwa na watumishi wa vyombo vya dola na serikali kwa ujumla wanaotumia akili na weledi.
Mengine yo te yatajirekebisha kwa kiasi kikubwa.
 
Kuna watu 518 walipoteza maisha kutokana na kauli za kihaini...tunataka haki na si maridhiano na wahaini.

Kwani nn kimempata mtoto pendwa wa idu?, usa? Eu? Nini kimempata huyu nguli wa sheria anayetoa somo mahakamani?
-kwa nini tusiupatie uhuru wa kutosha mhimili wa mahakama mamlaka yake? Kwa nini tunataka mahakama iwe kama mama yako au tecdema?

Tundu asihukumiwa maisha au kunyongwa sitakuja niziamini mahakama za tz na litakuwa pgo kubwa kwangu kwa mhaini kuachiwa!

Kama siyo yeye mbona hakuna ambaye amejitokeza kuandamana hv karbuni?

Kwanza mlisema hamumtambui mh rais samia, hz kelele zimetoka wapi?

nachojua ni kuwa tundu atatoka baada ya uchaguzi mkuu wa 2030. Awamu ya saba ndo itampa msamaha..jaribuni kuheshimu dola hata kama bosi wake ni mama...
Safi sana Mkuu kwa kuwa kauli zake ndo zilifyatulia watu risasi siku zile upo sahihi sana👏👏
Kama nakumbuka vzr ni kauli zake hzo hzo ndo zimeteka watu zaidi ya 700+ kwa miaka miwili na kufungulia watu mashtaka ya ugaidi na uhaini.

Upo vzr mkuu👏👏👏

Nakukumbusha tu ni kauli zake hzo hzo ambazo ziliwauwa watu majumbani tena vyumbani kwao👏👏👏👏👏
Mfano ni jirani yangu hapa👏👏

Btw, Siku zote Mungu yupo upande wa haki👏
Hata mjibaraguze na mjipe matumaini vip

Uzur nachofaham unaweza ukajidanganya ila nafs ikakusuta kwa ukwel.

Hata hao mabos zenu mbogamboga mbele ya mic watakaza fuvu kutetea matumbo yao ila nafsi zao zinawatuhumu vile vile🚮
kwa sababu nafsi siku zote zimeumbwa kuukabili ukweli hata kama ni mgumu kias gani.

Haina mbaya tuendelee kutetea ugali wetu🚮🚮
 
Huyu alieandika ushauri huu ana akili nyingi sana,etoa ushauri wa maana sana.
Lkn Kwa ujinga wa watu humu na ujinga wa wengine huko Wana CCM watauponda kama wanavyouponda ushauri huu.
Lkn siku hazigandi mtakuja kumhurumia Tena Samia wetu,baada ya madhara kuanza kumpata.
Kumbukeni Samia hata kua RAIS milele.
Ikiwa Magufuli alikua RAIS na wamekuja wengine wanaompuuza,Hata yeye watakuja wengine watampuuza.
Chochote kitakachompata Lisu kibaya ni cv mbaya Kwa Samia wetu.
 
Nani wa kumshauri Rais la kutojiongezea doa jingine.

Kwa yale yaliyotokea 29 octoba inatosha kuwa fundisho kwake.
Kumfunga Lisu kwa uhaini litakuwa ni doa jingine ambalo litamtesa na kumtengenezea kumbukumbu mbaya kwa kizazi kijacho.

Atafananishwa na Ma Rais wengine hata pata wa kufanana nae.

Historia itamuhukumu kama Rais aliyeua na kufunga wapinzani wake ili kuweza kutawala.
Bado hajachelewa
Usifanye mchezo na damu za watu wasio na hatia
 
Nani wa kumshauri Rais la kutojiongezea doa jingine.

Kwa yale yaliyotokea 29 octoba inatosha kuwa fundisho kwake.
Kumfunga Lisu kwa uhaini litakuwa ni doa jingine ambalo litamtesa na kumtengenezea kumbukumbu mbaya kwa kizazi kijacho.

Atafananishwa na Ma Rais wengine hata pata wa kufanana nae.

Historia itamuhukumu kama Rais aliyeua na kufunga wapinzani wake ili kuweza kutawala.
Bado hajachelewa
Binafsi nipo pamoja na Lissu... Nipo tayari kwa lolote... Nahisi Samia hamjui Lissu vizuri!
Kama alimuweka ndani ili aendelee kutafakari na kumshawishi Lissu kusaliti harakati, dhamiri na misimamo yake kwa kupiga magoti na kuunga mkono serikali haramu alipotoshwa sana!

Natamani kuona waendelee kukaza fuvu... Wamkute na hatia... Wamhukumu kunyongwa hadi kufa!
Kufanya hivyo kutamuinua zaidi TAL!
 
Ni wale mashetani wenye uwendawazimu, ndiyo pekee wanampenda katika uovu wake.

Kama mwanadamu mwenzetu, tunampenda, lakini kwa matendo yake ya kuua watu, kudhulumu haki za watu, , kamwe hatuwezi kuungana naye kwenye huo ushetani wake, ataungana na mahayawani pekee.
Kwani nyie wenye roho nzuri mliishawahi kumpenda nani? Mwamba Magufuli mlimsema vibaya. Rais Samia mnamsema vibaya! Tushawazoea!

Na ikitokea mkamsema vizuri Rais yeyote wa Tanzania kutoka CCM, tutgajua mmewehuka! Ahahahahaha!!
 
Nani wa kumshauri Rais la kutojiongezea doa jingine.

Kwa yale yaliyotokea 29 octoba inatosha kuwa fundisho kwake.
Kumfunga Lisu kwa uhaini litakuwa ni doa jingine ambalo litamtesa na kumtengenezea kumbukumbu mbaya kwa kizazi kijacho.

Atafananishwa na Ma Rais wengine hata pata wa kufanana nae.

Historia itamuhukumu kama Rais aliyeua na kufunga wapinzani wake ili kuweza kutawala.
Bado hajachelewa
Mwenzako amesha zoea madoa na wala hayaogopi
 
Watu wanaomzunguka ndio shida.Kumshikilia Lissu hakusaidii chochote na inaendelea kumtia doa kumbuka yule alipaswa kuwa amekufa kutokana na zile risasi so hana cha kupoteza.Watu wanazidi kumchukia anajiongezea pia maadui ndani na nje ya ccm
 
Back
Top Bottom